ENGINEER

1.8K posts

ENGINEER banner
ENGINEER

ENGINEER

@EngineerMbwa

art of thinking

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2021
329 Takip Edilen297 Takipçiler
millardayo
millardayo@millardayo·
#PICHA: Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza Rio Ferdinand amewasili Tanzania kwa mwaliko maalum wa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda. Hizi ni picha ya jinsi hali ilivyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo May 19,2026. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
52
6
373
23.7K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@swahilitimes Hii ya kusema tulikuwa sokwe sijui tulitoa wapi. Sokwe ana evolution yake iliyomfikisha hapo na sisi tulikuwa tulikuwa na yetu iliyotufikisha hivi tulivyo, Mtu kabisa kavaa suti ila anaongea kama mtoto wa la tatu
Indonesia
0
0
1
161
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mbunge wa Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo ameishauri Wizara ya Maliasili na Utalii kufuta dhana kuwa binadamu ni Sokwe, kwani wao ndiyo wenye ushahidi wa jambo hilo.
Indonesia
13
5
60
11.4K
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Hii inaweza kuwa hoja na pendekezo la msingi.
Polski
9
11
116
13.9K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mapya yameibuka kwenye kikosi cha Yanga kumuhusu Mohamed Huseein Zimbwe. Kupitia ukurasa wake wa Instagram zimbwe amepost hivi yupo fiti anaendelea vema na huenda soon tukamuona kwenye mechi zinazokuja za Young Afrika -------------------- Jamaa alivyokua simba alikua caption kakaa zaidi ya miaka 8 simba kapewa heshima kabisa ila saiv anasugua benchi huko yanga anaanzishwa Boka Najua jamaa anaumia sana kwa maamuzi ya pesa ya msimu mmoja tu aliyoyafanya ----------------- Arudi tu Simba wana Simba bado tunamkubali janja bado ana nafasi yake
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
52
27
471
62.6K
Football Tweet ⚽
Football Tweet ⚽@Footballtweet·
🚨 After Benfica's 2-2 draw against Braga on Monday, José Mourinho's Benfica remain the only team in Europe's big leagues to be 𝗨𝗡𝗕𝗘𝗔𝗧𝗘𝗡 this season. They are 1 game away from becoming 𝗜𝗡𝗩𝗜𝗡𝗖𝗜𝗕𝗟𝗘𝗦 in Portugal's Primeira Liga. However, they 𝗪𝗜𝗟𝗟 𝗡𝗢𝗧 𝗪𝗜𝗡 the league. That draw means that - despite being 33 games out of 33 without defeat - they are 8 points behind FC Porto because they've drawn 11 matches.
Football Tweet ⚽ tweet media
English
220
694
7.8K
1.4M
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Sema nini... Fresh tu 😂🙌
Aruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet media
Indonesia
24
43
295
32.8K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@VungaEl74 Aliko anauzoefu na sisi kipindi anakuja kuwekeza cement viongozi walimnyoosha Hadi akamwambia magufuli, saizi magu hayupo uongozi wa juu unafanana au ndio wale waliokuwa wanataka wapige hela kipindi analeta cement. Afu hata iweza vita na waagiza mafuta wa bongo
Indonesia
1
0
1
273
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Napendelea zaidi Mombasa kwa ajili ya kuanzisha kiwanda cha mafuta kwa sababu Mombasa ina bandari kubwa na yenye kina kirefu. Kenya pia ina matumizi makubwa na uchumi mkubwa zaidi. Mpira uko mikononi mwa Ruto, chochote atakachoamua ndicho nitakachofanya.” Bilionea Aliko Dangote Kwanini wawekezaji wanatukataa sana sikuhizi upigani na Sera zetu zitakuwa mbovu nini
Vunga tweet media
Filipino
4
16
85
5.1K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Aliko Dangote Aipa kipaumbele Kenya kwa ajili ya Mradi Mkubwa wa Kiwanda cha Kusafisha Mafuta Afrika Mashariki Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote, sasa anaelekeza macho yake nchini Kenya kwa uwekezaji wake mkubwa unaofuata: kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta chenye uwezo wa kuchakata mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku katika ukanda wa Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa gazeti la Financial Times lililonukuu mahojiano na tajiri huyo, iwapo mradi huo utatekelezwa, utafanana na kiwanda chake cha dola bilioni 20 kilichopo Lagos nchini Nigeria ambacho ndicho kikubwa zaidi barani Afrika na unaweza kubadilisha kabisa mfumo wa usambazaji wa mafuta katika eneo hilo. Kwa sasa, Kenya inaagiza sehemu kubwa ya mafuta yake yaliyosafishwa kutoka nje ya nchi. Ujenzi wa kiwanda kikubwa kama hicho ungeweza: - Kupunguza gharama za kuagiza mafuta kutoka nje, - Kutengeneza maelfu ya ajira, - Na kuifanya Kenya kuwa kitovu kikuu cha biashara ya mafuta katika Afrika Mashariki. Hadi sasa, bado hakuna eneo rasmi lililotajwa wala ratiba ya kuanza kwa mradi huo. Hata hivyo, hatua ya Dangote kuelekea Afrika Mashariki inaashiria jambo moja kubwa: ushindani wa kudhibiti mustakabali wa nishati Afrika haupo tena tu katika Delta ya Niger nchini Nigeria.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
13
27
284
16.3K
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
Hivi hawa @shabiby_line wana maana gani kuweka siti namna hii? Au Kuna gari mpya ambazo sizijui?
Dr. Boaz tweet media
Indonesia
19
3
76
21.4K
Muuza viatu🌹
Muuza viatu🌹@Agnesskanje·
Sijawahi kuona mtu mnene anavuta bangi
Indonesia
46
23
296
16.6K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@everymovieplug As you can see, he looks at his face (fear), then his body (fat). Sam Tally was not a good choice for the Army of the Dead, as the man needed to kill people so they could join the army. Sam Tally was only going to be used. Just imagine a fat zombie soldier
English
0
0
0
445
Every Movie Plug
Every Movie Plug@everymovieplug·
Why did The White Walker ignore Sam Tarly?
English
25
10
204
45.3K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Moja mbili tatu tunaondoka tunaodoka ila williard yeye niko nae wanangu😂😂🙌🙌🇷🇼🇷🇼 Taivina mkeka aliwahi liwa mkubwa ni wa million sita Madrid alimchania anasema.
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Filipino
17
18
152
22.9K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Miaka ya 90’ kuna bia ilikua inaitwa BINGWA, picha linaanza unaambiwa kabisa haijatengenezwa kunywewa ya moto. Sasa wewe jichanganye unywe ya moto uone😂😂😂
Indonesia
65
24
507
32.9K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@thatsdax I was your fan, but after seeing this, I’m not your fan anymore.
English
0
0
0
2
Dax
Dax@thatsdax·
16 MONTHS ALCOHOL FREE! GOD IS GOOD!
Dax tweet media
English
1.2K
1.3K
27.6K
2.7M
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@Thommunkondya @EduTalkTz Kwahiyo unadhani raisi hausiki hapo? Ye si kateuwa mpaka madiwani na wabunge Bado na Ma DC na wakurugenzi
Filipino
0
0
0
52
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
@EduTalkTz Kwenye hili la shule halmashauri za wilaya,miji na majiji huwa zinaniangusha sana aseee 💔💔 watoto wetu wanateseka sijui kwa nini wanaona kawaida
Filipino
7
0
1
462
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Kazi yake kubwa, yeye pamoja na serikali yake, ni kuhakikisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya nchi. Go Samia Go 💪🏿
Thom Mnkondya tweet media
Filipino
67
6
39
6.4K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@BarakaMaviatu Hii ukitengenezea juice unapata tetanus ya utumbo
Indonesia
0
0
3
518
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Brenda heavy duty bei 500k Hili limekosa muonekano tuu. Ila kazi linazofanya heavy duty za mchina haziwezi.
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒 tweet media
Suomi
15
18
157
11.2K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@Nindi_Jr Sio kwamba wamezijoin The boys na Gen V zote zinaishia kwenye season 5 ya the boys
HT
0
0
1
58
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Mshkaji wangu Imma mamake alikua na mawe sana ila mchizi hakuwahi taka kuomba hela kwa mamake alinambia “Gaby nikijizoesha kutake advantage ya mama kuwa na mpunga akifa nitateseka” Fast forward miaka 3-4 toka aniambia hivyo mamake aliuwawa akiwa katoka bank ana mchuzi wote, So majambazi walichukua Uhai na kila senti. Mchizi walichobaki nacho ni Nyumba tu pale Mbarali.💔 Maza alikufa kikatili sana na majambazi walimtumia Houseboy wake. Aliingia ndani akachukua nyundo ule upande wa kung’olea msumari akamchimba maza kisogoni😭😣 kikatili mno💔 akabeba madusko akasepa. DAMU NZITO, Kesho yake asubuhi jamaa anazunguka mtaa na handbag ya bimkubwa kama mwehu. Alikamatwa kirahisi mno.
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o tweet media
Indonesia
28
22
223
22.5K
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@gabyconscious Kwahiyo alikuwa anawekeza mpunga wake wote kwa siku moja na kitu kimoja!!
Indonesia
1
0
1
82