steven berri

248 posts

steven berri banner
steven berri

steven berri

@steven_berri

Goals Executor 🇹🇿

Tanzania Katılım Ocak 2018
141 Takip Edilen28 Takipçiler
steven berri
steven berri@steven_berri·
@INFLUENCERjr Kuna gari nilichukia stakabadhi yake ofisini boss alinunua milion 124, sasa wafanya kaz wa nje wakawa wanasema hyo gar hata milion 15 haifiki, tukibishana na mimi nakaonekana sijui bei ya gari😂 kwa kifupi kukubali ukwel ni ngumu ,wabongo sisi much know sana
Indonesia
0
0
1
45
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ni ngumu sana kwa Mbongo kumuelekeza jambo ambalo kweli halikuwa halijui na akaitikia “aanha kumbe? Hili nilikuwa silijui”
Filipino
9
19
136
4.3K
steven berri
steven berri@steven_berri·
@EduTalkTz Kwa Temeke mtalaumu walimu bure, hata idadi kubwa ya watoto wa huku hawapendi shule nadhani kutokana na historia au desturi za mazingira ya huku, ila wanafundisha vizuri tu kwa kiasi chake
Filipino
1
0
0
52
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
MATOKEO YA MABOVU KABISA YA KIDATO CHA NNE 2025 MANISPAA YA TEMEKE NI MWENDELEZO WA KILIO CHA WATOTO WA WATANZANIA MASKINI WALIOTELEKEZWA. Tuangalie takwimu za elimu TEMEKE⬇️. IDADI YA SHULE NA WANAFUNZI Mpaka kufikia 2025, TEMEKE ilikuwa na shule za sekondari za umma 32 zenye jumla ya wanafunzi 79,002. IDADI YA WALIMU VS WANAFUNZI Jumla ya walimu waliokuwepo kwenye hizi shule ni 2,483. Ukichukua walimu 2,483 ukagawanya kwa masomo tisa ya msingi (Civics, History, Geography, Kiswahili, English, Physics, Chemistry, Biology, na Mathematics), utagundua kila somo lina wastani wa walimu 276. Tafsiri yake ni kwamba shule 64 za sekondari za umma TEMEKE zenye jumla ya wanafunzi 79,002 zina wastani wa walimu 276 tu kwa kila somo. Ukichukua wanafunzi 79,002 ukagawanya kwa walimu 276 utagundua kwamba kila Mwalimu mmoja kwenye shule za sekondari za umma TEMEKE anafundisha wanafunzi 286. IDADI YA VITABU VS WANAFUNZI Mpaka kufikia mwaka 2025, jumla ya vitabu vyote vilivyokuwa kwenye shule ya Sekondari Manispaa ya TEMEKE ni 330,245. Tukichukua idadi hii ya vitabu 330,245 tukagawanya kwa masomo tisa, tutaona kuwa kila somo lina wastani wa vitabu 36,993 kwa vidato vyote. Ni muhimu kukumbuka kuwa hapa tumeassume vitabu vyote ni vya haya masomo tisa tu, kitu ambacho sio sahihi. Tukichukua vitabu 36,993 tukagawanya kwa wanafunzi 79,002 waliopo kwenye hizi shule, tutaona kuwa kitabu kimoja kinahudumia wanafunzi zaidi ya wawili. Mfano halisi, kidato cha kwanza chenye wanafunzi 23,000+ kilikuwa na vitabu 10,000 vya somo la lugha ya kiingereza. VYUMBA VYA MADARASA Mpaka kufikia mwaka 2023, jumla ya vyumba vya madarasa kwenye shule za sekondari za umma TEMEKE ilikuwa vyumba 1,273. Ukichukua wanafunzi 79,002 ukagawanya kwa vyumba 1,273, utaona kila darasa linabeba zaidi ya wanafunzi 62. MATUNDU YA VYOO Mpaka 2023 shule zote za sekondari za umma TEMEKE zilikuwa na jumla ya matundu ya vyoo 669. Ukichukua wanafunzi 79,002 ukagawanya kwa matundu ya vyoo 669, utaona kila tundu moja linahudumia zaidi ya wanafunzi 118. KOMPYUTA NA VIFAA VYA ICT Mpaka 2023 kulikuwa na jumla ya kompyuta 228 (desktops na laptops) na projectors 13 tu kwenye shule zote za sekondari za umma TEMEKE. Kwa mazingira ya aina hii, ni ukatili wa hali ya juu kuthubutu kujenga hoja kwamba hawa watoto wanafanya vibaya kwa sababu hawapendi kusoma au wana maadili mabovu au hoja nyingine yoyote ile inayopuuzia mazingira haya. Halafu kama vile hali duni ya mazingira kama hii haitoshi, bado hawa watoto wanatakiwa kusoma kwa lugha ya kiingereza ambacho wao na walimu wao wote hawakijui. Yani mtoto anakuja Sekondari kutoka primary ambako alikuwa anasoma kwa kiswahili kisha ghafla anaambiwa anatakiwa kusoma na kupimwa kwa lugha ya kiingereza. Wakati huo huo hapewi vitabu wala walimu wa kumfundisha hichi kiingereza. Anatumia muujiza gani huyu mtoto? Tumekuwa wakatili sana, sana kuliko kawaida. Kwa makusudi kabisa tunaua future ya hawa watoto. Sad!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
18
13
71
9.5K
Kimmitt J. Wokingham
Kimmitt J. Wokingham@kim_wokingham·
@EduTalkTz Sidhani kama mazingira duni ndiyo sababu kuu ya matokeo mabaya Temeke; kuna suala la aina ya watu wa Temeke pia. Hao wanafunzi hata wazazi wao walifeli hivyo hivyo na babu zao pia walifeli. Temeke kumejaa watu wa pwani na kusini, jamii ambazo vichwa vyao havina nafasi ya elimu.
Indonesia
2
0
3
207
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya MSAADA TUTANI; Hawa Maasai nmewaogopa saaana… Nyumbani kwangu Na walinzi wawili wa kimaasai- wale ambao huwa nawalipa 500k kila mmoja. ila huwa wanawaleta ndugu zao waliofika dar kutafuta kazi - so kuna muda unapata wapo 6-10😅 Juzi kuna Mmoja wao alifiwa na mwanae huko Arusha- sasa alipopewa hio Taarifa, Ghafla kabadilika - Akawa na nguvu balaaa… watu 6 wameshindwa kumzuia- kama vile kapandwa na Mashetani💔 Nusu saa nzima kapigana saana… kajiumiza mno! Alafu baada ya lisaa kapoa saana- Halii wala nini. Duh! Nmeogopa mno aiseee… Hii itakua imesababishwa na nini? Huyu hawezi siku moja akanigeuka kweli- akanidhuru au kudhuru familia yangu… Ikitokea kapandisha tena? Je huu ni ugonjwa au nini? Una Tiba? Au ni kawaida yao?
Indonesia
169
69
846
53.7K
🇦 🇷 🇨 🇭 🇮 🇱 🇪 🇸
@Brother_0101 (1) Kujieleza shida zako kwa Mkeo au Mpenzi wako, hata kama unachangamoto gani usimwambie Mwanamke (2) Jifunze kuwa siri mbele ya Mwanamke hata kama ni Mkeo unaishi nae kuna vitu hatakiwi kuvijua muwekee mipaka, kuishi nae haimaashi anatakiwa kujua maisha zako zaidi..!!
Indonesia
9
6
123
4.8K
steven berri
steven berri@steven_berri·
@EsirEid 😂😂 mnyang'anye simu hapo hapo, ndo utajua pawa alizonazo
Indonesia
0
0
1
69
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ogopa saana manzi inayokuja kukueleza wanaume waliomtongoza… alafu anakudanganya walimtongoza ila aliwakataaa😂 Huyo anakutengenezea mazingira- shtuka! huyo ni Mlaya kama mlaya wengine tu💯💯💯
Indonesia
50
38
497
14.4K
steven berri
steven berri@steven_berri·
@muandazi Jamani maadili yapo wapi, hofu ya Mungu ipo wapi!? Tunaenda wapi? Na hii video ipo wapi?😂
Indonesia
0
0
0
3.4K
LOCHO
LOCHO@muandazi·
Naskia huyu Dada katubariki Kideo 😂😂 Ila wanafunzi wa chuo 😂😂😂🙌🙌🙌 Kideo nnacho Ila kama Sina ivi😂😂😂 Sogea kwenye comment chap chap
LOCHO tweet media
Filipino
43
17
324
41.1K
steven berri
steven berri@steven_berri·
@pallnandi There wasn't specific area to live called Nod but Nod is symbolic name refers to the word "wander" so Cain was fugitive who destined to have no proper land or inheritance! Everything in bible may mean something if not careful read* life begin at Eden not anywhere✍️
English
0
0
0
12
Nandi 🤍💜🤍
Nandi 🤍💜🤍@pallnandi·
For you to be a good Christian, you must suspend your brains. Adam and Eve were the first humans. Cain and Abel were their only sons. Cain kills Abel… then runs off to live with the people of Nod? Wait, what people? This story got holes, Somebody lying
English
714
1K
8.4K
697.7K
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Apa unaondoka na max ngapi??😂🙌
chuga girl❣️ tweet media
Indonesia
81
20
202
11.8K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mwanamke alie Ajiriwa Hata akilipwa sh.ngap - mshahara ni wake na wazazi wake💔 Wewe mwanaume utaendelea Kutoa matumizi ya kila siku, kulipa Rent,kulipa SchoolFees, hospital bills na Emergency yoyote itakayojitokeza 💔 Mshahara wa mkeo ni kununua nguo,viatu,pochi na kwenda saloon kisha apige picha awapostie wanaume pale Instagram azidi kutanua soko la B2B mido kisheti…💔
Indonesia
55
33
331
12K
steven berri
steven berri@steven_berri·
@EsirEid Hii ipo nina best angu(ke) nae anafanya kazi Posta nikimuhitaji uhakika wa kuonana nae ninkati kati ya week sio weekend kuanzia saa 12 hadi saa nne usiku 😂 ana mtu wake sijajua wanaishi vipi
Indonesia
0
0
0
21
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kuna Jamaa Kapanga Kule Kimara Matosa… Mke wake anafanya kazi POSTA… Sasa kila siku wife anaingia saa tatu usiku nyumbani akiwahi saana saa mbili …. Kwamba Foleni ndefu saana barabaran… Na mumewe kakubali na kaelewa maana ile foleni ya ubungo to kimara sio mchezo! Kumbe mkewe huwa anatoka saa 11 jion kazini…. Wanapitia Lodging na Work mate wake pale Ubungo maziwa! Wanakipiga toka saa 12 hadi saa mbili usiku…. Alafu manzi anapanda Bolt pikpik kuwahi home! It’s sad aisee💔💔
Indonesia
120
59
689
27.9K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Watching someone who makes twice my salary struggle to save a PDF
SANUKAnaCHAPO tweet media
English
30
41
1K
53.4K