
Kanda ya Victoria mmefikiwa!
Mwenyekiti wa Chama Kanda ya Nyasa Mhe. Joseph Mbilinyi (SUGU) @therealjongwe atakuwepo Katoro, Geita katika uzinduzi wa Operesheni Katiba Mpya - Free Tundu Lissu
Hii si ya kukosa!
#KatibaMpya #FreeLissu.
#KatibaMpya #FreeLissu.

Indonesia
















