Mtwa-Outfit

1.7K posts

Mtwa-Outfit banner
Mtwa-Outfit

Mtwa-Outfit

@MtwaMng

Work smart

Katılım Kasım 2022
346 Takip Edilen149 Takipçiler
Mtwa-Outfit
Mtwa-Outfit@MtwaMng·
@miltonl04 @PolycarpMDM Kaka usijitoe ufahamu, sote tunajua wenzetu ndo wanaongoza kwa teknolojia..vitu vingi tunaiga kwao. Sasa wao hawajaamza, unawezaje wewe mndengereko wa bungu mketo??
Indonesia
0
0
0
5
ORION🏹
ORION🏹@miltonl04·
@MtwaMng @PolycarpMDM Unamaanisha nini "hata ulaya bado hawajaanza"? Ulaya wakianza kutokula nawewe utaacha kula?
Indonesia
1
0
0
3
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Rwanda imezindua taksi ya angani ya kwanza barani Afrika inayoruka yenyewe na inatumia nishati ya umeme. Lengo ni kuwa na huduma ya taksi za angani kwa umma nchini Rwanda hivi karibuni.
Polycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
6
3
72
2.6K
Mtwa-Outfit
Mtwa-Outfit@MtwaMng·
@Conspiracist_1 Labda nikisaidie tu,. Hali imekuwa hivyo sababu ya utofauti wa misingi ya imani. Kila dhehebu wanatafsiri Biblia kulingana na mtazamo wao. So hawaawezi kuwa kitu kimoja..
Indonesia
0
0
0
71
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Kama sio maslahi binafsi inakuaje sehemu moja inakuwa na makanisa tofauti zaidi ya 7 yaani unakuta Kuna RC, TAG, EAGT, Anglican etc Kwanini wasiungane kuwa kitu kimoja kama wote wanahubiri kweli ya Yesu!?
Indonesia
12
4
40
2.6K
Rich1128
Rich1128@SBloga11·
@Kamnyeso haina tofauti na mtu aliajiriwa serrikalini analipwa 500k ni walewale tu
Indonesia
2
0
2
50
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Kuna jamaa naongea nao huku kijijini nimegundua hawa wenetu wameridhika kuwa maskini maisha yao yote. Hawaamini kuna kutoboa kwenye maisha na kuwa tajiri,Wasenge hawa🫪
Filipino
2
7
36
1.7K
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
Yule rafiki yako aliyefariki akaacha na familia umewaza kwenda siku moja moja kumcheck mke wake kum bless mtoto wake japo nguo za Shule na Viatu au alivyo fariki na wewe undugu ndiyo umekwisha?!
Filipino
20
69
556
16.9K
Mtwa-Outfit
Mtwa-Outfit@MtwaMng·
@sapro_phyticus4 Ni utani, lakin kuna uhalisia. Now mtu anaweza kuwa millionare yupo chumbani kwake tu..
Indonesia
0
0
0
69
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus4·
Good morning wawekezaji wenzangu .
Kaka mkubwa tweet media
Indonesia
47
29
112
11.2K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Hivi nchini Venezuela ukimrushia Raisi kopo kama hivi wanaweza kukufanyaje ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
53
38
155
12.1K
Mtwa-Outfit
Mtwa-Outfit@MtwaMng·
@zoetjesheeftX Ajihadhari tu na ushoga, maana kuna uhusiano mkubwa sana kati ya fashion na ushoga, na hata wadhamin wao ni upinde...
Indonesia
0
0
1
1.3K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Inawezekana dogo vitu alivyo kuwa akifanya Instagram ilikuwa kama kujifurahisha tu, hakuwa na mpango wowote Wala Dira, ila kumbe MUNGU naye ni nani, mara Vuuuu,, makampuni makubwa ya mavazi pamoja na Instagram wenyewe wakamuona. Jana Moja ya kampuni kubwa ya mavazi pamoja na Instagram wame enda kumchukua dogo kwao Ethiopia. Dogo Kwa Sasa ndo mtu maarufu zaidi Instagram anaye fuatiliwa Kwa Sasa, mwite Kaluptics dogo aliye kuwa anajifanyia vitu kama kufurahisha nafsi yake tu. Inawezekana hata wewe hicho unacho kifanya unaona kama ni kawaida tu ila MUNGU siku akiamua utabaki unajishangaa.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
28
5
370
52.9K
Mtwa-Outfit
Mtwa-Outfit@MtwaMng·
@EsirEid Mancity ana kazi ngum sana. Naiona Arsenal mshindi..
Filipino
0
0
2
34
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@Mwangosijnr·
Njombe Mida ya Jioni ina Foleni sana ni Kama Dar Tu.😂
Masterplan🇹🇿 tweet media
Indonesia
56
41
314
14.9K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Baada ya Jumuiya Acha Tuone huu Mzigo!
MR BEN tweet media
Suomi
7
9
86
7.7K
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Jenerali Assimi Goïta ambaye ni Kiongozi wa Mali amejiingiza mwenyewe mstari wa mbele kusimamia operesheni maalum zinazoendelea kwa sasa nchini mali. Wakoloni wanadhani jamaa ni mabwanyenye,Jamaa ni masoja wanazama front wenyewe. #BilaGanzi
Jack upepo tweet media
Indonesia
9
11
288
14.8K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Vijana wa Njombe ukiwaangalia kwa haraka haraka unaweza hisi ni maskini wa kutupwa ila vitu wanavimiliki vitakushangaza. Unashangaa kijana wa miaka 22 tu anavaa zake koti moja zito suruali pana na magumboot kichwani wanapenda kuvaa mizura. Ila sasa unashangaa ana ekari tano za viazi mviringo, msitu ekari moja na ekari tano zingine za maparachichi. Hamna hamna thamani ya anavyovimiliki inafika milioni 50+ na hapo unakuta ashajenga tayari🙌 Njombe kuna vijana matajiri mno tena wanainuana kwa kutengeneza vikundi vya ujasiriamali📌
Indonesia
18
23
189
12.1K
5070
5070@SoloDiBaller·
@MtwaMng @MkulimaKante Una hasira sana sababu hawaji kuchukua nguo nini? Mtwa na unawaua watu wako?
Indonesia
1
0
1
8