‼️🚨 TUNATAKA JINA NA RANK YA HUYU ASKARI‼️
Nimeangalia video ni dhahiri aliyemsukuma Lissu ni huyu aliyevaa mask
Naomba wazalendo watuletee jina la mhusika ashtakiwe kwa jina
This is IMPUNITY
Mwisho wa siku we @SuluhuSamia ndo mhusika mkuu na utawajibika pia!
Mungu wetu yu hai
#FreeTunduLissu
Askari wetu 11 ambao mmetumikia klabu yetu kwa hali na mali, Msimbazi inawaheshimu na kuwatukuza. Asanteni kwa muda na huduma Malkia. Kwa Taarifa kamili tembelea Simba App 📱
#NguvuMoja
@TitoMagoti Harafu huyu jamaa nilikuwa najua ni wakili msomi anaelewa hata katiba kumbe ni bwege Mmoja tu,hata halijui maana ya mwanajeshi,kasome vizuri katiba ya nchi k wewe
Hao askari magereza waliojitanda mizura usoni huwa ni malimbukeni sana. I know them. Kwanza wanadhani wao ni wanajeshi, wakati ni kundi la ng’ombe. The worst!!
@EmmanuelNasa@TitoMagoti Pointi 💪🏾
Hawa jamaa wa chadema wana dharau sanaa kmmq zao, mimi ndio kilichonifanya nisiwaamini asee, unamdharauje mtu ambaye yupo kwenye majukumu yake ya kulisha familia yake? Kwamba angekataa kwenda hapo??
@TitoMagoti Askari magereza anaenda vitani kufanyaje? Huyu ni Mtumishi na anatimiza wajibu wake. Sio sahihi kum-address kama mnyama ng'ombe. Ni vyema ukawa na heshima bwana Tito.
💬 TOFAUTI katika mpira ilikuwapo juzi kwenye Uwanja wa Manispaa ya Berkane. Rafiki zetu walituonyesha wazi kwamba wametuacha mbali kisoka. Mengine ambayo tunajaribu kufanya kwa sasa ni kufarijiana. Simba alikuwa katika tanuri la moto katika fainali ya kwanza dhidi ya Berkane juzi.
.
Tulisikia mengi kuelekea fainali hii. Mbwembwe nyingi kutoka kwa watu walioambatana na timu katika ndege binafsi kuanzia safari ya Dar es Salaam hadi Casablanca kisha Oujda kabla ya kwenda Berkane. Ilionekana kama vile ingekuwa mechi ngumu kwa mwenyeji.
.
Haikuwa ngumu na kumbe wangeweza kumaliza fainali pale pale nyumbani na kisha kuja Tanzania kutalii. Kilichoonekana ni kwamba Berkane waliiunda timu yao kimya kimya kwa ajili ya kuwashangaza Wamorocco kwa kutwaa ubingwa wa Ligi hiyo maarufu kama Botola.
.
Halafu wakaja kutushangaza katika michuano hii ya shirikisho kwamba sio hadhi yao. Wanastahili kule kwa wakubwa wengine. Na hata msimu ujao wakati watakapokuwa wanashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa ni wazi kwamba Berkane watafika zao mbali.
.
Hiki kilikuwa kiwango tosha cha kufika hata fainali za Ligi ya Mabingwa kama wangeandaa timu yao mapema. Wametuonyesha kwamba kuna njia ambayo Simba walipita kufika fainali na inawezekana haikuwa sahihi sana. Hawakuwahi kukutana na changamoto ngumu mpaka walipoangukia katika mikono ya kina Mamadou Camara, ustaadhi Yassine Lebhiri na wengineo. Ni ndoto inayotisha.
— Edo Kumwembe. [via JichoLaMwewe]
(Inaendelea)
LEO katika dimba la Mkwakwani inapigwa nusu fainali ya kwanza ya CRDB Bank Federation Cup, Yanga SC dhidi ya JKT Tanzania.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
"Niwaalike Watanzania wote, lakini na rafiki zetu wapenda mpira kutoka sehemu mbalimbali Barani Afrika kuja Zanzibar kushuhudia tukio hili la kihistoria. Naamini kila mpenda soka atapenda kumuona Ronaldinho na wenzake wakicheza soka huu ukiwa umeketi jukwaani" Eng. Hersi Said
@FKihamu Sisi kama watanzania wazalendo tunamshukuru sana Eng raisi wa vilabu Africa Kwa kulihujumu taifa,huyu eng ni kirusi kwenye soka letu,yeye pamoja na GSM endeleen kuwachekea
Mpira wa Afrika una vitu zaidi ya 100, una siasa zake kali sana na mambo yake huwa sio rahisi, Benjamin Mkapa pashakuwa tanuri la moto na maarufu mno barani Afrika, Berkane mara ya mwisho alirusha mpaka ngumi hapa, muda wote sababu ilitafutwa sana na sasa imepatikana kuwa ni pitch na hatimae Berkane anapakimbia, ila Mimi binafsi naona Watu wasikate tamaa, Simba anaenda kubeba huu ubingwa wa Afrika bila kucheza kwa Mkapa.
Wakuu hauchezi tu na Berkane bali timu ya Mwenyekiti wa Chama cha soka Morocco na Makamu moja wapo wa Rais CAF.
Breaking!Shirikisho la soka barani Afrika ( CAF) limeliagiza shirikisho la soka nchini Tanzania ( TFF) kuhamishia maandalizi ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho mnamo 25/5/2025 baina ya #SimbavsBerkane kupigwa kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar.
@YoungAfricansSC Kwan hiyo mechi mnayotaka kucheza itasimamiwa na chama cha soka cha Rwanda au maana mmeshasema Amna Iman na bodi ya ligi pamoja na tff
James Mwashinga wa Pamba aliucheza mpira kwa 'Sliding tackle' bila kucheza foul lakini Mwamuzi Shomari Lawi aliamua ni foul na hiyo 'Free-Kick' ndiyo JCA akafunga goli la 2. Lawi amemuonesha kadi ya njano kipa MO Camara ambaye hakuwa anapoteza muda, ilifaa amuonye 'Amemuonea'.