Explorer
1.9K posts


@Mrkongajr Mr Blue_Pesa
Wakali Kwanza_Natamani
Fid Q ft Matonya_Usinikubali haraka
Ben Pol_ Pete
Jordan ft Mirror, Ngwea_Bila wewe
Kidumu_Haturudi Nyuma
Barnaba ft Beka, Amini_Natumaini
AY_leo
Bob Junior_Oyoyo
Top C_Ulofa
Pasha_Hidaya
Mwana fa ft Alikiba_Kiboko yangu
Indonesia

@Makaveli_255 Kwenye huu ulimwengu wa Chatgpt unatoa challenge za namna hii...😅
HT

@fezoomaster Sidhani kama wana mkimbia....Ni kama mtoto anavyoondoka nyumbani anapoona mda wa kujitegemea umefika na anaweza kujimudu...
Indonesia

@Exp_l0rer_ @goeroben @spana_Konki Umepambania sana na suala la 'kujiamini' kwamba nikimuuliza alikua anaongea na nani sijiamini? We ni mjinga.. mke/mpenzi ni jukumu langu kama mwanaume wake kufahamu vitu ambavyo nakua na mashaka navyo. Hiyo ndo maana ya kua kiongozi/eader wa mahusiano. Sio fashion show hiyo.
Indonesia


@goeroben @spana_Konki Sina maana iyo bro.....Nadhani rudia kusoma tweet ya mdau aliye tweet... Utanielewa zaidi.... Kuna mambo ya kuuliza lakini sio kuhusu kuwa busy na mazungumzo ya simu....
Filipino

@Exp_l0rer_ @spana_Konki Kwahyo kwako kulinda mahusiano ni kukalia kimya kila kitu? Yaani hapo ndio unajiona uko matured na ata kushika simu NO.😂
What if unamahusiano na malaya utajuaje Sasa? Au unadhani malaya hawana serious relationships?
Insu sio kuwa insecure, inshu ni kuhakikisha unamtu sahihi.
Filipino

@Brother_0101 Mwanamke hutulia sehemu ambayo anaona nafsi yake inapata amani/imeridhia... Maana yake hapo mwamba ndiyo anaforce mambo...akili ya mwanamke haipo kwake....
Indonesia

Nimewahi kulala na mwanamke wa mtu bila kujua. Kiufupi alinambia yupo single.. nikaamini kwa mashaka lakini.
Baadae jamaa (msela wangu nisiyesemanaye sana) akanicheki eti nimekula Demu wake💔. Nikaongea na msela, kiroho safi yakaisha.
Tukasameheana.
Ajabu jamaa akamrudia huyo Demu aliyemcheat kwangu.
Umejifunza nini kupitia huu MKASA.?😅
Indonesia

@jawsootz2007 @spana_Konki Hapana bro.... Mfanye mwanamke wako "Awe na hofu ya kukupoteza" usi force mambo hapo ndiyo tunapo fail....
Filipino

@Exp_l0rer_ @spana_Konki Kaka hiyo gender usipouliza pia ni kosa
Indonesia

@goeroben @spana_Konki Mfano kakujibu "nilikuwa na mazungumzo na watu wa nyumbani", What next?.. Ukiwa hujiamini na mahusiano yako ndiyo pale unaanza kupanic/kufoka, mtu akiamua kukucheat anakucheat bro. Kuuliza uliza sio njia ya kulinda mahusiano, zaidi ya kuonesha udhaifu kwamba hujiamini.
Indonesia

@Exp_l0rer_ @spana_Konki What if kaongea more than 30minutes kila ukipiga anatumika, je huwezi uliza?
Filipino

@kishoka_ @spana_Konki Nyie ndiyo kila siku tunakuta confession zenu kwenye anonymous "mara mwanamke wangu kafanya hivi, mara imeenda imerudi" huwezi mchunga mwanamke kama mbuzi, utaishia kupiga yowe tu kila siku.....
Indonesia

@Exp_l0rer_ @spana_Konki Natumai wewe ni mgeni na kitu kinaitwa "women"
Indonesia

Kwenye siasa ya muziki, Baba Levo kuvujisha video inayoonesha Diamond akimsaidia Mbosso kuandika ‘PAWA’ wimbo mkubwa kwenye EP ya ‘Chumba #3’ japo Mbosso mwanzo alikataa hii inamaana kubwa sana!
Watu wa Cuba kama Polepole washaelewa! If you don’t get it, forget about it.

Filipino

@SamataJr_12 @Makaveli_255 Kuingia uwanjani kumechafua vp biashara??
Indonesia

@Makaveli_255 Na ile kuingia uwanjani Fainal ya world cup imemchafua sana kibiashara
Indonesia

Mimi sijasema ni mwanafunzi wa nani 😆😆😆
Your Designer@Daviowhite
I don't even mind the design But why you go off shirt? 😂
HT














