Sabitlenmiş Tweet
• Kardinali
22.6K posts

• Kardinali
@IAmSilayo
MODE: F.O.C.U.S | F.B.I 🔝
Kaskazini Katılım Temmuz 2012
2K Takip Edilen6.4K Takipçiler
• Kardinali retweetledi

Kama watafanya kama nilivyoona kipindi cha Mwendazake, watatuwekea vikwazo, kutakuwa na njaaa kubwa sana, uchumi utaharibika kiasi ambacho nilioona watu makundi kwa makundi wakilia njaa mtaaani. Njaa ya kukosa chakula kabisa.
Son of God(Huios)@EliabuDanford
Juzi usiku nimeona makubaliano kutoka nje yamefikiwa, watatoa shinikizo la kutaka Malkia wa Sheba aachie kiti.
Indonesia
• Kardinali retweetledi

MUNGU atakubariki ukijitoa.
Check hii story ya huyu MWAMBA.
Nilimuokota huyu mtoto yatima saa sita za usiku akiwa anaumwa maralia Kali kiasi kwamba hakua na hamu ya kula ..Japo kipato changu kulikua Cha chini sana kwa sababu sikua na ajira lakini sikusita kumchukua uyu malaika na kua jukumu langu..
Mwaka mmoja badae mungu alinifungulia milango nikapata kazi Baada ya kukaa mtaani miaka mitano tangu nimalize chuo.. Nilipata mafanikio makubwa mda mfupi na tukahamia kwenye nyumba mzuri Mimi na mwanangu..
Nimesherekea hii krismasi na boxing day nikiwa na mwanangu.. Tunawatakia heri ya sikukuu yenye heri na baraka tele .. 🙏🙏




Indonesia

@moodewji Naona tajiri katia neno katika kile kinachoendelea humu!
Indonesia
• Kardinali retweetledi

@Sativa255 Katuwakilisha hadi sisi wajomba ni mama ase. Mtu haujaona hata mwili wa mpendwa wako halafu wanataka ukapange foleni ya kugawiwa milioni moja? Thubutuuu 🫵
Indonesia

@officialshakuu Achana na mkopo uza nyumba anza biashara najua pesa hautaishia kwenye Biashara Nunua kiwanja endelea kufanya biashara huku unajenga tena, ila ukikopa Biashara ikayumba utakosa nyumba na biashara uaibike .
Indonesia

@Life_of_vike Eric Shigongo alicha shule akafuatilia uandishi wa hadithi kwako...
Filipino
• Kardinali retweetledi
• Kardinali retweetledi

Haya mliokua mnabisha jamaa sijui katumia simu gani🙌🏿
Broke & Zero Aura (BZA)🍁@Kariakoo_
Kuna clip nimeona jamaa kazoom na simu yake kutoka zanzibar adi dar yale magorofa ya posta yanaonekana😂🙌🏿
Indonesia
• Kardinali retweetledi

@Kariakoo_ Dar to Z,bar sio mbali kiivyo, Kama uncle wangu alikuwa anaenda z,bar kwa kuogolea na jioni anarudi Dar kwa kuogelea.
Indonesia

















