Gerry The Warrior...!
11.8K posts

Gerry The Warrior...!
@Gerry780000000
Reading, Curiosity and Innovations. Freedom Fighter, Human Rights Advocate, Joshua 1;9. Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike

@Gerry780000000 yan laiti kama tungejua how the devil ana speed ya kutunyamazisha kusali na kumkubali Kristo coz anajua tupo nyakati za mwisho so anatafuta wa kwenda nae kuzimu tusingejisumbua na mambo yasiyo na faida😭🙌🏾🙏hatuna muda mazee we are running out of TIME, let us REPENT🙏

“Bwana atakufungulia hazina yake njema, mbingu, ili kuinyeshea nchi yako mvua kwa wakati wake na kuibariki kazi yote ya mikono yako.” Kumbukumbu la Torati 28:12


@FamWorld2025 Sure!!!! Maovu yameingezeka mpaka Unatetemeka. Hapa Kijiji Cha Jirani Binti amezaa na Baba Yake and she is Proud of it.


🚨 NEW PRODUCT ALERT 🚨 Wapendwa wateja,Trixie Cleaning Solution tumewaletea SPARKLE DISHWASH🍽✨ Inangarisha vyombo na kutoa mafuta kirahisi, harufu nzuri na povu la kutosha🫧 💰 Price: 12,000/= (5Ltrs) 📍 Location: Ubungo Mawasiliano ☎️ Contact: 0786700273 Kindly Repost🙏🏽




HSE mnatukomesha na request zenu za Safety Boot.








Mwanaume: Ukiwa katika nafasi ambayo unaweza kumpunguzia ugumu wa maisha mwanaume mwenzako hata kwa buku tu fanya hivyo. Unaweza kudhani unamsaidia mtu mmoja kumbe kuna kundi la watu kadhaa nyuma wataweka chochote kitu tumboni kwa buku yako.















