Sabitlenmiş Tweet
J.zuma
70 posts


The best midfielder anacheza EPL tu? Haijawahi kutokea
Farhan Kihamu Jr@FKihamu
The best Midfielder in the world, halina ubishi hakuna Pedri wala nani huyu Mreno ni habari nyingine.
Deutsch

@George_Ambangil 😂😂 watu wa Man U bana, wanapiga promo sana alaf boli lake la kawaida tu anaotea games zake tu
Indonesia

@George_Ambangil Hawezi kutwaa tuzo ya mchezaji bora, mchezaji bora atatoka kwenye timu iliyobeba ubingwa kama Arsenal atabeba ubingwa Decan rice, Gabriel au David Raya Kati ya hao kuna mchezaji bora

@George_Ambangil Bruno Assists 16 kati ya hizo ASSISTS 11 NI ZA KONA. na anapumzika hadi wiki 3 bila kucheza Mechi YOYOTE ILE. Wenzie WEEK IN WEEK OUT wako uwanjani @anuskills3
Kama ilivo kawaida yenu nyumbu siku zote NI FUNGU LA KUKOSA. akipigwa city mna kausha AKI DROO ARSENAL MNA BWATUKA
Indonesia

@FKihamu Sio kweli bruno ni kiungo mzuri sawa ila szobo ni better zaidi yake hata ukipinga huo ndio ukweli
Filipino

“Yeyote anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga”
Kwisha maneno! Dikteta mwuaji mwingine Khamenei amemalizwa na siwezi kudondosha hata chozi moja maana ameua maelfu na kutesa malaki na alijivunia ukatili wake!
Yote kwa yote love or hate Trump but he has been clearing the world of some very unsavory characters and dictators so far!
God has a strange way of using people you never thought of!
Mungu haleti malaika kusaidia bali hutumia binadamu hawahawa dhaifu kuleta msaada tusiotarajia!
Iwe fundisho kwa madikteta wanaojiona miungu watu! Jezebel naye ipo siku atakutana na masaibu hataamini! Angekuwa na washauri wenye akili angejiondokea! Ila sasa hata kwa wajomba kumevurugika 😆 sijui ataenda wapi!


Indonesia

Brahim Díaz aside, name an African who has played for Real Madrid.
Impossible
GIF
Oladoja@_onlyscott
Quote this with Legend IQ
English















