Kiungo wa zamani wa Kenya na Vilabu vya Tottenham na Southampton Victor Wanyama leo ametangaza rasmi kustaafu kucheza Soka akiwa na miaka 34.
Wanyama amecheza Soka kwa miaka 19 akiwa amewahi kuzitumikia timu za Beerschot ya Ubelgiji, Celtic ya Scotland, Southampton na Tottenham Hotspurs za England, CF Montreal ya Canada na Dunfermline ya Scotland.
Victor Wanyama ameacha rekodi kadhaa ikiwemo mchezaji wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kucheza EPL.
#MillardAyoUPDATES.
HABARI PICHA:
Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini.
Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha Madaktari na wauguzi Bingwa bobezi Machi 28, 2026 kwenye Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.
@ayubu_madenge Hawafi wako sehem wametulia hii ni mbinu ya kivita siku wanaibuka wote na Khamenei pia. Iran balaa anatisha mzee anaweza piga Israel yote siku moja hataki tu anawaonea huruma.
Iran imethibitisha rasmi kifo cha Rear admiral Alireza Tangsiri, Mkuu wa Jeshi la Majini la IRGC, kilichosababishwa na mashambulizi yaliyofanywa na Israel.
@sikoi56@Kimbesa11@Jambotv_@SuluhuSamia In fact, hizo mortality rate wanapika data na kazi hiyo zipo supervised na wakurugenzi na wakuu wa idara kwa maagizo maalum. Hakuna kureport vifo vya watoto. Nchi inaumwa hii.
Fainali ya Playoff ya Kufuzu World Cup 2026
𝗝𝗔𝗠𝗔𝗜𝗖𝗔 🇯🇲 vs 🇨🇩 𝗗𝗥 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢
🗓️ Aprili 1, 2026
🏟️ Akron Stadium, Mexico 🇲🇽
⏰ Saa sita kamili usiku
Nani atafuzu World Cup 2026?
Mkristo anamcheka Muislam kwa kwenda Hija Mecca na kusymbolize kumpiga shetani mawe; Muislam anamcheka mkristo kwa kutundika picha za muigizaji fulani nyumbani kwake na kumwita Mungu; babu anayefanya tambiko anawashangaa wote.
Kila mmoja ana Mungu wake.