T’s Gideon

933 posts

T’s Gideon

T’s Gideon

@G4geek

Machine Learning Enthusiast

Katılım Ocak 2022
116 Takip Edilen58 Takipçiler
T’s Gideon retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Arusha, asanteni sana. Baada ya muda mrefu bila kukutana, leo mmekuwa mashuhuda wa upendo wa demokrasia na haki katika nchi yetu. Pamoja na hofu iliyojengwa juu ya maumivu makali, mateso na mauaji, bado mmejitokeza kwa matumaini makubwa. Mungu awabariki . Love you sana.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
65
513
3K
37.3K
T’s Gideon retweetledi
EPL World
EPL World@EPLworld·
💡 هدف قد يترشح للبوشكاش في تنزانيا 🇹🇿😱
العربية
67
549
3.1K
115.2K
T’s Gideon retweetledi
Fodbold World
Fodbold World@fodboldword·
GOLAZO PUSKAS KARATE en Tanzania 🇹🇿😱
Euskara
138
3.2K
17.7K
404.3K
T’s Gideon retweetledi
Goals Side
Goals Side@goalsside·
🚨🚨| MEAN WHILE IN TANZANIA, A PUSKAS WORTHY GOAL WAS SCORED. ⚽️🔥
English
347
5.5K
31K
806.3K
T’s Gideon retweetledi
Total Football
Total Football@TotalFootball·
Puskas Contender from the Tanzanian Premier League
English
50
472
2.3K
43.7K
T’s Gideon retweetledi
Men in Blazers
Men in Blazers@MenInBlazers·
BABE, WAKE UP, THEY'RE SCORING WORLDIES IN TANZANIA 🇹🇿
English
129
2.2K
11.7K
485.6K
Mjusi
Mjusi@Mjusi_kafir·
@spana_Konki Dizasta Vina: A Confession of a Mad Man.
English
1
0
12
1.8K
T’s Gideon retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 186 ASP Geofrey Lutufye : Ni kweli yangu. Mhe. Lissu: Ni sheria gani inayosema ni kosa la jinai? ASP Geofrey Lutufye : Siwezi kujua. Mhe. Lissu: Sasa ulienda kukamata watu kwa kosa gani walilofanya wakati hujui kosa lao? Ulienda kuwakamatia nini? ASP Geofrey Lutufye: Tuliwakamata kwasababu ya Uchochezi. Mhe. Lissu: ulienda kukamata watu kwa kosa gani? ASP Geofrey Lutufye: Walikuwa wanakula njama. Mhe. Lissu: Kula njama ya nini? Umeshaaingia kwenye 18 zangu. Mhe. Lissu: Sasa twende kwenye maelezo yako, nani aliyekuruhusu kujiandikia maelezo wewe mwenyewe? ASP Geofrey Lutufye: Nilikuwepo kwenye ukamataji Mhe. Lissu: Nani aliyekwambia unaweza kujiandikia maelezo? ASP Geofrey Lutufye : Amekaa kimya. Mhe. Lissu: waheshimiwa amekaa kimya. Sema nani aliyekwambia unaweza kujipa onyo? ASP Geofrey Lutufye : Kakaa kimya Mhe. Lissu: Kwa vile halina swali na hilo jibu swali lingine kuwa nani alikushuhudia. ASP Geofrey Lutufye : amekaa kimya. Mhe. Lissu: Sasa ngoja nikupeleke kwenye PGO. Mhe. Lissu : Hivi PGO imeweka utaratibu ukisoma PGO 236 imeweka utaratibu wa kuandika maelezo ya mashahidi? ASP Geofrey Lutufye : ni kweli. Mhe. Lissu: Hiyo PGO 236 inasema investigation statements sasa ni kweli kwa mujibu wa hiyo PGO mtu anayeandika maelezo ya shahidi anakuwa tofauti na huyo anayemuandikia? ASP Geofrey Lutufye: unaweza jiandika mwenyewe. Mhe. Lissu: PGO ya ngapi? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki Mhe. Lissu: Ngoja nikupe PGO ujikumbushe. ASP Geofrey Lutufye : Mi nimesema siwezi kukumbuka. Mhe. Lissu: apatiwe PGO amepewa. Mhe. Lissu: Sasa tuonyeshe PGO gani inasema unaweza jiandika mwenyewe. ASP Geofrey Lutufye: Siwezi kukumbuka. Mhe. Lissu: Hukumbuki au hujui. ASP Geofrey Lutufye : Sijui. Mhe. Lissu: Umesema umeandika maelezo kwa mujibu wa kifungu cha 10(3) cha CPA. ASP Geofrey Lutufye : Ni kifungu cha 10(3)B Mhe. Lissu: Hicho kifungu hakipo unajua? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki. Mhe. Lissu: Sasa hicho kifungu cha 10(3) hakina lolote kuhusu kujikanya, kujiandika. ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki mimi. Mhe. Lissu: Ni kweli maelezo yako yalipaswa yaandikwe na askari mwingine? ASP Geofrey Lutufye : Naweza kuandika au anaweza kuniandika. Mhe. Lissu: Ni kweli au si kweli maelezo yako yanapaswa yaandikwe na askari mwingine? ASP Geofrey Lutufye : sijui hapo. Mhe. Lissu: Ni kweli huyo askari mwingine ndio anapaswa akupe onyo? ASP Geofrey Lutufye : sina jibu Mhe. Lissu: PGO 236 para 19 importance of this order. Anamsomea hapa kwamba kila polisi anapaswa kuijua kuhusu utaratibu wa kuandika maelezo. Je ulichokifanya kinaenda sambamba na masharti haya? ASP Geofrey Lutufye : Siwezi kujua. Mhe. Lissu: Turudi kwenye maelezo yako, uliposema mlipofika kwa mromboo mliwakuta vijana wakiwa wanazungumzia masuala ya Uchaguzi mkuu, ni sheria gani inayosema ni kosa la jinai? ASP Geofrey Lutufye : Sio kosa la jinai. Mhe. Lissu: Hawakuwa kosa lakini umewakamata? ASP Geofrey Lutufye : Walikuwa wanapanga kuzuia uchaguzi Mhe. Lissu: Unajua hakuna kosa la kuzuia Uchaguzi? ASP Geofrey Lutufye : Ni kosa. Mhe. Lissu: kwa sheria gani? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki. Mhe. Lissu: Nyie mmelitoa wapi hilo kosa wakati sheria ya uchaguzi hailitambui hilo kosa? ASP Geofrey Lutufye : Mi najua ni kosa lakini sheria sijui. Mhe. Lissu: kwasababu Kingai na Wambura wanasema ni kosa basi ni kosa? ASP Geofrey Lutufye : Kimya. Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama kuna sheria nyingine yoyote inayosema ni kosa? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki. Mhe. Lissu: Je wale vijana mlipowakamata mliwapeleka mahakamani? ASP Geofrey Lutufye : Mimi sikuaandika mimi maelezo yao. Mhe. Lissu: Kwahiyo walipelekwa mahakamani au hawakupelekwa? ASP Geofrey Lutufye : Sijui Mhe. Lissu: Itakushangaza nikikwambia hawakupelekwa mahakamani? ASP Geofrey Lutufye: Siwezi kushangaaa. Part 186 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Indonesia
37
446
1.2K
35.3K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Eric__Bernard Sasa anawaomba msamaha waTz, wakati asilimia 98 ya hawa watanzania wamesupport (kwa kura) chama ambacho wasanii walikua wanakipigia chapuo😁😁 wasanii si wadeal na waTz asilimia 98 waliokua nao upande mmoja. Mbona wengi sana hao kihesabu ni 2% tuu ndo hawasupport waTz
Filipino
2
0
7
791
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Comred Majizo kazungumza vizuri sana!!
60
3
76
14.9K
T’s Gideon retweetledi
BBC News (World)
BBC News (World)@BBCWorld·
How Tanzania police crushed election protests with lethal force bbc.in/47JR8Yx
English
92
805
2K
261.2K
GG
GG@GIVENALITY·
I think everyone should understand this so here it is in simple terms: Imagine you’re trying to find a single book in the biggest library in the world. A normal computer checks one shelf after another. It’s faster than human, but still does it one shelf at a time. A quantum computer can check many shelves at once. Now, Google’s Willow chip has just proven it can do this multitasking 13000 times faster and anyone in the tech community can verify that independently if they want. Why is this huge and why does this matter? Imagine each “book” represents a potential medicine. Traditional computers can only test one medicine at a time. It’s painfully slow when there are billions of possible molecules. Quantum computers like the one Google has just announced can “read” and compare millions of molecular interactions simultaneously, revealing which compounds might cure diseases like cancer or Alzheimer’s far faster than current lab simulations. This means drug discovery that takes years could shrink to weeks. It’s a big leap that happened today.
Sundar Pichai@sundarpichai

New breakthrough quantum algorithm published in @Nature today: Our Willow chip has achieved the first-ever verifiable quantum advantage. Willow ran the algorithm - which we’ve named Quantum Echoes - 13,000x faster than the best classical algorithm on one of the world's fastest supercomputers. This new algorithm can explain interactions between atoms in a molecule using nuclear magnetic resonance, paving a path towards potential future uses in drug discovery and materials science. And the result is verifiable, meaning its outcome can be repeated by other quantum computers or confirmed by experiments. This breakthrough is a significant step toward the first real-world application of quantum computing, and we're excited to see where it leads.

English
4
22
57
9.3K
T’s Gideon retweetledi
Jacob P. Laizer
Jacob P. Laizer@JACOBLAIZER·
"Naye Bwana akaufanya moyo wa Farao uzidi kua mgumu, akakataa kuwaachia wana wa Israeli"
Indonesia
0
4
7
454
WeakWrecker
WeakWrecker@DesmondDiss·
@everyythangsb evidence nyepesi nyepesi zinatoka kwenye lyrics za bongo flavor artists wakubwa tu "Masha love lete watoto"
Filipino
3
2
12
3.2K
WeakWrecker
WeakWrecker@DesmondDiss·
I'm pretty sure Masha love anafanya sex trafficking, importing girls from remote areas of the country waje Dar wawauze.
English
34
23
410
44.7K
T’s Gideon retweetledi
Zamalisa
Zamalisa@Zamedyzamzam·
“Your boos mean nothing to me. I’ve seen what you cheer.” Is a goated doctrine. If Rick and Morty gave us anything, it gave us that.
English
236
27.7K
207.2K
4.8M