Emmanuel

42 posts

Emmanuel banner
Emmanuel

Emmanuel

@EmmanuelMbemba3

GOD IS ABLE

Katılım Mayıs 2022
171 Takip Edilen3 Takipçiler
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@mshambuliaji Ingependeza mama anapo jifunguwa awe na msaidizi wake ili mambo kama haya yasijitokeze ambaye anakuwa na mtoto siyo kumwachiya muuguzi pekeyake.
Filipino
0
0
0
461
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025. Taarifa ya leo Aprili 02 2025 iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Afya Bi. Roida Andusamile imeeleza kuwa Bi. Neema anadai kuwa baada ya kujifungua alioneshwa mtoto wake na muuguzi akiwa ni mzima. Hata hivyo aligundua kuwa amebadilishiwa mtoto wake baada ya kuletewa mtoto akiwa amefungwa na vitenge ambavyo si vya kwake. Muuguzi wa hosptali hiyo alidai kuwa alichanganya vitenge na vya mtoto mwingine hivyo akaahidi kwenda kubadilisha, pamoja na kuchukua hatua hiyo bado kulikuwa na hali ya sintofahamu. Kufuatia hali hiyo Wizara ya Afya kwa kushirikiana na ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha pamoja na Jeshi la Polisi imechukua hatua ya kuchukua sampuli za wazazi waliojifungua kipindi hicho pamoja na za watoto kwa ajili ya uchunguzi wa vinasaba (DNA) katika ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Sambamba na hilo Wizara ya Afya imechukua hatua ya kumsimamisha kazi muuguzi aliyemhudumia Bi. Neema ili kupisha uchunguzi kabla ya kuchukua hatua stahiki na kutoa taarifa rasmi baada ya uchunguzi kukamilika. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
16
9
216
21.6K
𝐓𝐞𝐚𝐦 𝐓𝐫𝐮𝐜𝐤
Ndugu zang napenda kuwajulisha nimepokea taarifa za kifo cha binti yang #Mourine kutoka Hospital ya Butimba jijini Mwanza. 25 March 2025 Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani binti yangu kipenzi, umefariki ukiwa bado unanihitaji mwanang😭😭 R.I.P my daughter 🕯️🕊️🙏🏾
𝐓𝐞𝐚𝐦 𝐓𝐫𝐮𝐜𝐤 tweet media𝐓𝐞𝐚𝐦 𝐓𝐫𝐮𝐜𝐤 tweet media
Indonesia
586
151
1.6K
95.7K
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
.. Ni kampuni gani ya Mabasi tokea umeifahamu haujawahi kusikia wala kuona imepata Ajali ya aina yeyote ile?
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Indonesia
234
31
1.1K
162.9K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@ze_mandevu Si situmeshindwa wacha wafanye ambao hawa chagui kazi
HT
0
0
0
65
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Wakuu naombeni kueleweshwa kidogo hapa, hivi uwepo wa Wachina kufanya biashara hapo Kariakoo kuna shida gani?🤔
The mandevu tweet media
Indonesia
113
43
997
97.7K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@_zolendronic Umpate na ndizi kuna Pepsi ya baridi wee waongeya tu
Indonesia
0
0
0
17
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Wanasayansi wanasema huyu mdudu hata akidumbukia mtoni au ziwani penye mamba wenye njaa, hawamli. Wanamsukuma atoke majini aende zake Cha ajabu kuna binadamu wanamla huyu kiumbe,, astakafirullah😎
D A L A L I tweet media
Indonesia
613
55
1K
164.4K
Kabigwa_Afya💊
Kabigwa_Afya💊@kabigwa_78·
Hivi kuna Tundo Lenye Ukubwa Kuzidi Tikiti?
Kabigwa_Afya💊 tweet media
Eesti
232
22
622
70.2K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Kwa faida tu ya wanaolalamika kwanini tuna record video, kabla ya hizi technology, mambo yaliandikwa kwenye vitabu ili iwe faida kwa vizazi vya baadae ambavyo ni sisi, ukisoma vitabu vya dini haya tunayoyafanya yameandikwa, maana kama ilitakiwa iwe siri Mungu asingeruhusu viandikwe. _ Vizazi vyetu sio wepesi kusoma vitabu na kufanyia kazi, ila kupitia video licha ya kupata msaada pia kuna mambo ya kujifunza kama maisha ulikuwa unayachukulia poa utayaheshimu na kumshukuru Mungu kila inapoitwa leo. _ Pia hii kazi huwezi fanya peke ako, hakuna siku Mungu ataweke wito ndani yako alafu asikupe watu, lazima atakupa watu ambao amewaandaa, ndio maana watu walioandaliwa na Mungu huwezi kuona wanalalamika, ila wale wakutazama negative tu lazima watalalamika sababu shetani nae ana watu anawatumia kurudisha nyuma maendeleo. _ Sishangai kuona watu wanainuka kuanza kulalamika kwanini unarecord watu unaowasaidia sababu furaha ya shetani ni kuona watu wanaendelea kuteseka kwa hiyo lazima aumie pindi Neema ya Mungu inapowazukia watu wanaoishi kwenye dhiki.
Michael Mafuru tweet media
Indonesia
27
33
263
16.5K
Michael Mafuru
Michael Mafuru@M_Mafuru·
Leo nimekutana na mama mjane akiokota vitu pembezoni mwa barabara, ikabidi nimsogolee kumuuliza shida nini kiasi cha kuhatarisha maisha yake.
Indonesia
116
158
888
115.8K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@TBoundBuses Ila hawa jama barabarani humo hawana ubinadam kabisa.utafikili wao hawatakuja kustafu.
Indonesia
0
0
0
634
manyuel
manyuel@Manyuel76·
Wakali Wa Location Hapa Ni Wapi??🤔
manyuel tweet media
Indonesia
107
40
608
57.9K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@Jambotv_ Walio ahidi watasimama na mimi wote wamevuta kiti wameka.
Indonesia
0
0
0
38
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mzee John Samwel Swai(61) mstaafu wa Jeshi la Polisi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia asiondolewe katika kambi anayoishi kwani bado hajalipwa fedha za mizigo pamoja na fedha za likizo ambazo anapaswa kulipwa. Mzee huyo alistaafu mwaka 2020 baada ya kutumikia jeshi la polisi kuanzia mwaka 1983 amedai kupewa barua na Mkuu wa Kambi za Polisi inayomtaka kuhama ndani ya siku saba kuanzia Februari 04 mpaka leo Februari 10 na endapo asipohama vitu vyake vitatolewa nje. Kupitia barua aliyopewa tarehe nne mwezi huu imesema “Umeariwa kukabidhi nyumba tajwa hapo juu, kwani umeshastaafu kazi toka 2020. Oc Barracks amekuamuru kukabidhi nyumba tajwa hapo juu kwa kuwa umestaafu kazi. Umepewa siku 07 kuanzia leo tarehe 04/02/2025 hadi 10/02/2025 uwe tayari umekabidhi nyumba hiyo, Kushindwa kutekeleza amri hii, vitu vyako vitatolewa nje, hivyo unaamriwa kuviondoa mwenyewe kabla ya kutolewa” Mzee Swai amewaomba wasaidizi wa Rais ambao Jeshi la Polisi lipo chini yao akiwemo Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kumsaidia wakati huo serikali ikiendelea kushuhulikia malipo yao. Jambo TV imefanya jitihda za kumtafuta Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime kwa njia ya simu lakini jitihada hazikuzaa matunda. NB: Video kamili inapatikana Youtube.
Indonesia
317
113
754
177.8K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Vijana kumbe mmepewa hela ila mmekausha tu!! Tunazungukana sana humu 😁😁😁
Jebra Kambole tweet media
225
120
1.5K
123.8K
adamlutta
adamlutta@adamlutta·
Zambia wana Laptop zao zinaitwa NEO, Rwanda wana MARA Phones na Satelite , Uganda wana Simu zao zinaitwa SIMI, Kenya wana Laptop zao zinaitwa TAIFA Wana Starlink pia wana Satelite yao, Tanzania tuna nini ?
adamlutta tweet media
Polski
936
78
879
110.6K
KITASA🔑🧥
KITASA🔑🧥@kikotiofficial·
Hapa ni mkoa gani? Wengi watakosa
KITASA🔑🧥 tweet media
Indonesia
86
9
225
18.5K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@Gaspinho15 Du mtoto kapambana lakini mama mzazi anavunja moyo.
Indonesia
0
0
0
20
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@millardayo Hawa ndo viongozi tunao wataka sisi
Indonesia
0
0
0
239
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amemkabidhi Pikipiki mpya kijana Kusan Alex Dereva Bodaboda ambaye aliligonga gari la Mkuu wa Mkoa huyo October 31 2024 katika eneo la Chakechake Mkuyuni Jijini Mwanza. Mtanda amebainisha kuwa kwa mujibu wa sheria za usalama barabarani Bodaboda huyo alikuwa na makosa lakini kama Kiongozi aliamua kumsaidia na kumlipia gharama za matibabu kiasi cha Tsh. milioni 12 katika Hospitali ya Kanda ya Bugando pamoja na kumnunulia pikipiki mpya ili arejee kwenye shughuli zake kama kawaida. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
108
42
690
76.8K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelMbemba3·
@millardayo Kwani mtoaji wenu wa habari mwanzoni hakujipanga.
Indonesia
0
0
0
112
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) amesema sio kweli kwamba TRC inaagiza vichwa vya dizeli kwa ajili ya kuendesha treni za SGR ambapo amesema alichokisema kwenye mahojiano yake ni kwamba TRC ipo kwenye mpango wa kuwa na vichwa vichache vya Hybrid Locomotive teknolojia ambayo inawezesha treni za umeme kutumia diseli pale umeme unapokatika. Akiongea baada ya mahafali ya Chuo cha Reli Mkoani Tabora, Kadogosa amesema “Sio kweli kwamba TRC tunaagiza vichwa vya dizeli kwa ajili ya kuja kuendesha treni yetu, treni yetu ni ya umeme lakini labda wamenukuu kile nilizungumza nini?, na nilikuwa nafanya mahojiano nafikiri na Azam TV waliuliza kwamba gridi ya Taifa ilipozimika umeme haukuwepo kwa saa nzima na treni zilisimama, sasa nyinyi kama TRC mmejiandaaje?” “Nikasema kama TRC bahati nzuri kuna maendeleo ya teknolojia sasa hybrid locomotive ambazo zinakuwa na uwezo treni zinatumia umeme lakini pia ina chamber ya kutumia diseli, ikitokea emergence ya kukatika kwa umeme ina switch off direct (automatic) kwenye diseli” “Wenzetu Ulaya tayari wanatumia hii teknolojia, Afrika sidhani kama Nchi yoyote inatumia maana yake kama hata Ulaya wanatumia wanaexprience matatizo tuliyonayo, tatizo Waswahili au Watanzania likitokea tatizo tunalikuza sana, tukasema tupo kwenye mpango wa kuwa na hivyo vichwa vichache kwa ajili ya ikitokea emergence” #MillardAyoUPDATES
HT
34
17
191
30.5K