Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata, Boniface Jacob, @ExMayorUbungo leo 08/11/25 aliamua kwenda kuitikia wito huo wa polisi. Akiwa njiani kuelekea kujisalimisha, amekamatwa maeneo ya Goba, Ubungo.
REPOST
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mimi naamini kuwa kuna sumaku ipo kwenye mavi huwa inavuta sabuni za kuogea, haiwezekani sabuni ikiteleza tu ukiwa chooni iwe inaenda direct kwenye tundu la choo kuyafuata mavi bila sababu. 😂