O'ntwa MAKHELANI

8.2K posts

O'ntwa MAKHELANI banner
O'ntwa MAKHELANI

O'ntwa MAKHELANI

@Fungothe2Nd

26. christian. muuza mikate.

MAKHETE Katılım Mart 2020
1K Takip Edilen3.3K Takipçiler
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Usitegemee busara na hekima kutoka kwa kila mzee, kumbuka hata wahuni wanazeeka, na huyu dingi amethibitisha hayo.
Filipino
26
285
1.9K
30.1K
O'ntwa MAKHELANI
O'ntwa MAKHELANI@Fungothe2Nd·
Leo nimejifunza, Usambazaji ndo sehemu ya muhimu zaidi wajasiriamali wadogowadogo ukiondoa bidhaa bora. Kutegemea wasambazaji binafsi ni njia ya haraka zaidi kuelekea kwenye kufeli.
Indonesia
0
0
0
39
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Huku Tabora Wanyamwezi wenyewe wanatusihi sisi Wageni Tusioe Wanyamwezi,Kwani Wanyamwezi wanashida gani Wakuu.?😳🤔
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
29
27
208
14.1K
O'ntwa MAKHELANI
O'ntwa MAKHELANI@Fungothe2Nd·
Ndani ya miezi 2, ndo ya mafuta ya kula lita 20 imepanda kwa elfu 20👐 Hali inatisha
Filipino
0
0
1
43
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
𝑙𝑦𝑟𝑎
𝑙𝑦𝑟𝑎@naturehealyou·
White Aurora in Finland
𝑙𝑦𝑟𝑎 tweet media𝑙𝑦𝑟𝑎 tweet media
Svenska
145
2.6K
18.4K
2.7M
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
Holy Bible
Holy Bible@Holy__Bible1·
𝗘𝗺𝗽𝘁𝘆 𝘁𝗼𝗺𝗯. 𝗘𝗻𝗱𝗹𝗲𝘀𝘀 𝗵𝗼𝗽𝗲.
English
69
8.9K
28.4K
443.6K
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
Rikki Doolan
Rikki Doolan@realrikkidoolan·
Corinthians Football club in Brazil worshipped Jesus Christ in one voice as their match was on Good Friday. This how it supposed to be. Amen.
English
156
4.3K
19.9K
282.5K
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
Queen Bee
Queen Bee@KingBobIIV·
Pontius Pilate didn’t want to kill Jesus. He tried everything to stop it. “I find no cause in him.” (Gospel of John 18:38) His wife pleaded with him not to let it happen. “Have thou nothing to do with that just man…” (Gospel of Matthew 27:19) He had him sent to Herod for him to deal with it, Herod sent him back. “I find no cause in this man… no, nor Herod.” (Gospel of Luke 23:14–15) He tried to reason with the baying mob, and made it clear Jesus had committed no crime. “Why, what evil hath he done? I find no cause of death in him.” (Luke 23:22) He even tried to get Jesus to speak, to answer for himself, to defuse it. “Speakest thou not to me?” (John 19:10) Pilate even offered a prolific criminal in Jesus’ place, a way out, a swap. “But they said: Not this man, but Barabbas.” (John 18:40) But the crowd wanted him dead. “Crucify him.” (John 19:6) Eventually he ordered a bowl of water, physically washed his hands in front of the crowd, and declared it plainly: “I am innocent of the blood of this just man.” (Matthew 27:24) Where we now get the term “to wash our hands of something.” He was murdered for speaking the truth, for calling out financial corruption, abuse and hypocrisy. We HAVE to take this time to learn lessons. Otherwise it was for nothing.
𝕊𝕠𝕝𝕒 ℂ𝕙𝕒𝕕 🎚️@sola_chad

“My Kingdom is not of this world.” -Jesus Christ

English
12
60
579
40.1K
O'ntwa MAKHELANI
O'ntwa MAKHELANI@Fungothe2Nd·
Ofisi ya waziri mkuu inaomba trillioni kumi na mbili kwa matumizi ya kawaida Hawa wapuuzi hawatupendi sisi wala watoto zetu tumebeba viunoni humu 🙌
Indonesia
1
0
0
32
O'ntwa MAKHELANI
O'ntwa MAKHELANI@Fungothe2Nd·
@97Yamungu Ile ya asilimia 10 ya halmashauri mbona wapuuzi wamepita nayo sana na HAWALIPI Matokeo yake kuna watu wanasubiri hela tangu mwaka jana mpaka leo bilabila na kila kitu kiko safi bado kuingiziwa tuu
Filipino
1
0
1
8
DO's
DO's@97Yamungu·
@Fungothe2Nd Oya Anko bora Ile ya vijana nahisi hawatafatilia 😎😎😎
हिन्दी
1
0
0
5
DO's
DO's@97Yamungu·
Vizuri; sasa mwisho ilikua mwezi wa kwanza. Jana nimeongea na dogo langu ananiambia kitu kuhusu huo mtaa nadhani ni wao. Nyumba imeuzwa na gari mbili ya mke na mume. Hivi wanaume ni kwamba tukikopa haturudishi au kuna changamoto gani? Kausha damu sio poa wazee
Indonesia
1
0
0
16
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
Dziedzorm💚
Dziedzorm💚@SSDziedzorm·
Some of you don’t respect people until you see what they can do for you. You are not strategic, you are just a terrible person.
English
56
3.9K
11.2K
2.5M
DO's
DO's@97Yamungu·
@Trigga_kush Oya we usitoke wala nini na wala usicomment kausha. 2023 kuna mtu alifanya hivyo lile group sijui hata nilitolewaje ila sikuwahi kuchat wala kufanya chochote
Indonesia
2
0
3
28
FineByMe🇹🇿🇷🇼
FineByMe🇹🇿🇷🇼@Trigga_kush·
Miaka 10 hujawahi kuongea na mtu ghafla asubuhi unajikuta kwenye group la ndoa. Can you people try to utilize well that small cycle you have Thuli,Khuli... Mbali Sabela.
Indonesia
35
210
1K
38.8K
O'ntwa MAKHELANI retweetledi
Pope Mwita I
Pope Mwita I@EJ_Mwita·
Sio ndani tu, SOLITARY CONFINED, Inaumiza sana. Hakika ni Mungu ndiye anaemtia nguvu hata anaendelea kubaki na utimamu wake. Kwanini hawaoni kuwa huyu bwana ni mpango wa Mungu? Ukiwa confined kwa siku nne tu unaanza kupoteza kumbukumbu hata usijue tarehe wala saa. ATASHINDA.
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr

Uchaguzi umepita yupo ndani💔 Christmas imepita yupo ndani💔 Mwaka mpya umepita yupo ndani💔 Eid imepita yupo ndani💔 Possibly na Pasaka itapita yupo ndani💔

Indonesia
7
21
93
2.5K