Fred
4.1K posts

Fred
@FreddyMfugale
Economist,Diplomat & Economic Diplomacy Aficinado

Watanzania ni wakatili sana, either wana mamlaka au hawana, huu ni uthibitisho wa namna tunavyotofautiana ukatili kwa level mbalimbali! Imagine mtu anaona hii ni sahihi kabisa ilhali anajua anachofanya ni hatari kwa afya za Watanzania wenzake. 😡🤬🤬


Nini husababisha mpaka mwanamke kufikia hatua ya kunywa pombe Kali kama maji??? Unaweza date mwanamke wa hivi??

Mobutu Sese Seko's grand daughter, Shadai Mobutu, an elected official in Brussels.

Siku hizi mademu wanaAct kama washua kwaio inatupa ugumu sana sisi tunaopenda watoto wakishua inakua ngumu kudifferentiate mpk muanze kuongea na apo ashapoteza muda wako

Sikuwahi kuiona picha hii ya Martin Luther King Jr na Mwalimu Nyerere. Ilipigwa wapi?



@MarekaMalili Ukitoa wasukuma hii nchi watu wanakufa nenge, ila ukitoa Wanyaki, parachichi zitapana bei kinoma .

Mke ni kama ua, si mtumishi—mhudumie kwa upendo, heshima na huruma. Ukimtunza vizuri, nyumba nzima huchanua. 🌸 Juma Kareem

Kusema ukweli Gym nafanya sana but matokeo matokea naona yanachelewa 🥹😭 nahisi kukata tamaa 😭

Mtu anapost picha za zamani unakutana nae ni mnene na mkubwa kinoma 🙌🙌🙌




