Shaüri Jř🦂

7.2K posts

Shaüri Jř🦂 banner
Shaüri Jř🦂

Shaüri Jř🦂

@ShauriAnderson

Dad,TruckDriver,Arsenal Fan

Pwani, Kibaha.Tanzania Katılım Ocak 2022
892 Takip Edilen402 Takipçiler
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Yaaani Kizigha Rostam na Kikwete, Kikwete ni Karani wa Rostam, Rostam anafanana na Mhindi mmoja South Africa Gupta,unaposikia scandal kubwakubwa S/A.basi Gupta lazima awe nyuma ya camera. Tz Rostam,alikuwa amehibernate tu, sasa amerestart software katika version za kisasa zaidi.
Filipino
2
19
127
7K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
X Drivers ,,Kwenye Hii 180kph hapa tunatokaje wakuu au Tuandae Wasifu wa Dereva kabisa .?😤😤
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
54
21
137
10.5K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Nimetengenezewa picha za video naambiwa na picha za uchi wanaenda kuzishare wandishi wa habari wananitafuta wananiambia tumepewa pesa tukuchafue kwahiyo niwalipe wakaibuka wakatafutwa na mtu wakalipwa wakajifanya wanafanya mahojiano kumbe wamepewa pesa walipangwa kwanini kumwaangusha Nick Shaboka why wakati focus yangu ni kazi ya Mungu? Mliofika kanisani mnajua Jengo Lilivyo Naambiwa natembea na wasichana kwenye chumba cha Office kale kaofisi kalivyo Utapiga Shoo kwenye kale kaofisi upande wapili wasisikie Watu wamekuja na nia mbaya Mnataka nionekane malaya mnzinzi ?? mara Shaboka amezaa na mshirika mshirika Yupi si mlete picha... Amesema hayo -Pastor Nick Shaboka
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
6
7
89
14.3K
tiba asili
tiba asili@tibaasili3·
@MkulimaKante alikuwa mtu kumbe mashart ya mganga kila siku lazima amalize 3m kwa bata tu
Filipino
2
0
3
398
Kante
Kante@MkulimaKante·
Pale Mafinga kulikuwa kuna don mmoja akiingia bar akakuta mmekaa kinyonge anapaza tu sauti kuwa mhudumu nisingependa kuona mm nakunywa kwa furaha huku wengine wamekaa kinyonge zungusha nne nne kwa kila mtu bar nzima. Akiagiza mchemsho utasikia anaropoka siwezi kunywa mchemsho peke yangu wakati wenzangu wananitizama zungusha michemsho bar nzima sijazaliwa kuwa mchoyo. Yule mwamba alikuwa anapendwa sana sijui kama bado yupo nilibahatika offer hiyo siku moja nikiwa Mafinga pale🙌
Indonesia
17
19
146
3.6K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@Sisimizi3 Huyu Anapandishwa Na Gavoo Kileleni Ili Kumzima Jasusi Qmmk Ila Hamna K2
Indonesia
0
0
0
3
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Mwamposa ni Nabii aliyeletwa na Mungu kumaliza ufalme wa Katoliki Tanzania
Dr. Sisimizi tweet media
Filipino
78
0
56
17.9K
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Nukuu "Muhamad alioa wanawake wengi ambao sio mabikra (wajane) Khadija Hafsa Zaynab Na wengineo..... Au alivyowaoa Bikra zao zilirudishwa? Mdau kutoka Dm anauliza🙏✍️
Indonesia
15
7
60
7.5K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@IgoraIrene32964 Bora Muwe Wengi Sasa"Mbaya Zaidi Unakuta Wenzio Wana Loss 400"Wewe Ndio Umefungua Sheli 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Indonesia
1
0
7
327
Rastafarian_culture
Rastafarian_culture@IgoraIrene32964·
Hapa tumemaliza kushusha mafuta tumepasuka shoti kuanzia 900 nakuendelea unajiuliza utaendeshaje gari kutoka Lubumbashi kwenda dar na Nguvu huna?Hapo boss kiswahili hakipandi tena kinapanda kisomali na kizungu biashara ya Tankers ni Kamali 😂😂
Rastafarian_culture tweet media
Indonesia
61
64
572
28K
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
Basi ikiwa inadaiwa yaani haipaswi ichukue hata siku 2 gereji aisee😀. Matajiri hawataki michezo na mabasi yao.
Indonesia
7
6
118
7.9K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Hivi Manyanya aliendaga wapi? Kuna kipindi mlisema amechukua nafasi ya Kanumba😁
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
21
17
278
14.4K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Kwanini magonjwa kama kiharusi au stroke huwakuta sana wenye hela kuliko masikini?
Bony 📚 tweet media
Indonesia
67
19
285
17.6K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@zoetjesheeftX Angalia Picha Ya Miguu Yake Inaonyesha Wazi Kuna Sehemu Amekanyaga Mwenyewe"Kifo Mnakichuliaje
Indonesia
0
0
0
28
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Hivi divyo alivyotolewa shimoni baada ya kuchimba zaidi ya futi 80 kisha kupoteza oxygen akafa 😭😭😭Najua sio ndugu Yako ila usipite bila kusema Pole kwa Family na R.I.P KWAKE alikuwa kwenye kutafuta 😢 Wanaume Licha ya Wengi kufa Chimbo Huwa hawaachi Kuzama 😢
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
17
11
293
17.7K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@Tweener003 Punguza Sauti Haya Mambo Hayana Mwenyewe"Niliwahi Shuhudia Mganga Anachapiwa Mali Na Sheikh Mmoja"Na Mganga Asemi Kitu Na Anajua..Usiombe Yakukute
Filipino
0
0
3
80
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Sema inaonekana asilimia kubwa ya watu maarufu au watu wenye hela wanaowaga wanawake wasiowapenda ,wanawake wanawakubali kwa ajili ya maslahi binafsi tu na inaonekana ni watu wanaoongoza kugongewa sana aisee .
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
27
17
123
5.6K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@UrBoyMox Uwezo Wako Ukiwa Mdogo Lazima Uone Unabaguliwa"Ishu Ni Kujiamini Kama Ipo Ipo Tu"
Filipino
0
0
0
247
M O X
M O X@UrBoyMox·
Kuna mwanangu amenambia nanukuu "Umeona makampuni ya Azam haya, Kama wewe ni mkristo unahitaji connection kubwa sana kupata ajira Jamaa wana udini sana" Eti ni kweli?
Indonesia
104
46
577
42.7K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@Abraha1Brighton Ujuaji Wa Huyu Janja Ndio Unamponzaga Kwa Hawa Manzi"Hili Ni Tukio La Pili Janja Anapigwa #KnockOut Tunashindwa Hata Kumtupia Kitaulo Kumwokoa Sbb Ana Kaubishi"
Indonesia
0
1
3
242
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
DNA. Imetengenisha ndoa DC baadaa ya kuambiwa toto sio wake Wanawake sio wakuwaamini
NKENJA_7 tweet media
Indonesia
15
9
154
12.5K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@fintanjr_ Kama Haujatumia Sent 5"Usijipe Umuhimu Wa Kunishauri😂😂😂
Indonesia
1
0
0
240
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Angalia kiingilio ndio ujue kuwa hapa vitoto vya Afmbili mlikuwa bado mnajishikilia msiishie bafuni😂💔🙌.... maisha yapo kasi sana .
The champ👑 tweet media
Indonesia
24
40
224
12.4K
Shaüri Jř🦂
Shaüri Jř🦂@ShauriAnderson·
@Elsukay0 Hapa Kama Una Akili Ya Kiume"Unaweza Ukatengeneza Connection Kubwa Kiseng*** Ukapata Zaidi Ya Hiyo 50K Uliyotoa Kama Kiingilio
Filipino
0
0
0
0
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Kikao cha wanaume cha IPM bhana unachangishwa 50k kama Kiingilo ukiingia ndani unaambiwa ukatafute tena hela 😂😂 mara mpe mkeo hela 😂😂 mi niliwaambia mnapigwa haya mmeona sasa? Wakati huyo yeye kakusanya 50k zenu
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Filipino
84
39
495
33.2K
Ben selector
Ben selector@BensonMukombozi·
@mananajr_ Mmoja akiingiwa tu na tamaa , Kamanda muliro atajitokeza akiwa na gloves
Filipino
12
2
46
3.7K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kuna jamaa yeye na mwanae wamechanga hela kiasi wakanunua gari used kwa ajiri ya bolt. Wamegawana shift mchana & usiku wiki moja unapiga mchana wiki ijayo usiku. Kila siku wanaweka 30k kama akiba, hawana familia, malengo ni mwakani muda kama huu wawe na gari nyingine🙌
Indonesia
31
42
817
31.2K
Mafioso
Mafioso@capitanpapilon·
Kuingia kwenye kikao cha Wanaume ni 50, 000 kwa watu 500 jumla ni Milioni 250 Milioni 250 × Vikao 10 =Bilioni 2.5 Mchizi anapiga sana hela 😎
Mafioso tweet media
Indonesia
75
41
522
36.4K