C4
1.7K posts

C4
@EdwardSamson255
Better Die Standing than Live Kneeling
Katılım Şubat 2024
128 Takip Edilen55 Takipçiler

#TajiriLaKihaya
Ile OTTOMAN ya Azam Tv ukijidanganya uichungulie kidogo tu… ndio hivyo- kila siku saa nne utataka kuiona😂
Kumbe wanataja na ALLAHU AKBAR KABISAA🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Indonesia

@JoyceHuru @Therealngassa Ni Kitu kidogo sana hicho kwa MOSSAD. Wakati CIA wananunua Wana wa ndani. MOSSAD Wana recruit mtu within. MOSSAD ni hatari sana. MOSSAD ndo Kitu pekee kilicho Fanya Israel iishi miaka 70+ katikati ya maadui zake. Ujasusi ndo una shinda Vita
Indonesia

@Therealngassa Ishu ya Maduro hata Venezuela hawaelewi kilitokea nini mpk leo
Indonesia

@awarenesskills @Therealngassa Huyu ndo mbumbumbu kabisaa. Una shindwa kufuatilia mambo Ina kimbilia Chart GPT hovyo kabisa
Indonesia


@CavityDamas23 TID awe TIT Ani Top in Tanzania. TID ana Ung'eng'e bhana
Indonesia

@CavityDamas23 Hivi kibamia ni kuanzia nchi ngapi,Nataka nichague upande wangu
Indonesia

@hericharles15 @kim_wokingham @DuniaSlaveDunia Kilikuwa si Cha TPDF. Ile mission mamba haiku involve MBT. Na huwezi kupambana na Insurgent kwa MBT kwa Sababu Wana fight in guerrilla walfare tactics. Ambush ni nyingi so kifaru Sio suitable choice
Indonesia

@kim_wokingham @DuniaSlaveDunia Kuna kifaru kilichomwa moto huko kusini, na wanaharamu kutoka Mozambique, mpaka kifaru kuchomwa moto si hatari hiyo.
Indonesia

@tazamaMbali @DuniaSlaveDunia Walevi wengi hawajui hayo. Wanadhani vita ni kama fumanizi. Kwamba ni kufumba na kufumbua tu
Indonesia

@DuniaSlaveDunia Jeshi lina utaratibu na mpangilio wake vitani. Vita haipiganwi hovyo hovyo.
Kuna Squad, Platoon, Kombania,
Battalion, Brigade,..
Kutoka kwenye ngazi ya unit mpaka kikosi kikubwa kabisa kuna uongozi.
Ndiyo maana wanajeshi wa Tz wanaweza kuungana na wa Ug kulinda amani Kongo.
Filipino

@kim_wokingham @DuniaSlaveDunia Haya unayoyasikia inawezekana ni kweli maana nasikia hata kiongozi wajuu huchaguliwa yule asiye na ukaribu sana na wenzake ili asije fanya mapinduzi.niliambiwa na mmojawapo,swali lako namm nitawauliza wahusika
Indonesia

@kim_wokingham @DuniaSlaveDunia Wachana na hao walevi ,wanadhani sisi hatuna akili 😂😂😅
Filipino

@DuniaSlaveDunia Haya madai kwamba kambi iko sehemu X halafu silaha ziko Y yana ukweli gani? Hivi kambi zilizoko maeneo hatarishi kama mpakani na Msumbiji kweli hazina silaha pale pale? Ukitokea uvamizi wanafanyaje? Watasubiri silaha zitoke Mafinga? Kuna mfumo wa aina hii kweli?
Indonesia

@mananajr_ Sasa kwanini itoke,kwani ni mkosi..!? Acha utamaduni utambe
Filipino

@kikotiofficial Hata Muajiri mwenye akili haangalii G.P.A kwa Sababu tuna mfumo mmbovu wa Elimu unao zalisha job seeker na Sio professional expertise ndo unaweza kuta mchumi kutoka IFM au palee CBE ana hangaika na yeye kutafuta ajira akiwa na simu ya million moja au laki nane
Indonesia



















