Mariam Hamis

313 posts

Mariam Hamis

Mariam Hamis

@HamisMaria3926

Katılım Ocak 2026
11 Takip Edilen0 Takipçiler
Mariam Hamis
Mariam Hamis@HamisMaria3926·
@swahilitimes Tanzania ni Salama chini ya Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🇹🇿
Indonesia
0
0
0
24
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Kuna makubaliano ambapo shirika letu la umeme TANESCO na Shirika la Umeme la Rwanda, wataanza kuuziana umeme kwa ajili ya kuchochea zaidi maendeleo ya kiuchumi." - Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Paul Kagame wakizungumza na waandishi wa habari
Swahili Times tweet media
Indonesia
20
2
97
6.3K
kichefuchefuu
kichefuchefuu@kichefuchefuu·
NUKUU ZA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSANI AKIMPOKEA KAGAME RAIS WA RWANDA, IKULU YA DAR ES SALAAM.
kichefuchefuu tweet mediakichefuchefuu tweet mediakichefuchefuu tweet mediakichefuchefuu tweet media
Indonesia
3
21
13
101
Mariam Hamis
Mariam Hamis@HamisMaria3926·
@taifa_mbunge We nae umeanza sijui umetoka wapi??jua Tanzania ni Salama chini ya Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🔰
Indonesia
0
0
0
64
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake, hutumia mabavu
15
149
641
25.6K
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Mwili wa James Temba Mjomba wake Msanii Temba alietekwa na kukatwa kichwa mwili wake ukatupwa mto Msimbazi Dar.
Indonesia
16
33
278
22.5K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kikazi Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
23
46
119
2.8K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
20
101
292
5.8K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
29
205
850
29.5K
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Kwani sisi wanawake ni viumbe vilivyolaaniwa? Kwanini kila kiumbe dhaifu hufananishwa na Mwanamke? Siku nyingine wekeni hata mnyama mbaya please... Mbali na ukweli kwamba Samia katuchafua lakini yuko Netumbo Ndaitwah kule Namibia anatuheshimisha sana.
Rose Mayemba tweet media
Filipino
32
36
337
44.1K
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Mabadiliko hayajengwi na watu wachache-yanajengwa na kila anayetoa alichonacho. Leo toa tone lako. Kesho tutajivunia nguvu yetu ya pamoja. #ToneTone
Suomi
20
105
471
11.4K
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Siku ya Jana ilikuwa njema sana, kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lilifana sana. Vijana walipata madini ya kutosha na kuelewa vema itikadi na falsafa ya @ChademaTZ2 , ni jukumu la Vijana wasomi kupigania nchi yao. Viongozi wetu wamejenga sprit mpya ya mapambano kizazi hiki.
Felius Festo tweet mediaFelius Festo tweet mediaFelius Festo tweet mediaFelius Festo tweet media
Indonesia
11
36
168
1.9K
Mariam Hamis
Mariam Hamis@HamisMaria3926·
@ikulumawasliano Mama ❤️ ❤️ 🇹🇿🇹🇿 karibu mgeni wetu Tanzania nchi yenye Amani na utulivu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Indonesia
0
0
0
24
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Rwanda uliongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Paul Kagame, tarehe 03 Mei, 2026. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet media
Indonesia
8
6
28
1.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mjomba wake msanii TEMBA alitekwa, jana maiti yake imeonekana imesombwa na maji huko Tabata haina KICHWA. Hutasikia uwajibikaji kwa vitendo vyote hivi vya utekaji kwasababu watekaji ni wao. Tanzania kuna VIBAKA wachache wao ndio wanatoa VIBALI vya watu kuishi sio kazi ya MUNGU tena.
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
24
115
702
42.3K
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa.
Indonesia
6
11
38
1.9K
kichefuchefuu
kichefuchefuu@kichefuchefuu·
RAIS SAMIA NA KAGAME WAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO VYA BIASHARA KUCHOCHEA UCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Rwanda zimefikia makubaliano ya kuondoa vikwazo visivyo vya kikodi pamoja na changamoto nyingine za kibiashara ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi kati ya mataifa hayo mawili. Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, Rais Samia amesema hatua hiyo inalenga kutumia kikamilifu fursa zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na soko huria la Afrika. Amesema licha ya mafanikio yaliyopatikana, bado kuna haja ya kuendelea kuboresha mazingira ya biashara ili wafanyabiashara na wawekezaji wanufaike zaidi na ushirikiano uliopo. Rais Samia ameeleza kuwa kuondolewa kwa vikwazo hivyo kutasaidia kuongeza kiwango cha biashara ambacho tayari kimefikia shilingi bilioni 644, huku pia kikichochea uwekezaji zaidi kutoka Rwanda nchini Tanzania. Amesisitiza kuwa serikali zote mbili zimejipanga kuhakikisha kuwa majadiliano yanaendelea ili kutatua changamoto zilizopo na kuweka mazingira rafiki zaidi kwa biashara na uwekezaji. Ziara hiyo imeelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi na kuimarisha mahusiano ya kihistoria kati ya Tanzania na Rwanda.
kichefuchefuu tweet mediakichefuchefuu tweet media
Indonesia
6
21
12
177
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Hakuna kitu kinachonikera kama mtu kuniambia kwamba UVCCM wanaruhusiwa kufanya kongamano chuoni, sisi tunazuiwa, hakuna aliyewazuia mmejizuia nyie wenyewe kwa uoga wenu na nyie mmekubali kama ngombe, nini maana ya elimu?, kama elimu yako haikuwezeshi kufikiri na kukataa ujinga." Mhe. @HecheJohn
Indonesia
14
88
338
13.2K