
@iam_saii1206 @Sativa255 Bado akili hauna, ww lengo si upate hela yako yote MILION 28????
.Au hujaona hesabu hapo za kupata milion 28 ambayo iko na Advantage mara mbili??
Kwamba hukosi vyote???
Iki boom inatoa jumla 28 na ile 3 ulosave
Ikilost kama hivyo unabaki na ile ulosave M 3,
Huekew nn apo??
Filipino






















