Jeniva Emanuel 19
523 posts


#TajiriLaKihaya
Mwaka wa 13 toka nijiunge na huu Mtandao….
Sijawahi Date manzi humu….
wala kuipiga hata Kwa bahati mbaya 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Binafsi nichukue Fursa hii kuwashukuru manzi wote wa humu…
Kwa kuendelea kunikataa pale napojisahau na kuzama Dm!
Mungu aendelee kuwalinda na muendelee na msimamo huo huo hata Mwakani- maana sisi wanaume ni dhaifu saana- Kuna muda tunapitiwa 💔
Kheri ya Mwaka mpya🫶🏾
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Mlinzi wangu Maasai anachukua TAKE HOME- 500k tarehe 25 ya kila mwez…
Anakula Milo MITANO kila siku- chakula tunachopika nyumbani …
Ana chumba chake cha kulala master bedroom NA AC ndani…
Vocha nampa elfu 80 kila mwezi na bado kuna WI-FI ya nyumban Bure…
Kila Baada ya miezi mitatu nampa nauli na full shopping ya kwenda nyumban kwao Arusha kuona familia yak3- wiki moja..
Nmemkatia BIma yeye pamoja na mkewe na watoto…
Kuna CCTV CAMERA kila sehem … bado kuna Electric Fence… na Kengele getini…
Kwa Nini Asinenepe??
Nchi ya Kusadikika@QuadratEquation
@EsirEid Huyu Mmnasai kweliiiii Mmasai gani kanenepa hiviiiii
Filipino

CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye kunyanyasa watu kwasababu tuu ni Mkuu wa Mkoa. TUTAMCHUKULIA HATUA RASMI YEYE BINAFSI NA WALE WOTE ANAO SHIRIKIANA NAO KUENDELEZA MATENDO YAKE YA UHALIFU DHIDI YA WATU WASIO NA HATIA.
Shambulio dhidi ya mmoja wetu tutachukua kuwa shambulia dhidi yetu sote.
Tunazo rekodi zako zote na Kauli zako zote za kabla ,wakati na punde Baada ya Uchaguzi na zote zinachochea au kushabikia mauaji ya kimbari
Huu ni wakati wa Sisi kujikana na kusimamam na Viongozi wanao jali maslahi ya Ummaa na kutetea Utawala Bora na Utawala wa sheria.
Kile kilichofanywa dhidi ya Tundu Antipass Lissu hatutaruhusu kufanyika dhidi ya Father Kitima.Abert Chalamila lazima uangalie kauli zako zinavuka mipaka na huna kinga ya kutochukuliwa hatua kwajina lako.
Nadhani tunatakiwa kuchora mstari sasa.
HATUTAVUMILIA TENA MASHAMBULIZI DHIDI YA WATU WEMA KWA KISINGIZIO CHA KUCHUKUA HATUA ZAKISHERIA.....INATOSHA SASA.
BAK MWABUKUSI.
Indonesia

@KasilatiRodrick @Mwabuk2Boniface Huna akili rodrick Rudi shule
Filipino

@Mwabuk2Boniface Kikolo zamani nilifikuli kuwa unawatetea watu wema!!kiumbe unatetea hata wanatamani damu za watu kumwagika!!unatetea Father Kitima,Nimekushangaa mno.
Filipino

@EsirEid @steven_berri Hahahahahah walai nimecheka sana
Filipino

#TajiriLaKihaya
MSAADA TUTANI;
Hawa Maasai nmewaogopa saaana…
Nyumbani kwangu Na walinzi wawili wa kimaasai- wale ambao huwa nawalipa 500k kila mmoja.
ila huwa wanawaleta ndugu zao waliofika dar kutafuta kazi - so kuna muda unapata wapo 6-10😅
Juzi kuna Mmoja wao alifiwa na mwanae huko Arusha- sasa alipopewa hio Taarifa,
Ghafla kabadilika - Akawa na nguvu balaaa… watu 6 wameshindwa kumzuia- kama vile kapandwa na Mashetani💔
Nusu saa nzima kapigana saana… kajiumiza mno!
Alafu baada ya lisaa kapoa saana- Halii wala nini.
Duh! Nmeogopa mno aiseee…
Hii itakua imesababishwa na nini?
Huyu hawezi siku moja akanigeuka kweli- akanidhuru au kudhuru familia yangu…
Ikitokea kapandisha tena?
Je huu ni ugonjwa au nini? Una Tiba?
Au ni kawaida yao?
Indonesia

@TitoMagoti Kiukweli nimeharisha baada kuskia haya maneno yke
Eesti

@Advocate_Jebra Ni jins gan kinyeo Cha kuku kinazid kuonekana
Indonesia

Article 7 of the Rome Statue of the International Criminal Court.
Mbogamboga someni hii.
Jifunzeni CAH ni nini.
Happy to clarify for free maana huwa mna vichwa vigumu vitupu kama korosho au monjo.
Tutaelewana kidogo kidogo.
#TanzaniaMassacre

Indonesia

@HecheJohn Kandri upepe unavyovuma ndio mkundu WA kuku unazidi kuonekana
Indonesia

#TajiriLaKihaya
WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu….
Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu…
Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa shangazi yako… Kama sio Binamu yako basi atakuwa shemeji yako…
kuna Waislamu wamesoma shule za wakatoliki na kuna Wakristo wamesoma Islamic schools…
Hata siku moja tusikubali kutengana,tusikubali kuchukiana…
Adui wetu sio Dini zetu… infact Sisi ni Ndugu…
Kila mtu hapa Akiulizwa vizazi 20 nyuma- mababu wa mababu zetu hawakua na hizi DINI… Sisi ni waafrika Sisi ni Watanzania…
hata siku moja kodi haichagui dini, sera mbaya zikitungwa bungeni hazichagui dini… mvua ikinyesha haiwanyeshei waislamu tu au wakristo tu… kifo kikija hakichagui Dini, wote tunakufa, Umasikini au Utajiri hauchagui DINI…
Kama Mungu Hatubagui,iweje Sisi tuanze kujibagua???
Tusikubali huu mchezo Divide and rule,,, tusikubali hii Tenga utawale inayoletwa kimya kimya….
Tusijadili DINI zetu maana mwisho wa siku itamfaidisha anaeleta hizi agenda…
Juzi tu tuliona- Zile Risasi hazikua zinachagua Dini… Lockdown haikua Kwa wakristo tu hata waislamu tulikua ndani… mtandao ulipokatwa hawakukatiwa Wakristo tu hata waislamu tulikatiwa…
Tusikubali kutumiwa…
Hata iweje hata siku moja KIJANA usifikirie Kuchoma MSIKITI Au KANISA…
Hata siku moja KIJANA usikubali kuchoma Qur’an au Biblia…
Vita za Dini ni mbaya saana … tusiende huko!
SISI TUNATAKA KATIBA MPYA, Tunataka tume Huru ya Uchaguzi, Tunataka KURA yetu iheshimiwa- Our votes must Count , tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe… tunataka wafungwa wote wa kisiasa waachiwe… haijalishi ni Dini gani!
Tunataka Uhuru wa Vyombo vya habari, tunataka uhuru wa kutoa maoni, Utekaji ukomeshwe,watu wasiojulikana wafahimike…
ADUI WETU SISI SIO WAKATOLIKI AU WAISLAMU…
Adui wetu Sisi sio DINI zetu…
FOCUS 💯
Indonesia

#TajiriLaKihaya
MCHUMI MAVI…
Mambo ya Kuni UNBLOCK sitaki…
Wewe endelea kuni BLOCK tu…
Au soko limepungua?
Indonesia

@rollymsouth Kabichi ile ndogo tulikuwa tunanua1000 gafla ikawa3000
Indonesia

Niliuziwa nyanya mia 700 inaniuma bado
Lubasha Jr@MarekaMalili
Mfumuko wa Bei hatuongelei but its real.
Indonesia

@IAMartin_ Mimi nashindwa kuelewa mnatoa wap haya maneno
Indonesia









