
@MichaelMwebe Huyo anafaa kuwa chaguo la 3 wala sio mtu wa kuongoza mashambulizi kwa timu kama Simba
Indonesia
E.M.Issangya
10.1K posts

@IssangyaJ
Mr extraordinary




𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐒𝐂 ❌ 𝐁𝐄𝐓𝐖𝐀𝐘. #NguvuMoja















🚨💣 More Updates 👇 ❌ Simba Sc wamejitoa kwenye mbio za kumsajili Lassine Kouma (21) 🇲🇱, hakuna deal tena. ⏳ Young Africans 🇹🇿 wanakaribia kukamilisha uhamisho wake. Mkataba wa miaka mitatu tayari umeandaliwa.

Budo kwenye 1 na 2. #NguvuMoja

TETESI: Klabu ya Simba iko mwishoni kukamilisha kila kitu kwa Pacome Zouzoua na tayari mkataba wa miaka 2 imeandaliwa kwa ajili ya kiungo huyo wa mpira anayekipiga Yanga. Pacome kwa sasa yupo kwao na Mazungumzo inaelezwa kukamilika vimebaki vitu vichache ili asaini kandarasi