Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿

107.6K posts

Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 banner
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿

Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿

@Isaac1Eli

Financial Economist | Innovation & Creativity | EE Engineer| Common Sense | Thought terminating in Action | A Proud Tanzanian 🇹🇿 | Retweets≠Endorsement

Katılım Aralık 2021
2.3K Takip Edilen785 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿
Mhubiri asema "Ujapokuwa unaona maskini kuonewa, na hukumu na haki kuondolewa kwa jeuri katika jimbo,usilistaajabie jambo hilo; kwa sababu aliye juu kuliko walio juu huangalia, tena wako walio juu kupita hao. Lakini, pamoja na hayo, manufaa ya nchi kwa kila njia ni..."
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
0
4
236
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Fox News
Fox News@FoxNews·
A ROYAL FIRST: England's King Charles III will visit Washington and address Congress next month in his first state visit since taking the throne. The visit marks the first time a British monarch will speak before American lawmakers since Queen Elizabeth II in 1991.
Fox News tweet media
English
932
1.3K
5.5K
297.3K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Rapid Response 47
Rapid Response 47@RapidResponse47·
Rapid Response 47 tweet media
ZXX
415
3.3K
16.4K
220.8K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Ni Msimu wa Iringa kuuza hili Tunda Ndani ya Tanzania. Tunda la PEAR hili kitu linapatikana zaidi Wilaya ya Mufindi, Kilolo kwa Uchache. Ni Sehemu Gani nyingine Linapatikana ndani ya Tanzania? #Iringaensis
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
19
7
59
3.6K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Valentina Gomez
Valentina Gomez@ValentinaForUSA·
Jesus is The Way, The Truth & The Life.
Valentina Gomez tweet media
English
641
626
8K
256.5K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Dear Son.
Dear Son.@DearS_o_n·
Real talk: 97% of stress in a man is just not having enough money.
English
73
125
1K
30.2K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria. Naye akajibu; Ndimi mtumishi wa Bwana nitendewe ulivyonena. Nae NENO akatwaa mwili akakaa kwetu. "UTUOMBEE Mzazi Mtakatifu wa Mungu; Tujaliwe ahadi za Kristu." Leo tunakumbuka kupashwa habari Maria. "ANNUCIATION." TUOMBE UNYENYEKEVU.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
1
3
11
151
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Rapid Response 47
Rapid Response 47@RapidResponse47·
Rapid Response 47 tweet media
ZXX
368
2.2K
16.5K
1.6M
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Mind and Glory 🎖
Mind and Glory 🎖@mindandglory·
An intelligent man never overshares his plans. Silence protects what strategy starts.
English
44
268
1.9K
24.9K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hali ya nchi sio mzuri. Wapumbavu wanapuuza na kupambana na Chadema utadhani ndio waliouwawa peke yao au ndio wauwaji ilhali inajulikana wauwaji ni vyombo vya dola. Hatua za haraka za uwajibikaji zisipochukuliwa ili kuwatuliza wananchi tunakoelekea ni kibaya zaidi.
Indonesia
11
49
229
16.6K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mnatesa watu wengine kwa kuwaweka gerezani kwa mashtaka ya uongo na kughushi, kuwateka na kuwapoteza. Mnatembea VX.R V8 full kipupwe, lakini mkishtuka moyo kidogo tu, mnadedi papo kwa papo kama mshumaa. Hivi ninyi mngeliweza kuishi gerezani siku 350 kwa kusingiziwa? Takbīr.
Indonesia
79
274
1.8K
49.2K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Mind and Glory 🎖
Mind and Glory 🎖@mindandglory·
A dangerous man doesn’t need revenge. He simply outgrows the people who doubted him.
English
63
273
1.6K
24.9K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Wewe Chalii , acha maneno ya KIJINGA JINGA Mtandaoni. Nimekwambia TUBU.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
75
109
1.1K
59.4K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Ekaristi Takatifu ni mwili na damu; nafsi na Umungu wa Bwana wetu Yesu Kristo. Kilichofunuliwa na kufundishwa na Yesu mwenyewe hakiwezi kubadilishwa na mtu yeyote kwa akili na tafsiri za kibinadamu. Yohana 6:53-56.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
0
3
12
226
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢@Chahali·
Ukweli mchungu ni kwamba Watanzania mmemwangusha TUNDU LISSU. Yale maandamano ya Oktoba 29 yalipaswa kutokea mara tu baada ya Samia kumbambikia Lissu kesi ya mchongo April 2025. Unfortunately, watu wapo bize na "darasa la bure la sheria" ilhali Lissu anateseka. USELESS PEOPLE 😡
Filipino
21
49
330
15.4K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
"Umesema kazi iendelee, kazi ipi? Ya wizi wa kura? Hakuna FOCUS kwenye nchi" Amesema father Kitima katika moja na mbili za kuchapa spana
Indonesia
19
251
1.1K
38.5K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Uche is a girl
Uche is a girl@UcheMaryOkoli·
Thanks to the Catholic Church for giving the world formal education, hospitals, the best holidays, etc.
English
62
328
3.7K
33.9K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
RosarySon
RosarySon@SkyVirginSon·
I believe in one, holy, catholic and apostolic Church
English
31
375
3.6K
38.7K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
Discover Catholic Business
Discover Catholic Business@PapistDirectory·
Always pray for the Pope
Discover Catholic Business tweet media
English
19
101
1.3K
8.8K
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿 retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Kanisa bila Ekaristi takatifu ni sawa na ukumbi wa mikutano. Ekaristi takatifu ni moyo wa Kanisa. Alhamisi kuu Yesu alianzisha sakramenti ya Ekaristi na akawaweka Mapadre ktk karamu ya mwisho na kutoa agizo; "fanyeni hivi Kwa ukumbusho wangu." Hiyo ndio ilikuwa MISA ya kwanza.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
1
4
27
381