
Expert°
1.7K posts

Expert°
@IsseBrian
Graphics Designer | Father | Seveth Day Adventist | Chelsea FC & Simba SC fan.










ACT mnasema kura hazikuhesabiwa katika vituo vya kupiga kura. ACT mlifahamu vipi kwamba mmepata kura milioni 2.2 ambazo mnatueleza ni sawa na 6.8% ya kura zote zilizopigwa kama kura hazikuhesabiwa katika vituo vya kupiga kura? ACT mnasema uchaguzi ni batili, wakati huo mnasononeshwa kutopewa viti maalum katika uchaguzi batili? ACT mnasimama katika mguu gani? Mgawanyo wa viti maalum vya ubunge au uhalali wa uchaguzi? Kama hutambui uchaguzi huo, jitokeze hadharani na useme kwamba matokeo ya ushindi wa MaCCM wa 98% ni BATILI. Waondoe wenzako katika bunge. Vinginevyo ni UTAPELI ambao hatuwezi kuununua kamwe. Halafu, ni muhimu kuwaeleza wafuasi wenu, kwanini mlishiriki dhuluma ya kumfyatua mgombea wenu wa kiti cha Rais, Luhaga Mpina?























