Jamal Jr

813 posts

Jamal Jr

Jamal Jr

@JamalJr_6

jsjsj Katılım Ekim 2020
87 Takip Edilen20 Takipçiler
Quincy
Quincy@ejdecency·
@MaulidiKilala @Aruatani Kwani waislamu mungu wao si wanamuita Allah?sasa ulitaraji wakumbie nini?? ila kiuhalisia wanamuabudu Lucifer na ndio wanamuita mungu mwenye cheo cha mwezi na nyota mabegani! Sijui ni Sir major ama Luteni kanali?No Christ no eternal life,thats dead end.
Indonesia
2
0
1
33
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Kwahiyo Yesu ni Mungu na Mungu amekufa na akafufuka..!? 🤔🙌
Aruatani✨ tweet media
Indonesia
51
17
130
6.3K
ᴍᴡᴀɴᴅᴀᴍɪᴢɪ♉
Lazima Kuna something behind. Wanatumia nguvu kubwa sana kupush hili kitu. NASA 🚮🚮
ᴍᴡᴀɴᴅᴀᴍɪᴢɪ♉ tweet media
Filipino
43
7
79
6.2K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
HABARI KUBWA LEO: Iran imekubali kuufungua mfereji wa Hormuz haraka na kwa usalama, baada ya Rais Trump kukubali kusitisha mashambulizi makubwa aliyoahidi kuyafanya Usiku.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
82
41
616
35.7K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@pastajoshuatz Kwahiyo unakubaliana na bwana wako mzungu kwamba babu yako alikua nyani, kwamba na ww asili yako nyani, huu ni uwendawazimu
Filipino
0
0
0
67
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Kuna vyande wanaona wazungu wanaenda mwezini hawaamini wanasema uongo lakini wameambiwa peponi Kuna mabikira 72 na mito ya pombe wameamini, huu si wendawazimu??🤣
PASTA JOSHUA tweet media
Filipino
66
36
267
11.7K
Jaason Jassel
Jaason Jassel@JaasonJassel·
@ayubu_madenge USA mjanja Sana kafanya hivyo ili kuwaondoa raia waliopangana kwenye madaraja na kwenye miundombinu ya umeme ,wakishatoka tu anavunja vunja madaraja na vinu vyote vya umeme
Indonesia
1
0
0
296
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Iran imeipelekea Marekani mapendekezo 10. Marekani imekiri kupokea mapendekezo hayo na imesema yana mwanzo mzuri wa majadiliano. Iran imesema majadiliano na Marekani yataanza Ijumaa na yatafanyikia Pakistan. Kiuhalisia Vita haijawahi kuwa na manufaa bali inaacha maumivu.
Ayubu Madenge tweet mediaAyubu Madenge tweet media
Indonesia
13
16
178
8K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@knghnri @ayubu_madenge sio bongo tu hata wairan wanashingiria baada ya kupatiwa points 10 wanazozihitaji acha kujitia ujuaji
Indonesia
1
0
1
142
King Henry
King Henry@knghnri·
@ayubu_madenge Only in bongo utasikia Iran ndo wameshinda, ceasefire ni ya wiki 2 tu
Indonesia
7
0
1
1.4K
Jamal Jr retweetledi
Andrew Bolis
Andrew Bolis@AndrewBolis·
You can earn $9000/month if you have ChatGPT, a laptop, an internet connection, and 60 mins a day. Normally, I charge $83 for this guide, but today I'm giving it away for free. Like + reply 'Money' and I'll send you my full guide for FREE. Must follow me to get guide in DM. Free for 48 hours only.
Andrew Bolis tweet media
English
11.7K
785
9.5K
1.4M
Vunga
Vunga@VungaEl74·
@nizokati9 Kumpa ushindi wakati anakuwa chini ya uangalizi wa Marekani 😅
Indonesia
4
0
2
280
Vunga
Vunga@VungaEl74·
IRAN IMEBIDI WAWE WALPOLE TU , Elewa neno Mapendekezo ansante. MAPENDEKEZO 10 YALIYOTOLEWA NA IRAN LEO APRILI 7, 2026 kama counter-proposal kwa mapendekezo ya kusitisha vita na Marekani/Israel. Mwisho wa kudumu wa vita sio kusitisha kwa muda mfupi tu katika eneo lote. Dhamana za usalama kwamba Iran haitashambuliwa tena na Marekani au Israel. Kukomesha mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon na washirika wengine wa Iran katika eneo hilo. Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vyote (sanctions) vya Marekani na kimataifa dhidi ya Iran. Kukomesha migogoro yote katika eneo pamoja na Iraq, Yemen, n.k. Itifaki ya usalama wa kupita protocol for safe passage kupitia Strait of Hormuz, ikiruhusu Iran kudhibiti au kutoa sheria. Kufungua tena Strait of Hormuz kwa meli, lakini kwa masharti. Kutoza ada ya takriban $2 milioni kwa kila meli inayopita kugawanywa na Oman. Msaada wa kujenga upya (reconstruction) wa miundombinu iliyoharibiwa na mashambulizi, kupitia mapato ya ada au fidia. Mwisho wa uhasama na kurudi kwa mazungumzo ya amani ya kudumu, pamoja na kukubalika kwa urutubishaji wa nyuklia wa Iran na mambo mengine. Wamekubali TRUMP SIO OBAMA AU BIDEN 😅😅😅
Vunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
16
5
24
2.4K
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kujiondoa katika muungano wa NATO, akieleza kutoridhishwa kwake na kile alichokiita ukosefu wa msaada wa kutosha kutoka kwa washirika wake, hususan katika suala la kufungua Mlango wa Bahari wa Hormuz wakati wa mvutano unaoendelea na Iran. Akizungumza kuhusu hali ya vita kati ya Marekani na Iran, Trump amesisitiza kuwa anatarajia operesheni hiyo kumalizika haraka, akisema licha ya kutoweza kubainisha muda rasmi wa kumalizika kwake, Marekani “haitachukua muda mrefu” kujiondoa katika mzozo huo. Kauli hiyo imekuja wakati ambapo shinikizo la kimataifa linaongezeka, huku baadhi ya Nchi Wanachama wa NATO zikilaumiwa kwa kutochukua hatua madhubuti kusaidia juhudi za Marekani katika kuhakikisha usalama wa njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Trump pia ameeleza kuwa ataeleza rasmi kutoridhishwa kwake na NATO katika hotuba yake kwa taifa, akisisitiza kuwa uamuzi wa kujiondoa katika muungano huo uko mezani na unazingatiwa kwa uzito mkubwa. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
7
9
211
11.6K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@VungaEl74 Naona unawadanganya mazuzu wako myahudi wa ukerewe
Indonesia
1
0
0
139
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Wachina ni matapeli sana walidaganya irani huu mfumo wao wa HQ 9B AIR DEFENCE SYSTEMS ni bora duniani Marekani na Israel hata waje na nini wataangushwa 😆 Marekani alipoigia mfumo hata haukushituka kama kuna maadui China wana tecnologia ya ubabaisha kwaajiri ya nchi ambay o hazina uchumi mzuri
Vunga tweet media
Indonesia
18
9
67
6.8K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@Zephania_Ndaki Ktk dini tunaita ukhanithi kuna mstari mwembamba sn unaotofautisha na ushoga
Indonesia
0
0
0
4
Zed🇮🇷🇹🇿
Zed🇮🇷🇹🇿@Zephania_Ndaki·
Mimi Nitakua Mtu Wa Mwisho Kuamini "Anko T" Ni Shoga Sababu Sijawai Kumshudia Na Biblia Inasema"Usimshudie Jirani Yako Uongo" Ila Nacho Amini "Anko T" Anavaa Nguo Za Kike Sababu Ya Biashara Yake Na Hilo Ndio Anakosea Sababu Ya Tamaduni Zetu Za Kitanzania Haziko Hivyo🙏🏿
Indonesia
63
11
109
14K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@Rahim_Meghji Unaambiwa acha bidaa unasema ywywfwhwuiwjgwywgwvwimaowh shekh acha bidaaa hiyo sio dini
CY
0
0
0
26
بو سالم 🇹🇿
بو سالم 🇹🇿@Rahim_Meghji·
Hawa Salafi wa mtandaoni hata wajiveke usalafi miaka 500 hawawezi kufanana na Salafun Swaaleh...hata kwa unyoya! Bila Muhammad Bin Abdelwahab kupewa assisst na Muingereza leo tusingekuwa na hili kundi , binafsi nawaona kama wanywa kahawa wenzangu..
Indonesia
11
7
29
2.5K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@VungaEl74 Kwa machine zile walizozizika chini milima utawala wa iran kuanguka sahau, mbona hawaingii ndani km tulivyozoea wanavyovamia nchi nyengine
Indonesia
0
0
0
39
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Pentagon Marekani kupitia shirika lake la kijasusi CIA na MOSSAD yameripo kuwa kuna vikosi mbalimbali ndani ya irani vya uasi. Kuna mashambulio Kazaa ya wanajeshi wa jeshi la kmapinduzi wamefanyiwa na kuuwa Vikundi hivi ambavyo vipo kinyume na serikali ya dola ya Kiislamu vimefanya matukio kalibia kila sehemu ya miji mikubwa ya irani Ripoti inasema kuna hatari ya kuzuka kwa makundi mengi ya Uasi yanayo pinga serikali ya kikagaidi ya dola ya Kiislamu Dola ya magaidi wa Kiislamu lazima ianguke kwa namna yoyote ile.
Vunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
23
8
69
5.5K
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
TUMALIZE UTATA Mpaka sasa ulivyo fuatilia unaona nani anataka kuweka mpira kwapani? Iran au (Israel na US) #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Filipino
28
5
51
3.9K
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@bajabiri Nachoona mm, siyo kwamba Israel hana uwezo wa kupiga makazi ya watu wa Iran, anao mkubwa, na hik kilio anacholia huwenda n kutafuta justification ili akianza kuifanya Iran kama Gaza asilaumiwe, wale jamaa huwa wakichora mstar wa kutovumilia ukiuvuka huwa hawarud nyuma.
Filipino
3
0
0
215
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Nawahakikishia Trump bila kupata mafuta hatoki apo, utamsikia Oil, I want Oil 😅
Indonesia
9
4
51
2.3K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@VungaEl74 Na achomoze pua yake wanaume wamtie kitanzi
Indonesia
1
0
3
78
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Iran si Jamhuri ya Kiislamu. Mwana wa mfalme wa IRAN. Reza Pahlavi🇮🇷 Miundombinu ya raia ya Iran ni ya watu wa Iran na ya mustakabali wa Iran huru. Miundombinu ya Jamhuri ya Kiislamu ni mfumo wa ukandamizaji na ugaidi unaotumika kuzuia mustakabali huo usiweze kuwa kweli. Iran lazima ilindwe. Utawala lazima uvunjwe. Ninamuomba Rais Trump na Waziri Mkuu Netanyahu waendelee kulenga utawala na vifaa vyake vya ukandamizaji, huku wakiacha miundombinu ya raia ambayo Wairani watahitaji kujenga upya nchi yetu. Kwa msaada wa Marekani na Israeli, na zaidi ya yote kujitolea kwa wazalendo wa Iran, saa ya uhuru wa Iran imefika. Iran iishi milele! KingRezaPahlavi 👑🇮🇷
Vunga tweet media
Indonesia
11
3
30
1.4K
Jamal Jr
Jamal Jr@JamalJr_6·
@VungaEl74 Iran ameanza kujijenga tokea baba yako hajazaliwa unataka kuwafundisha
Filipino
1
0
1
60
Vunga
Vunga@VungaEl74·
IRANI hana plan ya vita anapambana tu hajui anatakiwa kufanya nini ili ashinde vita
Vunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
57
2
42
3.6K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
@skillz23534 Marekani haombi msaadaa anatafuta uhalali wa vita
Eesti
2
0
1
223
Vunga
Vunga@VungaEl74·
IRANI anapigana tu anekane anapigana lakini ukweli usemwe uwezo wake umeisha. Anatengemea misaada ya siraha kutoka China na Russia, Marekani amekaa pale pale kwenye Mlango-Bahari no body in no body out Angani hawezi pitisha Muda wote wapo US-ISRAEL wanatoa dozi
Vunga tweet media
Filipino
23
3
43
6.2K