Stamina Shorwebwenzi

498 posts

Stamina Shorwebwenzi banner
Stamina Shorwebwenzi

Stamina Shorwebwenzi

@StaminaTz

Stamina Official Twitter Account Mr Bonventure love bite series 👉https://t.co/1hpE0BFxTf

MoroTown Katılım Ocak 2011
0 Takip Edilen2K Takipçiler
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
staminah, nasukuma kete hata dafti waliweke bondi...! muosha maiti bora usepe leo umepewa maiti ya zombie...! @StaminaTz Mtu chee Mia 🔥
Indonesia
4
2
16
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Ndoto ya kambumbu kusakata iyo kwangu ilikuwa dili... / Sikupata nachotaka nimepata nachostahili... / Hii dunia ya wajuaji yenye mengi makelele.. / Ambayo ukipanda mnazi eti ukae siti ya mbele.. / @StaminaTz Nitakukumbuka
Indonesia
3
2
20
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Nafikiria anakamata bodaboda hajavaa helmet why?.... / Wakati kwa michepuko havai kinga anapiga dry.... / Pesa sio sabuni ya roho ni sabuni ya uchafu... / Ingekuwa sabuni ya roho ingetakatisha mpaka wafu.... / @StaminaTz Safina 🔥🔥🔥
Indonesia
3
2
14
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
nimezaliwa jangwani, kivipi unitishie ukame.... / mkulima, rudi shambani hii ndo mundu ya machame... / kabwela, mwenye kitambi bepari utamtesa nani... / kokote mi kwangu kambi, anthony unipe ramani... / @StaminaTz Agano jipya 🔥🔥🔥
Indonesia
0
2
13
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Halafu Baba maisha ni mazoezi.... / Ukiona watu wanakonda ujue pesa ndo gym tosha.... / @StaminaTz
Indonesia
0
2
12
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Kikubwa naomba Mungu Aninusuru na maisha yamezidi kunichanganya... / We tazama dunia Wanakondoo na waumini kwenye safina ndo wanazama.. / @StaminaTz Safina
Indonesia
0
2
10
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Wanaolia hawahesabiki....! Ijapo hawakunipenda zamani Wanafiki leo marafiki.... / Hawana hata haya usoni Wanasubiri mpaka nife...! Ndo sifa zangu zije ziskike.... / @StaminaTz Paradiso 🔥🔥🔥
Indonesia
0
1
9
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Nishapeleka nyota yangu kwa waganga mara ngapi?.... / Ushanisimanga kwa maneno hadi ukachoka kiko wapi... / Binadamu aliyekamilika haya nionyeshe yuko wapi.... / Kama malipo duniani sema nikulipe shingapi... / @StaminaTz Paradiso 🔥🔥🔥
Indonesia
0
2
8
0
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi@StaminaTz·
Tunasema Asante Sana Kwa Sapoti Na Muitikio Mkubwa Mnaotuonyesha Ndugu Zetu Watanzania!! Ahsanteni Kwa Muitikio Wenu🙏 1. Tigo - 0659 21 31 70 2. Voda- 0744 24 49 74 3. Airtel - 0684 35 78 88 Jina REMMY BENEDICTO NGUVU
2
1
36
0
Stamina Shorwebwenzi retweetledi
The Sniper
The Sniper@MfaumeSeif5·
@Roma_Mkatoliki @StaminaTz Taasis gani itakusanya hizo pesa..usituambie serikali inayokula hadi hela za rambirambi
Indonesia
0
1
1
0