Eng. IsackK

36 posts

Eng. IsackK banner
Eng. IsackK

Eng. IsackK

@IsackKamwelwe

Mbunge wa Katavi, July 18- Novemba 2020 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

Dodoma, Tanzania Katılım Ağustos 2018
175 Takip Edilen1.1K Takipçiler
Eng. IsackK retweetledi
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
Rizki inatembea. Watu hutembea na rizki. Watu ni rizki. Tembea ukutane na watu. Watu wakukutanishe nayo.
Indonesia
201
578
3.3K
0
Eng. IsackK retweetledi
Tanzania - SGR Project 🇹🇿
KANUSHO LA TAARIFA YA KUANZA KWA HUDUMA ZA SAFARI ZA TRENI ZA KISASA DAR ES SALAAM - MOROGORO
Tanzania - SGR Project 🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
6
2
0
Eng. IsackK retweetledi
Haki Ngowi
Haki Ngowi@Hakingowi·
Rais Dkt. @MagufuliJP pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Eng. @IsackKamwelwe wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Mbinga mjini mpaka Mbamba Bay km 67
Haki Ngowi tweet media
Indonesia
2
3
20
0
Eng. IsackK retweetledi
Tanzania Meteorological Authority
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo tarehe 04/04/2019.
Tanzania Meteorological Authority tweet media
Indonesia
0
8
18
0
Eng. IsackK retweetledi
Safiri Salama
Safiri Salama@safiri_salama·
Pesa inatafutwa lakini UHAI hautafutwi.! Dereva wa bodaboda usikubali kuhatarisha usalama wako barabarani kwa kubeba mzigo unaozidi uwezo wa chombo chako cha moto. #Ajalisasabasi
Seneta Bajabir™️@bajabiri

Dereva wa gari,uwaonapo hawa jamaa uwe makini sana.Huwa hawaoni wala kusikia gari iliyonyuma yao na isitoshe wapo ambao huweka redio zao sauti ya juu sana. Zingatia hilo kuepusha ajali zinazoepukika...... #AjaliSasaBasi

Indonesia
0
12
15
0
Eng. IsackK retweetledi
Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania@bunge_tz·
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yapokea na kusikiliza maoni ya Wadau kuhusu Mswada wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini wa mwaka 2018.
Bunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet media
Indonesia
1
8
56
0
Haji Kabogo
Haji Kabogo@haji_kabogo·
@IsackKamwelwe Mh. Naomba e-mail yako, au simu yako nina shida inayotokana na TBA. nahitaji kukufikishia tatizo letu ili uweze kutusaidia maana naona nenda rudi kwa meneja wa TBA imeshatuchosha.
Indonesia
1
0
0
0
Eng. IsackK
Eng. IsackK@IsackKamwelwe·
Nimekagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya KM 85 mkoani Tabora na kumtaka mkandarasi kampuni ya CHICO kukamilisha mradi mapema 2020, aidha nimemuagiza Mhandisi Mshauri (RE) kusimamia haki za wafanyakazi.
Eng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet media
Indonesia
5
8
31
0
Eng. IsackK
Eng. IsackK@IsackKamwelwe·
Baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Usesula-Komanga Mkoani Tabora yenye urefu wa KM 108 nimemuagiza TANROADS, mkoa wa Tabora kujiridhisha kwa kuyapima tena madaraja na makalvati yaliyoanza kutengenezwa maana ubora wake una mashaka
Eng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet media
Indonesia
4
6
46
0
Eng. IsackK
Eng. IsackK@IsackKamwelwe·
@majiydsuru @tzDiscovery Pata muda tu ufatilie miradi mbalimbali inaendelea kutekelezwa,panapokuwa na ucheleweshaji mahala flani hatua stahiki huchukuliwa endapo kuna uzembe umefanyika. Serikali itaendelea kutekeleza miradi kama ilivyoahidi na kuiweka kwenye mipango yake
Eng. IsackK tweet media
Indonesia
0
0
0
0
majiyd suru
majiyd suru@majiydsuru·
@IsackKamwelwe @tzDiscovery Hatua za maendeleo tunazopiga ni fupi sana. Nakumbuka eneo la Uwanja wa Ndege wa Msalato umefanyiwa usanifu tangu mwaka 2007. Kuanzia wakari huo sisi wananchi tulioondolewa tuliahidiwa kupewa fidia kwa ajili ya maeneo yetu. Leo ni mwaka wa kumi, hakuna fidia, hakuna maendeleo.
Indonesia
1
0
0
0
Eng. IsackK
Eng. IsackK@IsackKamwelwe·
Mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa TB III nimemuagiza Mhandisi Mshauri kutoka kampuni ya Studi International aliyefanya usanifu wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato mjini Dodoma,kuwasilisha nyaraka za usanifu huo ndani ya siku 7 kwa (TANROADS).
Eng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet mediaEng. IsackK tweet media
Indonesia
5
6
35
0