Malimi
8.8K posts

Malimi
@goeroben
Tusichague kazi, kazi n kazi Own my SME💪,Yanga💛💚, ManU(Red devils).
Ubungo Katılım Temmuz 2022
1.4K Takip Edilen1.4K Takipçiler

@capitanpapilon Unakuta toto linakaa kigamboni alafu linasoma makongo hadi unajiuliza hivi wazazi wa huyu mtoto zimo kweli😂
Indonesia

@fumbokhanJr Kwahyo watu huwa hawasemi mazuri au ni wewe tu ndio unayasemaga?
Indonesia

Wakuu Kwanini watu hampendi Kusema Mazuri Kama Haya Kwa Sauti Kubwa? Huu Uwanja utakuwa Mkali sana.
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.@Gaspinho15
Mama ameiheshimisha Arusha. Moja ya viwanja vya AFCON 2027 vinajengwa hapa. Wananchi wamepata ajira, biashara zinakua, na pia chachu ya kukuza vipaji. Oktoba29 Tunatiki Samia.
Indonesia

Kuna nyakati nilikuwa siamini ila saiv bado siamini mapitio aliyopitia Mbowe kwenda jela watu wakamchangia akazunguka nchi nzima kuimarisha chama akaja kuonekana fala dakika za mwishooni ila kinachonipa mashaka zaidi Lisu nae anapitia hayo hayo ya Mbowe kuwa gerezani nawaza picha ndo lile lile au saiv stering kabadilika. Mm sijawahi sikia heche kalala hata rumande wala Lema na ndo vinara mashujaa wa sasa ngoja tuone
Filipino

@ramaasramaa @ThomzJoseph Navyomuona ni kama wanavyomuona wengine. Hakuna mtu humo
Filipino

@goeroben @ThomzJoseph Kwan we unamwonaje Budo 😆😆😆 tuanzie hapo kwanza
Polski

Hajawahi kutupa majibu kwanini Mamelod walilimkimbiza😭
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr
De Reuck mechi 2 goli 2 Boyeli mechi 2 mikimbio shindili 😭 Mzungu chuma 🙌
Indonesia

@ramaasramaa @ThomzJoseph Ata budo alisajiliwa kolokoloni kama first team ila Sasa yaliyotokea😂
Filipino

@ThomzJoseph Injury tu, mbona iko wazi kaka😀😀😀 yule alikua 1st team
Indonesia

@DavidKampista Pia katika collective responsibility, kazi ya mchezaji nikusaidia timu kubeba makombe😂
Indonesia

@MasoudJapan @MangiwaKwanza1 Huyu mzee ni kweli ni mtoto wa Nyerere tena ni first born wake Mzee.
Filipino

@MangiwaKwanza1 Ata Tive anaitwa Tivu Nyerere kachukua mpaka sauti ya mzee
Filipino

@SIGMATTITUDE @Masstown_ Si aniache akatafute wa kumuoa!? Yaani kwangu yupo kama geresha akipata mtu anaenda KLMY
Filipino

@goeroben @Masstown_ Acha ufara, kashakuwa huyo unataka awe mshangazi 🤣
Indonesia




















