Taarifa ni Maisha

5.4K posts

Taarifa ni Maisha banner
Taarifa ni Maisha

Taarifa ni Maisha

@InfoLifeTz

Info LifeTz is an Integrated Social Media Project (ISMP) empowering youth through Good Governance, comprehensive SRH&R, HIV and GBV info |Salama Foundation

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2018
2.2K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Taarifa ni Maisha
Taarifa ni Maisha@InfoLifeTz·
@Mkainerugaba_ Not only indian ocean but also the moon,stars and all of the above belongs to them🤣🤣🤣🤣🤣
English
0
0
0
9
100% UGANDAN.
100% UGANDAN.@The_littel_guy·
What are you people saying about the Indian Ocean?
100% UGANDAN. tweet media
English
2.8K
433
8.8K
850.8K
Mafioso
Mafioso@capitanpapilon·
Twitter accounts for sale with followers 2k 8k 40k Instagram accounts for sale with followers 125k 179k 221k Tiktok accounts for sale with followers 12k 70k 120k 329k Facebook page for sale with followers 5k 12k 93k 150k Kama unauza au unahitaji accounts nicheki DM
Mafioso tweet media
English
19
47
97
16.9K
Taarifa ni Maisha
Taarifa ni Maisha@InfoLifeTz·
Ukatili dhidi ya wanawake si tu wa kimwili. Maneno, vitisho na hasa mtandaoni pia huumiza. Tutokomeze aina zote za ukatili wa kijinsia. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha tweet media
Indonesia
0
1
1
315
Taarifa ni Maisha
Taarifa ni Maisha@InfoLifeTz·
Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha tweet media
Indonesia
0
4
5
208
Taarifa ni Maisha
Taarifa ni Maisha@InfoLifeTz·
Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha tweet media
Indonesia
0
3
3
135
Taarifa ni Maisha retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Kupitia matumizi mazuri ya mitandao tunaweza kujifunza kuhusu huduma bora za afya ya uzazi pamoja na kutokomeza mimba za utotoni #ChatKijanja
Man Like Sule™ tweet media
1
7
9
1.5K
Taarifa ni Maisha
Taarifa ni Maisha@InfoLifeTz·
Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha tweet media
Indonesia
0
1
3
178
Taarifa ni Maisha retweetledi
KIPEPE 💊
KIPEPE 💊@kipepe123·
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse
KIPEPE 💊 tweet media
Filipino
0
7
8
912
Taarifa ni Maisha retweetledi
KIPEPE 💊
KIPEPE 💊@kipepe123·
Simama kidete,usiruhusu maneno machafu mitandaoni.Zingatia matumizi salama ya mitandao.#ChatKijanja #Noexcuse
KIPEPE 💊 tweet media
Indonesia
1
11
14
1K
Taarifa ni Maisha retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse
Man Like Sule™ tweet media
Filipino
0
6
9
617
Taarifa ni Maisha retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Simama kidete,usiruhusu maneno machafu mitandaoni.Zingatia matumizi salama ya mitandao.#ChatKijanja #Noexcuse
Man Like Sule™ tweet media
Indonesia
0
8
9
749
Taarifa ni Maisha retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Rafiki anaekulazimisha kufanya kitu mtandaoni ambacho hauko tayari ni hatari.Usikubali,linda mipaka yako.#ChatKijanja #noexcuse
Man Like Sule™ tweet media
Indonesia
0
15
17
1.4K
Taarifa ni Maisha retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Maneno mazuri mitandaoni yanajenga urafiki,maneno mabaya yanabomoa na kumomonyoa maadili na utu.Kataa ulatili wa mtandaoni.#ChatKijanja #noexcuse
Man Like Sule™ tweet media
Indonesia
1
9
10
977
Taarifa ni Maisha
Taarifa ni Maisha@InfoLifeTz·
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja #noexcuse
Taarifa ni Maisha tweet media
Filipino
0
1
2
192