Joseph Jilili

1.7K posts

Joseph Jilili banner
Joseph Jilili

Joseph Jilili

@FukoJilili

football and music

Arusha, Tanzania Katılım Mayıs 2021
2.1K Takip Edilen441 Takipçiler
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@PolycarpMDM Taifa la Rwanda ni dogo kwa geographia na lina population ndogo ni rahisi kusimamia sheria kwenye kundi dogo, sehemu kubwa za barabaran wamefunga camera, so ukiendesha gari unakuwa unaonekana na camera kila mahali, 2023 nilikuwa Rwanda niliona watu wanavyotii sheria barabaran.
Indonesia
1
0
0
187
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Nchini Rwanda, Ni Rais, Waziri Mkuu na Spika wa Seneti pekee walio na haki ya kipaumbele barabarani, yaani ruhusa ya kutumia njia maalum. Mawaziri hulipia magari wanayotumia kupita katika Barabara hizo na kukatwa kutoka kwenye mishahara yao. Waziri mmoja aliwahi kutozwa faini ya dola 50 kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo wa kasi kupita kiasi.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
12
21
396
37.9K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@EsirEid Cha kwangu kilirudi ndani mpaka nikawa nawaza au kuna mtu alinishika bega😂😂
Indonesia
1
0
2
78
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@jinnyX66 Kwenye starehe wanaongoza kwenye maadili na aibu ni wa mwisho,
Filipino
1
0
1
650
SHALIPOPO 🦇
SHALIPOPO 🦇@jinnyX66·
Leo nime gundua sauzi africa kwenye shule zao ukitoa kucheza Amapiano na kuvaa sketi fupi mashuleni wale waxenge ni weupe kichwani hata ku reason ni weupe asee😄💔
Indonesia
24
48
572
29.6K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mwandishi 🎤 Tunaskia mtu wa kazi ulitapeliwa pesa zako ulizozipata Dar na ndo chanzo cha kuondoka, tuambie ilikua sh ngapi na kwanini uliondoka Dar. Mtu wa kazi 🎤 Yule jamaa alinitapeli shilingi 400,000 maana katika harakati toka tulivyoingia dar tumekaa mda wa wiki tatu tulipata shilingi 450,000 🎤 Lakini baada ya wiki tatu jamaa niliekua nae akanambia kua imebakia laki na nusu afu mimi akanipa elfu hamsini tu na hela alikuaga anachukua yeye tu 🎤 Baada ya hapo nilijisiia vibaya na hakunitendea haki ilibidi niende mbezi nikachukua gari nikarudi Dodoma -------------------- Hivi unawezaje kumfanyia mtu mambo kama haya , kuna watu wana roho ngumu Mtu wa kazi kama una connection nae msaidir mshikaji yuko humbe sana
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
20
25
288
65.3K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@kasesco_tz Sasa mtu kasoma miaka kibao kapata kazi ww kumpa 10k jambo lako liende unaona nyingi duh ila binadamu, kwa maoni yangu hiyo ni ndogo sana wangeongeza kidogo hata iwe 20-50k kutegemea na mahitaji ya mteja
Filipino
0
0
0
191
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hii nchi tunapigwa sana kwahiyo muhuri wa mwanasheria ku certify cheti tu nalipia 10,000/= kwa cheti kimoja nikiwa navyo 10 ni 100k seriously..?
Filipino
47
34
240
11.9K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mpira natazama na remote mkononi, Man City wakishika tu mpira ninabadili Channel. Sitaki kuwaficha, hofu ni kubwa mnoo.
Filipino
46
19
532
12.2K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@JamiiForums Kwan man city akishinda analisogelea zaidi kombe kuliko arsenal?, how?
Filipino
0
0
0
40
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
ENGLAND: Mapambano ya ubingwa yanaendelea ndani ya Premier League (EPL), leo Aprili 19, 2026, ambapo Manchester City inavaana na Arsenal FC katika Dimba la Etihad, Manchester mishale ya Saa 12:30 jioni (muda wa Afrika Mashariki). Swali kubwa linabaki: Nani ataibuka kifua mbele na kusogea karibu zaidi na taji? A. Man City💪 B. Arsenal🔥 Kufuatilia soma jamii.app/ManCityVsArsen… #JamiiForums #JamiiSports #JFMichezo #JFEPL2026
Jamii Forums tweet media
Indonesia
2
1
17
1.7K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@ayubu_madenge Wamshauri vizuri hakuna binadamu asiye na adui, hakuna kitu utafanya ukose adui
Indonesia
0
0
0
35
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Peter Magyar kiongozi wa Upinzani aliyeshinda uchaguzi wa Hungary na kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo amekataa KULINDWA. Amesema “Sina ninacho ogopa na ninataka nifanye kazi bila kuja kuogopa baadaye. Hungary lazima iwe nchi ambayo mtu mwaminifu anaishi bila kuwa na hofu”.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
31
69
1.1K
16.9K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@George_Ambangil Kuagiza Kuna riski kubwa hasa kwenye kutapeliwa,kama una pesa kuagiza sio Dili sana nunua showroom ondoka na gari lako kuondoa mawazo yasiyo na ulazima
Filipino
2
0
1
1.4K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Msaada tutani : Gari ya kuagiza Gari ya Showroom Utofauti uko wapi ? Ipi ni preferable zaidi
Indonesia
134
104
1.4K
174.4K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@iMajeshi_ Refaa alienda kumuangalia alivyoona anapumua akaona hakuna ulazima wa kuwa faulo,alaf huyo refa anaaminika sana
Indonesia
1
0
0
77
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Kwanini hii haikuwa penati maana janja kacheza mpira ukaenda off target halafu kipa akamgonga na kiatu usoni ndani ya 18. Au sheria zipoje kwenye situation kama hii.
TOXIC DAWG tweet media
Indonesia
70
14
324
34K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Man United wanamwagwa maji 😁😁😁
Filipino
7
5
73
1.8K
Alfred Kajuna (S.T.A.R)
Alfred Kajuna (S.T.A.R)@kajuna_alfred·
Mijitu haijacheza ligi siku 24 inakuja kufungwa kipuuzi,kata mishahara mbwa hizo
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
19
12
144
4K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@Zephania_Ndaki Haaa 2010 nilienda kwao mwanamke Tena ni familia kubwa ya kisukuma Ina watu wengi sana maana mzee alikuwa na wake 4 wote wanakaa boma Moja na limezengushiwa uzio,niliingia wakati mvua inanyesha asubuhi nikachelewa kutoka ikabidi nisubir vijana waende shambani nikitoka saa 4 asbh.
Indonesia
0
0
0
36
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Bora Ushinde Njaa Siku 3 Kuliko Kufanya Mapenzi Na Mwanamke Kwenye Gheto Lake!.
Indonesia
45
47
405
44.1K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@HecheJohn Mfano una biashara ya mazao, ukanunua gunia 100 Kwa 30k kila gunia mazao yakapanda Kwa wakulima ikawa 60k,kwaiyo hayo uliyonunua 30k utauza Kwa 40k ili ukanunue mzigo mwingi Kwa 60k?,kwamba uuze gunia 100 alaf ununue gunia 60?,hesabu ndogo hiyo nayo inakushinda😂😂
Filipino
2
0
1
543
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Wewe kijana kibaraka wa cartels. Wambie Watanzania mafuta yanayouzwa sasa yaliingia lini Nchini. Je wakati yanaingia bei zilikua zimepanda? Mafuta kusafiri kutoka yanakonunuliwa Mpaka kufika yanachukua siku ngapi? Je mafuta yaliyonunuliwa baada ya vita na mtikisiko huu yameishafika nchini? Usitumwe kusemasema tu kama umekatwa kichwa. Nani anaeingiza mafuta Nchini, alipewaje hiyo tenda? Kwanini awe peke yake ? Alishindanishwa na nani?
Indonesia
59
417
1.9K
76.2K
Joseph Jilili
Joseph Jilili@FukoJilili·
@Dagwaaa @BillyTronix1 Na wew utuambie ugriki na nchi kama china,Korea na urusi nan ana maendeleo zaid?, democracy inachelewesha maendeleo
Filipino
1
0
0
25
Sam
Sam@Dagwaaa·
@BillyTronix1 Baba wa Democracy ni nchi ya ugiriki Naomba unitajie nchi ya Africa imeipita ugiriki Kwa maendeleo
Filipino
1
0
3
185
Billy
Billy@BillyTronix1·
Mimi naamini democracy ni uongo ulioletwa kutufanya wananchi tuamini tuna chaguo kumbe tunapewa machaguo.
Filipino
33
28
234
7.4K
Munishi Renald
Munishi Renald@MunishiRenald·
Traore anasema demokrasia haifai. Means kajipanga kuwa lifetime president . Africa tuna mifano mingi ya watu kama yeye, muda utasema.
Indonesia
84
24
398
30.2K