G for Gold 🇹🇿

372 posts

G for Gold 🇹🇿 banner
G for Gold 🇹🇿

G for Gold 🇹🇿

@GideonMich49709

Gold/Silver/Copper/Graphite/Coal in 🇹🇿 Tanzania

Tanzania Geita Katılım Temmuz 2024
1.6K Takip Edilen105 Takipçiler
G for Gold 🇹🇿 retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Miundombinu yetu, Treni yetu, Fahari yetu. Leo nimesafiri kwa treni ya SGR toka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Hakika Watanzania tunayo kila sababu ya kujivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kama Taifa. Nikiwa Dodoma pamoja na kazi nyingine, nitaboresha taarifa zangu katika Daftari la Kudumu la Mpigakura katika Ofisi ya Kijiji, Chamwino. Ninawasihi wananchi wenzangu tuendelee kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu, ili tutumie haki yetu ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
396
364
1.9K
175.8K
G for Gold 🇹🇿 retweetledi
Harshdeep Rapal | Legitt AI
Harshdeep Rapal | Legitt AI@harshdeeprapal·
If you have enough money, no one will ask you if you have a business suit. Or, shoes.
Harshdeep Rapal | Legitt AI tweet media
English
3.1K
12.3K
92.3K
3.8M
G for Gold 🇹🇿 retweetledi
Saed Kubenea
Saed Kubenea@saed_kubenea·
CHADEMA imepoteza mwelekeo au wewe ndio umepoteza mvuto. Kama ulishindwa kuwa mbunge wakati wa Lowassa 2015 Mwanga, wakati majimbo 7 kati ya 9 ya Kilimanjaro yakienda CDM, utashinda ubunge kwa CHAUMA? Nimesimama paleee!
Saed Kubenea tweet media
Filipino
208
278
1.5K
75.2K
PABLO
PABLO@PabloYende·
Good Morning from Geita Express
PABLO tweet media
English
4
2
53
1.1K
Mr Mushi
Mr Mushi@mrmushico·
Mbao ya Teak (mtiki) Inauzwa Je, unatafuta Teak Wood Kwa ajili ya miradi yako ya ujenzi au maendeleo? Tuna kile unachohitaji! Teakwood zetu zinapatikana kwa ukubwa na vipimo tofauti, tayari kukidhi mahitaji yako. @BuildMaterials_ #Hardwood #mabati #mbaoimara #Tanzania
Mr Mushi tweet mediaMr Mushi tweet mediaMr Mushi tweet media
Indonesia
8
27
40
7.5K
G for Gold 🇹🇿
G for Gold 🇹🇿@GideonMich49709·
@PabloYende Amejenga maisha yake kwa usawa hakuwahi kubagua hivyo acha kumchonganisha na walimwengu.Kwani ungeandika ukweli kuwa upo na Legendary wa Mashindano ya Magari ungepungukiwa nini?
Filipino
0
0
0
18
PABLO
PABLO@PabloYende·
Chatto ndani ndani huko kutafuta Kura Za JESKA
PABLO tweet media
10
7
301
5.5K
PABLO
PABLO@PabloYende·
SINGIDA RALLY TODAY
English
4
4
31
1.1K
G for Gold 🇹🇿 retweetledi
G for Gold 🇹🇿
G for Gold 🇹🇿@GideonMich49709·
G Gold Geita Tanzania
Português
1
1
1
45
G for Gold 🇹🇿
G for Gold 🇹🇿@GideonMich49709·
@Jambotv_ Wewe unamhakikishia mwkt wako ushindi inakuwa dhambi hao nao kuwahakikishia watia Nia wengine ushindi?
Filipino
0
0
0
41
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Amos Makalla amewaonya baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali za Chama hicho wanaowahakikishia ushindi watia nia wa ubunge na udiwani, akiwataka kuacha tabia hiyo kwa kuwa wao si wenye uamuzi wa mwisho. CPA Makalla amewafananisha viongozi hao ni sawa la wale wanaofanya 'betting' (mchezo wa bahati nasibu), akisema wakati wowote mkeka utachanika na watashindwa kuwaambia wagombea wao mambo yakiwa kinyume. Ameeleza hayo wakati akizungumza na viongozi na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kibaha Mjini leo April 23, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa llani ya CCM jimbo hilo mkoani Pwani. "Safari tumekuja na uratibu utakaohakikisha wagombea watakaoteuliwa wanakubalika, ukiendelea kuwaahidi kwamba nafasi ya ubunge una uhakika nayo, ukiwa wilayani au mkoani basi ujumbe kuna kamati kuu na halmashauri kuu ya CCM Taifa," amesema Makalla. Makalla kadhalika amewataka viongozi wa @ccm_tanzania kupunguza ahadi na kuwabeba wagombea, badala yake watende haki na usawa kwenye uwanja wa mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho tawala nchini.
Indonesia
10
3
20
6K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa. Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano Aprili 23, 2025 katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi. Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani. Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.
Indonesia
378
19
222
56.1K
G for Gold 🇹🇿
G for Gold 🇹🇿@GideonMich49709·
@AdellaTillya Lea watoto kwa maadili acha kushabikia upuuzi watoto wanageuza geuza sura kama mazombi unaona ni sawa
Indonesia
2
0
0
100
Adellah Tillya
Adellah Tillya@AdellaTillya·
Fujo zisizoumiza Zikaanzia Airport🥰!
Adellah Tillya tweet media
HT
11
12
640
24.9K
Dodoma_Zone
Dodoma_Zone@Dodoma_Zone_·
Ziara ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo kwenye Wilaya za Mkoa wa Arusha kuelekea miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Dodoma_Zone tweet media
Indonesia
1
5
12
373
G for Gold 🇹🇿
G for Gold 🇹🇿@GideonMich49709·
@lifeofmshaba Hii laana wataivuna na nimeona yule mmoja ameanza kutembea kama jini.Nadhani ameanza kupata anachostahili
Suomi
0
0
3
84
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Viongozi wa Afrika kumejaa matapeli wengine sana Hawa jamaa wa Sudan walidanganya Pope baada ya kuwaomba sana wapatane wakiwa Vatican, mpaka akawabusu miguu miaka kadhaa baadaye wakaanza kupigana tena
Think Different tweet media
Indonesia
9
13
109
5.5K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
"Nilisema hii siri papa alishafariki muda mrefu sana ila wametangaza leo"
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Indonesia
59
30
453
52.6K