
KAKA FURE
15.5K posts

KAKA FURE
@FrankaneBest
Security Systems, ICT & Fire Detections


@DadaConso Maza angu alikua akinipiga ni diwani pekee ndo anaeza amua huo ugomvi, Ukimkuta na wajukuu unajiuliza huyu hii roho nzuri hivi kaitoa wapi?😂

Najua haikuhusu lakini nawaambia Mimi napendwa buana tena na pisi kali.😂


Mother reveals how she left her daughter with her parents and met them making her hair when she returned

It’s very simple mtu akikupiga muache akudunde weeee pona vizuri kabisa vuta mkopo kikoba tafuta kijiwe wape kazi vijana Apate na yeye kipigo cha kumtosha.



Jana nilipiga stori na Senior mmoja hivi, akaniambia madogo wa herudi 3. Wanayumbisha uchumi wa Malawi. Madogo kwenye kodi ya bilioni moja wapo tayari kupewa 200M wagawane mwisho wa siku gavoo mfuko unakauka. Dogo ana miaka miwili kazini ana nyumba MbweNI kmmk!

Dah kwakweri tunajivuniya sana kwa Huwanja mzuri sana Dah kwakweri mungu Hatujarie Tanzania tuwe namahendereo

Vijana umalaya ni gharama! 1️⃣Lodge = 15,000/= 2️⃣Naul (go & return) = 10,000/= 3️⃣Chakula whole day = 20,000/= 4️⃣Asante kwa game. = 30,000/= 5️⃣Other Sunk Cost..!! = 15,000/= TOTAL = 90,000= Hii ni kwa uchumi wa kati hasa maisha ya Dar..





