~Goldream🇹🇿
7.6K posts

~Goldream🇹🇿
@Hans_mtasha
Nerd,Bright Spark,Dark Horse,Lone Wolf. I don't see myself as extremely handsome. I just figure I can charm u into liking me...
SUPLEX CITY Katılım Haziran 2016
5.1K Takip Edilen3.8K Takipçiler

Usiishi na mwanamke ikaonekana kama anakuonea huruma.
If she be like,
"Kuna watu wengi wenye pesa na kila kitu kuliko wewe wananisumbua kunitongoza lakini mimi nakataa kwakua tu nakupenda"
ABORT THE MISSION, tafuta PROJECT nyingine, mpe nafasi aende kwa hao wenye pesa.
Enyewe mwanaume kutambua thamani yako na kutengeneza misingi na heshima kwa mwanamke na jamii sio kitu cha kufikiria.
Mwanaume mpambanaji hatakama ni boda guy au vinginevyo hatakiwi kupuuzwa na mwanamke yeyote yule.
Keep fighting blood.
Indonesia

Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
Cheers to another year of innovation and growth. Happy Anniversary!"

English

@akhun_graphix17 @Samskills_tz Mm niko nje ya nchi
Endelea kuwasiliana na mtu wa ofisini ila nahisi ameshapata mtu hilo Tangazo la mda sana
Filipino

@Hans_mtasha @Samskills_tz Nishakutumia message kitambo naona kimya
Filipino

@Samskills_tz @akhun_graphix17 Tuwasiliane kwa simu namba nimetoa.... shukurani
Filipino

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Hii beat wasanii wengi inawatoa jasho jinsi ya kutembea nayo....mwamba ana confidence ana punch iLa anakosa kitu kidogo sana mpangilio wa vina
Wakimtrain atafika mbali ana kitu
Indonesia

Tutasema yote lakini ukweli ni kwamba.
Mwanamke hakuumbwa apewe sifa ya kuwa mpambanaji, mwanamke anafaa kuwa uwa saafi la kumwagilia.
Aoge, avae vizuri, awe na ngozi laini saafi ya kuvutia
Haya ma mbwembwe ya kazi mara kachoka, kashinda kwenye moto anapika migahawa, mara juani anafanya ma kazi magumu hayakufaa kuwa kwa mwanamke sema umasikini.
Tujifunze kidogo hata kwa waarabu. Hawajamaa wanatunza sana wake zao na inaleta utulivu katika ndoa.
Indonesia

@TMnyama4_ Hapo hiyo sura iko wazi inasisitiza nikkah kwa na kukataza zinaa kwa mtu yeyote hata kama sio muislam ni vyema kumuoa kihalali .... Jiepusheni na zinaa hakika zinaa ni uchafu.
Filipino

@TMnyama4_ Remember: You’re loved, valued, and never a burden. Let’s plan something soon—even if it’s just sharing memes at midnight. 🌟
Sending you the biggest virtual hug.
Always here for you,
[Goldream Hans Mtasha]
English

@TMnyama4_ Bravo king
You didn't lose her. She lost u.
You didn't need her. She needed U.
She was not special. u made her special.
U were not lucky to have her.
She was lucky to have you.
Let her go and move on.
- If you aren't currently following us, you'll probably never see us again.
English

@Labella_Mafia95 Ukubwa wa nyashi na paka ni mambo ya kibaolojia yanayotokana na mambo ya kibinafsi kama jeni, homoni, na utunzaji wa mwili. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati yao. Ikiwa kuna wasiwasi kuhusu afya ya uzazi. Wasiliana na wataalamu wa afya.
Indonesia

@fumbokhanJr Uhusiano wa masafa marefu unaweza kufanikiwa kwa misingi ya mawasiliano, uaminifu, mpango, na juhudi za pande zote. Kila mwenzi anapaswa kuchangia kwa moyo wazi na kuvumilia changamoto kwa kuzingatia malengo ya pamoja
Polski

@max_zitatu na kujishughulisha katika unachokipigania.Hayo ni mafanikio ambayo hayawezi kuletwa na kiwango cha elimu bali ni uwezo wako.Mengi mazuri kwako yatakuja Kwa uwezo wako wa kufanya matendo sio kiwango chako elimu.
Indonesia

@max_zitatu Hakuna uhusiano kati ya kiwango cha elimu na uwezo wako kifikra,akili na utendaji.Kuwa na kiwango kikubwa cha elimu ni jambo zuri sana lakini kama hauna uwezo kimaamuzi na kimatendo basi elimu yako haina tija.Kwa sababu uwezo wako unatokana na maamuzi yako ya kutumia akili
Filipino

@TMnyama4_ na kuna siku utapata zaidi...Jipende jinsi ulivyo maana kuna wenye kasoro zaidi yako....wanaokudharau waheshim maana wanakupa uchungu wa kutafuta mafanikio...amini wewe ni bora na muhimu kwa jamii, ndio maana umeumbwa.
Indonesia

@TMnyama4_ Amini kuwa Mungu pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yako..na si binadam
mpende anaekutakia mabaya kwa kuamini hajui atendalo
ishi kwa uhalisia wako na usiige maisha ya mtu
tii haja za moyo wako c maneno ya watu
ridhika na ulichonacho kwa kuamini ndicho mungu alichokupa
Indonesia
















