KB retweetledi
KB
5.9K posts

KB
@Elly_tryphon
#Backbencher +255🇹🇿
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2022
1.3K Takip Edilen1.5K Takipçiler
KB retweetledi

96 & 235 odds multi scores.
5G6ZVBH
5G6ZZPY
Special 11 odds: 5G726PJ
#Bet9jaCode
Dansk

@Aloysious012894 Yeye kaanza mapema bro, aliishia form two akaingia mtaani mimi nimeenda mpaka kumaliza degreee kwaiyo lazima nikubali kuwa nyuma kimaendeleo na hata njia alizopita ziko wazi mkali, tuache hizo imani tuweke juhudi.
Indonesia

@Elly_tryphon Mbona wewe unapambana lakin hujawa kama
yeye istoshe mnalingana au unamzidi umri😃
Mafanikio ya mtu ni siri mkuu angalia kwanza background family then ndio uje hapa
Indonesia
KB retweetledi

Kuna jamaa yangu kaoa miaka minne iliyopita, yeye ni mwanasheria juzi kaniuliza swali kwamba hivi ingekuwa mimi mke wangu anaomba hadi chumvi na ana degree na nlishawahi kumpa mtaji over 12M akaingia hasara!! Ningefanya nini?? Nikamuuliza ulivyomuoa ulichunguza hayo,,,? Akasema hapana nikamwambia basi sina jibu...akasema mke wake hana anachojua usafi, Dada wa kazi hadi kufua nguo Zake za ndani ni Dada wa kazi ....mwishoni nikagundua kapata mwanamke mwenye sifa anazolalamikia....
Kifupi jamaa aliangalia uzuri akasahau Kuna maisha baada ya dimpoz.
Indonesia
KB retweetledi

@shibobo___ nadhani hii ni zaidi ya 75% ya familia za kibongo zipo hivi
Filipino

@tripple2023 @athanas_pius Fei ni ngumu sana kuwa MVP maana timu yake inamuangusha sana.
Filipino

@athanas_pius MVP ni Fei toto hawa wengine waacheni wapambanie kuongezewa mikataba tu
Filipino
KB retweetledi
KB retweetledi

@killo_killo11 Sasa hapo kipi kinafurahisha mzee, unafurahi vipi anguko la mwanaume mwenzako???
Filipino
KB retweetledi

@SokoMoko__ @makumbawaleo_5n Una kichwa kigumu sana mzee wangu.
Polski
KB retweetledi
KB retweetledi
KB retweetledi

Kama unaamini eti vita ya Maji maji ambayo iliongozwa na Kinjikitile Ngwale watu walidanganywa kuhusu maji basi jipe muda utafakari vizuri, kama ilikuwa ni uongo iliwezekana vipi vita idumu kwa miaka 2?
Mtu anaona mwenzake hapo anasema “maji” anapigwa chuma anakufa na yeye anaenda tu?
Vita ilianzia Kilwa ikaenda kumalizikia Songea huko, ingekuwa kama ambavyo tumeambiwa vita ingeishia Kilwa hapo hapo na usingechukua hata miezi 6.
Na kitu kingine wengi hawajui ni kwamba Kinjikitile aliuwawa mwaka ule ule vita imeanza 1905 so walipata viongozi mwingine wa vita hapo katikati, na wao walikuwa wana wadanganya watu hivyo hivyo “sema maji?”
Kuna vitu hawajatuambia
Indonesia

The video of the guy who got fucked
Haya video ipo hapo kwenye comment wazee ila ni huzuni 💔😭


deric@derc2323
Daaah kuna vedo ya mwana wamemfumania na mke wa mtu vijana kama wanne hivi wamempakua tope aseeh so sad man 💔😭😭 Hivi unawezaje kumdinya mwanaume mwenzio aseeh🚮
English

@mentor209 Ukimegewa nawe tafuta mnyonge ummegee, haipunguzi maumivu bali inarudisha hadhi ya kiume 😂😂
हिन्दी
KB retweetledi






















