Jacob Mwambusi

28.1K posts

Jacob Mwambusi banner
Jacob Mwambusi

Jacob Mwambusi

@JMwambusi2

Husband, Father, Brother, Friend.

Katılım Ekim 2021
3.4K Takip Edilen9.5K Takipçiler
Jacob Mwambusi retweetledi
by_.essy
by_.essy@EssyMichael26·
𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗚𝗨𝗦𝗔 𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔𝗞𝗘 #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele
by_.essy tweet media
Indonesia
5
58
87
1.4K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR: Abiria wamelazimika kuzuia basi la Mwendokasi kupita katika Kituo cha Kimara Mwisho baada ya kusubiri usafiri huo kwa saa kadhaa bila mafanikio, asubuhi ya leo Aprili 22, 2025 Ikumbukwe mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com wamekuwa wakilalamikia changamoto ya usafiri wa Mwendokasi ikiwemo kukaa muda mrefu kituoni Soma jamii.app/MwendokasiMgomo #JamiiForums #JFHuduma #ServiceDelivery Video: Kagaba_GR
Filipino
25
24
140
16.3K
Jacob Mwambusi retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
"Tulishauri kuwa chama (CHADEMA) kiende kikasaini kanuni za maadili na tume ya taifa ya uchaguzi ambayo yalikuwa yanasainiwa tarehe 12 Aprili 2025. Ushauri wetu tuliotoa chama hakikuzingatia hata kidogo, na ilipofika tarehe 12 hawakwenda kusaini. Lakini vilevile tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini ambao wameona umuhimu wa kufanyika kwa reforms, na wote wameunga mkono msimamo wetu wa G55 na ushauri wetu kwa chama, hakuna kiongozi wa dini aliyesema kwamba tukazuie uchaguzi. Wote wamehimiza waumini wao kwamba waende wakashiriki uchaguzi lakini uchaguzi uwe huru, wa haki na wa amani, kwahiyo mahubiri yote ya Pasaka yameendana na tahadhari tuliyoitoa kwa chama kwamba tunaona hatari ya kupoteza kundi muhimu kama tukiendelea na msimamo kwamba tunakwenda kuzuia uchaguzi, na viongozi wa dini wameungana na G55 kwamba wanaunga mkono mageuzi lakini wanataka watu wakashiriki uchaguzi"- Mrema. John Mrema kwa niaba ya wafuasi wenzake wa Kundi la G55 ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akizungumza na waandishi wa habari siku ya Jumanne Aprili 22, 2025 mkoani Dar es Salaam juu ya yanayoendelea kufanywa na chama hicho hasa suala zima la kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Jambo TV tweet media
Indonesia
218
17
292
56.7K
Jacob Mwambusi retweetledi
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii Kazi na Utu , Tunasonga Mbele
Chama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
20
38
102
5.3K
Jacob Mwambusi retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
Serikali imeendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ambapo hadi kufikia Februari, 2025 kilomita 13,820 kati ya 16,280 zimejengwa na kuunganisha wilaya 109 kati ya 139 pamoja na vituo 111 vya kutolea huduma za Mawasiliano.
SAMIA APP tweet media
Indonesia
3
32
49
342
Jacob Mwambusi retweetledi
Mama Yuko Kazini
Mama Yuko Kazini@mamayukokazini·
𝐌𝐀𝐏𝐈𝐍𝐃𝐔𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐒𝐇𝐀𝐌𝐁𝐀𝐍𝐈 𝐇𝐀𝐃𝐈 𝐒𝐎𝐊𝐎𝐍𝐈 #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele
Mama Yuko Kazini tweet media
Indonesia
1
74
65
1.6K
Jacob Mwambusi retweetledi
Mama Anafanikisha
Mama Anafanikisha@mamanafanikisha·
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi mwaka 2025 serikali imeajili walimu 44,527 wakiwemo walimu 447 wa elimu maalumu. Huu ni utekelezaji wa vitendo wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (2020-2025). #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele
Mama Anafanikisha tweet media
Indonesia
14
44
64
3.2K
Jacob Mwambusi retweetledi
Mama Anafanikisha
Mama Anafanikisha@mamanafanikisha·
Urefu wa barabara za vijijini na mijini zilizojengwa kwa kiwango cha lami umeongezeka. ✅Mwaka 2020 - kilomita 2.025 ✅Mwaka 2025 - Kilomita 3,467.30 Hii ni hatua kubwa kuelekea kuimarisha usafiri, kukuza uchumi wa ndani na kuunganisha maeneo. #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele
Mama Anafanikisha tweet media
Filipino
2
37
48
1.4K
Jacob Mwambusi retweetledi
by_.essy
by_.essy@EssyMichael26·
𝗡𝗰𝗵𝗶 𝗶𝗻𝗮𝘂𝗻𝗴𝗮𝗻𝗶𝘀𝗵𝘄𝗮 𝘃𝘆𝗲𝗺𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝗶𝘂𝗻𝗱𝗼𝗺𝗯𝗶𝗻𝘂 𝘆𝗮 𝗯𝗮𝗿𝗮𝗯𝗮𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗹𝗮𝗺𝗶 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗵𝘂𝗴𝗵𝘂𝗹𝗶 𝘇𝗮 𝗸𝗶𝘂𝗰𝗵𝘂𝗺𝗶. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele
by_.essy tweet media
Filipino
4
49
67
1.1K
Jacob Mwambusi retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
Serikali imetoa mikopo ya shilingi bilioni 158.50 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambapo shilingi bilioni 63.40 ni wanawake (vikundi 8,576), shilingi bilioni 63.40 ni vijana (vikundi 4,981) na shilingi bilioni 31.70 watu wenye ulemavu (vikundi 2,319)
Indonesia
4
35
53
622
Jacob Mwambusi retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
Katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Machi, 2025 Makusanyo halisi ya mapato ya ndani ya halmashauri yameongezeka kutoka shilingi bilioni 757.05 mwaka 2020/21 hadi shilingi trilioni 1.15 mwaka 2023/24 sawa na asilimia 77. Fedha za mapato ya ndani zilizopelekwa katika miradi ya maendeleo zimeongezeka kutoka shilingi bilioni 276.69 hadi shilingi bilioni 313.26 sawa na asilimia 13.21.
SAMIA APP tweet mediaSAMIA APP tweet media
Indonesia
7
45
64
416
Jacob Mwambusi retweetledi
Mama Yuko Kazini
Mama Yuko Kazini@mamayukokazini·
𝐌𝐀𝐙𝐈𝐍𝐆𝐈𝐑𝐀 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐙𝐀𝐈𝐃𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐎𝐌𝐄𝐀 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐈𝐀 #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele
Mama Yuko Kazini tweet media
Euskara
1
63
67
1.6K
Jacob Mwambusi retweetledi
by_.essy
by_.essy@EssyMichael26·
𝗛𝗶𝘇𝗶 𝗻𝗶 𝗝𝗶𝘁𝗶𝗵𝗮𝗱𝗮 𝘇𝗮 𝗠𝗵𝗲. 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗗𝗸𝘁 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗼𝗿𝗲𝘀𝗵𝗮 𝘀𝗲𝗸𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗲𝗹𝗶𝗺𝘂 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗧𝗮𝗶𝗳𝗮 𝗹𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗮𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗼. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele
by_.essy tweet media
Indonesia
6
49
68
1.2K
Mdude Nyagali
Mdude Nyagali@mdudenyagali·
Kwa taarifa nilizopata asubuhi ya leo ni kwamba kuna Bus 🚌 41 kutoka mikoa 19 wanaosafiri kwenda Dae es Salaam kwa ajili ya kesi ya Tundu Lissu hiyo kesho kutwa. Mabasi mengi hasa ya mikoa ya pembezoni yameanza safari leo. Kitu nilichokipenda ni kwamba hawajavaa sare za CHADEMA wala kuweka bendera ya chama kwenye magari yao. Hawa mabumunda wa akili kisoda nguvu nyingi watakuwa na wakati mgumu sana labda wazuie mabasi yote ya kukodisha kuingia Dar. Hata hivyo watu wengi zaidi wamekata tiketi kwenye mabasi ya mikoani. Wengi wataanza kuingia kesho asubuhi na kesho kutwa asubuhi. Hotel za Dar zimeanza kujaa leo.
Indonesia
280
189
1.5K
143.3K
Jacob Mwambusi retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
Serikali imeendelea kutekeleza mkakati wa kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wafanyabiashara ndogondogo. Hadi Februari 2025, tayari wafanyabiashara 63,222 wamesajiliwa. Aidha, shilingi bilioni 8 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya mikopo yenye mashartinafuu kwa wafanyabiashara ndogondogo. Hadi kufikia Februari, 2025 wafanyabiashara ndogondogo 1,008 wamepata mikopo hiyo.
Indonesia
5
41
57
410
Jacob Mwambusi retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
Tayari imekamilisha ujenzi wa vyuo vipya 29 vya ufundi stadi ambavyo vimechangia kuongezeka kwa udahili wa wanafunzi wa ufundi stadi kutoka 415,131 mwaka 2023/2024 hadi 425,509 mwaka 2024/2025.
SAMIA APP tweet media
Indonesia
7
43
66
615