Ndekule C.E.O

13.4K posts

Ndekule C.E.O banner
Ndekule C.E.O

Ndekule C.E.O

@DwayneDedan

Mastering Procurement & Supply Chains 🌐 | Cargo Tally Pro 📦 | Global Shipping Aficionado 🚢 | Cultivating Modern Rice & Tobacco Farmer 🌾 I 🚬 to serve the 🌍

Mara, Tanzania Katılım Temmuz 2014
1.4K Takip Edilen1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ndekule C.E.O
Ndekule C.E.O@DwayneDedan·
Good things come to me easily. Life is good to me. I am strong and energetic. I am rich in all areas of my life! I am a Money magnet. Money flows to me from Multiple sources. I attract prosperity with ease. I am healthy, wealthy and happy. Everything works out in my favour.
English
0
11
27
4.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Majengo _ mwanza Majengo _ Dodoma Majengo _ songea Majengo ipi nyingine unayo ifahamu wewe..?
Indonesia
107
34
192
14.3K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Wakuu Mtu wa 50 yrs Anaeza kuwa kwenye Siku zake kweli Anko zangu au huyu kaamua tu kuninyima ...💔😭😭.
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
48
23
140
2.6K
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Adui namba moja wa hili zao ni nyasi Na kipenzi namba moja wa hili zao ni maji Baada ya hapo ni mbolea mifuko 4. Jiandae kuvuna gunia 35-40 kwa hekari moja.
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Tanzania 🇹🇿 Filipino
35
41
348
15K
Ndekule C.E.O
Ndekule C.E.O@DwayneDedan·
@Mazikuagric @ThomasJosephat3 @AbdallaZanzibar Hii pia ilinitokea mwaka juzi ila mpunga ulivyoaanza kufunga wakaanza kusema natumia ndumba kuja kuvuna gunia 29 kwa Eka kabisa wakasema nimeroga maana wengi kule ulikuwa ukivuna Sana Eka 1 ni gunia 15 unaonekana mkulimA haswa
Indonesia
2
0
3
21
Shabiki
Shabiki@shabiki_jr·
Kuna spin-off movie inakuja kutoka kwenye ulimwengu wa ‘John Wick’ itakayoitwa ‘CAINE’ na filming itaanza mwezi ujao Donnie Yen ndiye ambae atakuwa star wa movie hiyo akipewa role ya director pia
Shabiki tweet media
Indonesia
7
7
65
1.8K
agribusiness1.
agribusiness1.@agribusiness110·
Fertilizers for the 2026/2027 Farming season
English
2
7
36
1.3K
..Mercedes✨
..Mercedes✨@LilianLevelian·
..Sometimes huwa nawaza hawa watu wanaoishi bila kumtegemea Mungu,Hivi mioyo yenu ina amani kabisa au nyie ndio wachawi?
Indonesia
5
2
20
405
JOBLESS
JOBLESS@Jobless_6·
Hii option wale wa Mega odds mui zingatie ina maajabu😁✅✅🤝
JOBLESS tweet media
Suomi
2
5
48
4.2K
Cool_boy
Cool_boy@october_niga·
Flex by 1 NBA🏀🔥🫡 Lets Go🤝
Cool_boy tweet media
English
10
19
106
17.8K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kifo cha ndugu yetu, Mhe. William Lukuvi, ambaye nimepata heshima ya kufanya naye kazi kwa karibu ndani ya Bunge kwa kipindi cha miaka kumi, kuanzia mwaka 2010 hadi 2020. Katika kipindi hicho chote, nimemfahamu kama kiongozi mzoefu, mahiri, na mwenye hekima kubwa katika utumishi wa umma. Alikuwa si tu mwakilishi wa wananchi, bali pia alikuwa sura ya Mkoa wa Iringa kwa muda mrefu—akisimama imara kulinda maslahi ya watu wake na taifa kwa ujumla. Iringa leo imepoteza kiongozi shupavu na sauti muhimu ya maendeleo. Taifa kwa ujumla limepoteza mtumishi aliyekuwa na uzalendo wa dhati na moyo wa kujitoa. Kwa niaba yangu binafsi, napenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, na wananchi wote wa Iringa. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Asante kwa utumishi wako, Mhe. Lukuvi. Tutakukumbuka daima.
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
133
8
133
20K