Lusoz lusoz
49 posts


#SWALILAKIPIMAJOTO:MKULIMA KUZALISHA BILA UHAKIKA WA SOKO. JE KUTAMWONDOA KATIKA UMASKINI?

Kwanza unatakiwa ujitambue kuwa umevuka hatua fulani kunachotakiwa uwanze kufanya vitu nywenye mafuaa sasa na baadae
Masanja@mkandamizaji
Mtu akikwambia “umekua mtu mzima sasa” unadhani anaamaanisha unatakiwa uwe na sifa zipi au mwenendo wako unatakiwa uweje? Niandikie hapa chini, nitaritwiti.
Indonesia

#VIDEO Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Stars na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametua Cairo muda huu kuongeza hamasa kwa timu hiyo ambayo kesho itaikabili Kenya katika mchezo wa pili wa Kundi C wa Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon 2019).
Indonesia

@IAMartin_ @HecheJohn @godbless_lema @MagufuliJP Brother hii tz imekuwa kama cm ya mkonon mwenye maamuz ni mtu mmoja no ushauri so sisi tutabaki watazamaji tu 🐒🐒
Indonesia

Mbunge wa Arusha Mjini @godbless_lema alisema haya mapema, mlipaswa kumsikiliza, tusingelikuwa hapa. Rais @MagufuliJP wapinzani wako kisiasa sio maadui zako, wasikilize, walikupa ushauri kabla ya "business crackdown" hii ambayo unakutana nayo sasa. Hukutaka kumsikiliza!
Filipino

@halimamdee Hii tz wetu inaendeshwa na mtu so analoamua yeye ndiyo hilo watu inabid wafatee Mimi na wewe atujui hiyo ziara inamaana gan ila mmmh 🖐️🖐️ miiaka kumi si mingi awamu ya Kwanza imebaki miez tu..
Indonesia

Kuna wakati unaweza amua kubaki NYUMBANI na KUMUOMBA MUNGU peke yako.
Neville Meena@NevilleMeena
Askofu Josephat Gwajima, baada ya kukutana na Rais John Magufuli Ikulu leo. Gwajima ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi. Nini maana ya ziara yake Ikulu?
Filipino

@Miti_Mingi @shaffihdauda1 Aaah atakama kaondoka livepoor kichapo kinawausu 😂
Eesti

@shaffihdauda1 Sasa kama huyu kiumbe msumbufu anaondoka Supa Cup si ndio namshindilia magoli mengi mengi huyu Sarri
Indonesia

@shaffihdauda1 Atuna budi kukubari maana hazard ndiye alikuwa anamaamuz ya mwisho yeye mwenyewe ndoto yake ilikuwa akacheze bernabeu so upande wetu ametuacha na uzuni ilawewe ameondoka na furaha maana ndoto yake imekamilika
Indonesia

@Kasesela Tunaianza safari pamoja ilahukombelenin tutakuja kugeukana tu
Eesti

#SWALILAKIPIMAJOTO:UHARIBIFU WA BAADHI YA MIUNDOMBINU YA SHULE KUHISIWA KUFANYWA KWA HUJUMA. JE ADHABU KWA WATAKAOBAINIKA IONGEZWE ILI IWE FUNDISHO KUDHIBITI MATUKIO HAYO.
Indonesia

😂 hata FUTARI , kila mtu anakula KWAKE!!😂! Mzee MEKO ameshawafanya MATAJIRI kuwa MASIKINI, na MASIKINI kuwa MASIKINI ZAIDI!! 😳 Masikini TULIJENGEWA chuki dhidi YA MATAJIRI..tukiaminishwa,wakishuka TUTAPANDA 😂!SASA wote tuko HOI hakuna wa kumpiga mwenzie MIZINGA 😭 CCM Oyee😂
Jon Mrema@JonMrema
Enzi zile kabla ya awamu hii ya 'vyuma kukaza' Muda kama huu ilikuwa ama mwendo wa 'Backet' au umealikwa na Friend anayefanya kazi kwenye Coorporate World for a drink au 'Event' ......Leo tunalazimishwa kuwa wachoyo. .......
Indonesia

"Tumevuna tulichokipanda" - Kocha wa Coastal Union Juma Mgunda baada ya mechi.
FT: Simba SC 8-1 Coastal Union.
#AzamSports2 #TanzaniaPremierLeague #SisiNiSoka #AzamTVApp #LigiKuuTanzaniaBara #SSC #SimbaSC #CoastalUnion #SimbaCoastal
Eesti

@ITVTANZANIA Misiba ya sikuizi nivichekesho badala ya kukaachini kuomboleza kwa majonzi watu wanatumia nafasi hiyo kukosoa mambo ya siyo na ukweli wowote walikuwa wapi kuongea wakati akiw hai jamani hemu tukumbuke Dr mengi naealikuwa binadamu kama sisi sasa tusiangalie nini alifanya
Indonesia

@shaffihdauda1 Hakuna kucheza hovyo wala nini kifupi walizidiwa hawa mabwana
Indonesia








