Darius Kapondwe

227 posts

Darius Kapondwe

Darius Kapondwe

@kapondwe

MY LORD JESUS CHRIST

Katılım Ağustos 2021
139 Takip Edilen27 Takipçiler
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@k_mjege Irani wako vitani, Israel na US wako kwenye Operation, wakiingia vitani Iran hamalizi siku 3 n nyingi sana,
Indonesia
2
0
0
116
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Kwa nini wengi humu wanaita “vita ya Iran” lakini hawataji Israel wala Marekani?
Indonesia
5
1
17
1.4K
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@VungaEl74 Na hiyo ndo hushughurikiwa, ikiwa ni uvimbe tumboni huwezipasua kichwa, miguu mikono au mwili wote, doctor hudeal na sehemu yenye shida. Ndicho Israel na US wanakifanya pale Iran. Ila kwa vita Iran hawezisimama na hao jamaa kwa angalau siku mbili and that's a naked truth.
Indonesia
0
0
0
39
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Ujasusi wa marekani umebaini irani bado ina makombora mengi Huu ni mchezo Marekani ametoa hii tarifa ili aendelee kupiga irani ni taarifa ya kumpa kibali cha kuendelea na mapigano Marekani na Israel hawataki kusitisha mapigano ndio maana wanatoa ripoti zinazo wapa uhuru wa kuendelea na operation. Irani mpaka akubali Marekani haondoki pale
Indonesia
6
4
23
1.5K
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@VungaEl74 Kitu ambacho watu hawajui, Israe na US, hawako vitani, wao wako kwenye operation, Iran ndo yuko vitani, Israel na Us wakiingia vitani Irani siku mbili ni nyingi sana, sasa watu hawajui tofaut ya vita na operation, operation inahusika na sehemu specific yenye kitisho.
Indonesia
1
0
1
56
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@VungaEl74 Wasije kuwa wanasema hivo ili waendelee na operation na wazidi kuzama ndani zaid😃
Indonesia
1
0
0
147
Vunga
Vunga@VungaEl74·
CNN inaripoti, ikinukuu "vyanzo vitatu vinavyofahamu jambo hilo," kwamba kulingana na tathmini za hivi karibuni za kijasusi za Marekani, karibu nusu ya maeneo ya kurusha makombora ya Iran bado hayajaharibika. Ripoti hiyo inaongeza kuwa maelfu ya ndege zisizo na rubani za kujitoa mhanga bado ziko kwenye akiba ya silaha za utawala wa Iran, licha ya mashambulizi ya kila siku ya Marekani na Israeli dhidi ya malengo ya kijeshi katika wiki tano zilizopita.
Vunga tweet mediaVunga tweet media
Indonesia
8
4
38
2.7K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Hata serikali za Afrika wakipewa hizo hela malipo ya Utumwa ndani ya mwezi hutaziona wala kujua zimeenda wapi. Kwa hiyo wasipewe. Najua wanataka hela za tu sio kwamba wana uchungu na wananchi au wanaumia kuhusu utumwa. Nope.
Indonesia
3
2
31
695
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@EliabuDanford Kama wakitaka kuleta pesa, wazungu waje watujengee miundombinu yoote kama vile barabara zote, bandari, airports, waboreshe shule zetu, vituo vya afya na vifaa vya tiba, alafu warudi wakatulie, na wasimamie wao, hapo kidogo wanaweza wakagusa maisha ya wananchi! 😄
हिन्दी
0
0
0
13
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@EsirEid Kenya na Uganda watazidi kuinuka na kuwa na Nguvu East Africa kwa taarifa yako. Tanzania itazidi kudidimia. God bless Israel. Amen.
Filipino
0
0
1
66
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@EJ_Mwita Amen. Hakika uko sahihi YEHOVA WA AGANO LA KALE ndiye BWANA YESU KRISTO WA AGANO JIPYA. YEYE NI MUNGU EN MORPHE.
Filipino
0
0
0
85
Pope Mwita I
Pope Mwita I@EJ_Mwita·
YESU ni MUNGU.
Indonesia
63
41
212
46.7K
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@bajabiri Iran anaonekana hana operation, anachokifanya ni kupiga popote panapouma, na wenzake wamejiandaa kimkakati, anafanya kupigapiga popote ili kushinikiza jamaa waache operation zao nchin mwake, kwa maoni yangu kidooogo😀
Filipino
0
0
0
137
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@bajabiri Nachoona mm, siyo kwamba Israel hana uwezo wa kupiga makazi ya watu wa Iran, anao mkubwa, na hik kilio anacholia huwenda n kutafuta justification ili akianza kuifanya Iran kama Gaza asilaumiwe, wale jamaa huwa wakichora mstar wa kutovumilia ukiuvuka huwa hawarud nyuma.
Filipino
3
0
0
215
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@bajabiri Binafsi naona kuna kitu hakiko sawa, na watu wengi wapo kishabiki sana kwenye huu mzozo, ukiangalia Israel na Marekani wanavopiga Iran, utagundua kuwa wana malengo yao, na operation huwa inashughurikia sehemu yenye tatizo, elewa maana ya neno EPERATION, nachofahamu,
Indonesia
0
0
0
139
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@EsirEid Kwamba Israel wao hawana mabom kama ya Iran? Kama wanayo n kwa nn hawayatumii? Israel hawana ma ICBM? Kama wanayo mbona hawayatumii? Israel kwa nn hashambulii makazi ya raia? Au hana huo uwezo wa kupiga kiholela kama Iran? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza.
Indonesia
0
0
0
19
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@ErnestKavol4 Kwamba Israel wao hawana mabom kama ya Iran? Kama wanayo n kwa nn hawayatumii? Israel hawana ma ICBM? Kama wanayo mbona hawayatumii? Israel kwa nn hashambulii makazi ya raia? Au hana huo uwezo wa kupiga kiholela kama Iran? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza.
Indonesia
1
0
0
39
kavol agent
kavol agent@ErnestKavol4·
Moja ya makombora ya Iran ilirushwa kwa kumbukumbu ya watu wasio na hatia wa Hiroshima na Nagasaki waliouawa na Marekani
kavol agent tweet media
Indonesia
2
5
51
1.2K
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@bajabiri Kwamba Israel wao hawana mabom kama ya Iran? Kama wanayo n kwa nn hawayatumii? Israel hawana ma ICBM? Kama wanayo mbona hawayatumii? Israel kwa nn hashambulii makazi ya raia? Au hana huo uwezo wa kupiga kiholela kama Iran? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza.
Indonesia
0
0
0
37
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@MankindUwezo Kwamba Israel wao hawana mabom kama ya Iran? Kama wanayo n kwa nn hawayatumii? Israel hawana ma ICBM? Kama wanayo mbona hawayatumii? Israel kwa nn hashambulii makazi ya raia? Au hana huo uwezo wa kupiga kiholela kama Iran? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza.
Indonesia
0
0
0
9
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@Zephania_Ndaki Kwamba Israel wao hawana mabom kama ya Iran? Kama wanayo n kwa nn hawayatumii? Israel hawana ma ICBM? Kama wanayo mbona hawayatumii? Israel kwa nn hashambulii makazi ya raia? Au hana huo uwezo wa kupiga kiholela kama Iran? Haya ni maswali muhimu ya kujiuliza.
Indonesia
0
0
0
10
Zed🇮🇷🇹🇿
Zed🇮🇷🇹🇿@Zephania_Ndaki·
Kisasi Ni Haki!!! Endelea Kupumzika Kwa Amani Khemeneii💔🙏🏿
Zed🇮🇷🇹🇿 tweet media
Suomi
11
8
88
2K
Darius Kapondwe
Darius Kapondwe@kapondwe·
@EliabuDanford Na hapo nachokiona mm ni kwamba Israel siyo kwamba analia lia, anatafuta justification ili atakapoanza watu wasiongee, maana huo uwezo wa kutumia silaha zake hatar zaidi anao ila hataki kudhur raia
Filipino
0
0
0
120
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Ingekua Israeli ndo anatumia Cluster missiles, Dunia nzima ingeandika ila kwa kua ni upande ule huisikii..
Indonesia
57
8
129
14.1K