George Edo
3.4K posts

George Edo
@GeorgeEdo15
No easy task
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2020
246 Takip Edilen344 Takipçiler
George Edo retweetledi

Asanteni kwa upendo na sapoti yenu ❤️
Sichukuli poa huu upendo maana kiukweli mnanitetea na kunipambania - hadi kuna wapumbavu wanafikiri nimewakodisha ninyi wote 😅 hakuna pesa kama hiyo duniani! Ni upendo wa kipekee 🥲 nimeguswa sana!
Tupo pamoja hadi tupate ukombozi wa pilli 💪🏽🔥
Hatutarudi nyuma hatutakata tamaa!
No retreat no surrender!
No force on earth can stop an idea whose time has come!
Tushikilie hapa hapa and FOCUS! 👊🏽
#ChangeTanzania

Filipino
George Edo retweetledi
George Edo retweetledi

For the 1st time namskia kiongozi wa CCM anaongelea haki……NAOMBA KURUDIA HII NDIO MARA YA KWANZA KIONGOZI MKUBWA WA CCM NJE YA WARIOBA AMEKUBALI KUWA HAKI NDIO TATIZO…….
I don’t know how to take this maana sina Imani kabisa na watu wa CCM. So sijui kabisa kama Nchimbi yuko sincere na hili swala la haki…..
HAKI, UWAZI NA UWAJIBIKAJI NDIO VITU PEKEE VITAPONYA TAIFA NA KUTUTOA HAPA TULIPO…………
KATIBA MPYA NA UCHAGUZI WA HAKI KURUDIWA NDIO VITU PEKEE VITAPOOZA MAUMIVU YA OCTOBER 29……. SIO KUDANGANYANA KWA MARIDHIANO YA KIHUNI………

Indonesia

“Kama nchi Inabidi tupate wanaharakati wapya”
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷@waziri3wa_wapwa
Ipe caption 😄.....
Filipino
George Edo retweetledi

“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.

Filipino
George Edo retweetledi

HEKIMA 10 KUHUSU MAISHA
1. Usitumie Loudspeaker wakati unaongea na simu sehemu ya public.
2. Usitoe maoni kuhusu uzito wa mtu (kunenepa au kukonda). Haikuhusu.
3. Ukimpigia Simu mtu mara mbili na hazijapokelewa basi mtumie ujumbe akiuona atakutafuta
4. Usiende kwa mtu bila kualikwa.
5. Ukienda bafuni/chooni na kumaliza haja zako basi paache pakiwa safi kuliko ulivyovikuta. Kila wakati.
6. Kwenye lifti, waache watu watoke kwanza. Ni ustaarabu wa kawaida.
7. Mtu akikupa simu yake uone kitu, usianze kuperuzi (scroll). Hiyo ni imani aliyokupa.
8. Ukikopa pesa au ukiazima kitu kwa mtu basi rudisha. Sio kwanza kupigizana makelele
9. Ukienda nyumbani kwa watu mambo unayoyaona yaache hapo hapo. Usiyabebe na kutoka nayo nje
10. Ukiaminiwa, Aminika Kama hujui thamani ya uaminifu huwezi kuelewa madhara ya usaliti
Indonesia

@Maestrowafact @tenende_martial 😁😁 haya mkali ni ushauri tu kafanye check up ndg
Indonesia

@GeorgeEdo15 @tenende_martial Kumamako zenu
Euskara

@tenende_martial @Maestrowafact Naam watu wengi hawana elimu hii ya kuwa kucha huwa zinatoa dalili kuwa afya ya mhusika Kuna kitu hakipo sawaa
Indonesia

@Maestrowafact Frame 1 kama icho kidole ndo cha kwako mkali itabidi ujifanyie tathmini kati ya wewe na tungi nani amuache mwenzie
Indonesia

@GuzmnChapo1 Miongoni mwa vijana wababe wa mitaa jangwani na nyamwezi kipindi cha nyuma
Filipino














