"Ili niweze kwenda kwenye kikao chochote cha @TumeUchaguziTZ, natakiwa kuletewa taarifa mimi, siyo mwingine, siyo Makao Makuu ya chama wala siyo mwenyekiti wa chama, siyo Katibu Mkuu, siyo mtu yeyote isipokuwa mimi." Mhe. @TunduALissu
Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria. Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho.
Sheria za nchi yetu zinasema ukitaka kumkamata mtu lazima umueleze unamkamata kwa kosa gani. Wito wa polisi pia unatakiwa kueleza kosa la mtu unaemuita kuja polisi.
Bahati mbaya huwa hawafanyi hivyo wanavunja sheria kila mara. Lissu anasema fuateni sheria za nchi.
MAHOJIANO yako ya aina nyingi sana. Lakini ninavyoelewa ukiitwa na Polisi kwa mahojiano ni LAZIMA wakueleze inahusiana KOSA GANI LA JINAI. Polisi si Waandishi wa Habari wa UDAKU!
Tunataka MDAHALO ili wagombea wote waongelee
👉Foreign policies
👉Exports na ukuaji wa uchumi
👉FDIs na kuvutia wawekezaji
👉how to commercialize kilimo na kiwe biashara na faida
👉how to create employment
👉fiscal policies &mambo ya kodi
CCM muandaeni mgombea wenu tunataka awepo
UPDATE: "Kenya and Tanzania have resolved the air travel issue that saw Kenya Airway flights banned; operations to resume soon". Kenyan Cabinet Secretary for transport James Macharia. NMG