
@tazamaMbali Dini ni utaratibu wa kumuabudu Mungu, ukisema hivo maana yake kwamba hakutoa utaratibu wa kumuabudu
Indonesia
mafere114
71 posts



Kwaresma Sio mpango wa Mungu, ni mihemko tu ya kibinadamu.. Kwaresma haiko kwenye biblia, Yesu hakuwahi kufunga kwaresma. Yesu alifunga siku arobaini ili akajaribiwe na aanze huduma ya kufundisha na kuponya Kwa miaka mitatu. Kwaresma eti wanafunga ili waende kwenye mateso ya Yesu, hii Sio sawa, tusipotoshe neno la Mungu lilivyosema..🙏




Before he was hanged, South African freedom fighter, Solomon Kalushi Mahlangu said; "My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that I love them. They must continue the fight, Aluta Continua"







