

Northern Circuit Adventure (™)
14.1K posts

@CircuitNorthern
🌍✨ Explore Africa’s breathtaking safari destinations! Discover why Tanzania is a must-visit for every traveler. 🦓🐘 #PolePole #SafariToTanzania












#UPDATES Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi leo tarehe Mei 13, 2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3 limemkamata Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji. Taarifa hiyo inasema Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mionendo ya kuondoka na kurudi nchini bila kufuata taratibu za kisheria. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na vyombo vyingine vya Usalama kuhusu suala hilo. #EastAfricaTV













