Sabitlenmiş Tweet
Kitwango Think Bigger Tz.🧠
24.6K posts

Kitwango Think Bigger Tz.🧠
@JapharyWisdom
Dunia Haina Muda wa kumsubiri Mnyonge✌️/ @YoungAfricansSc💚💛 _ @Mancity 💙🤍/ Maisha ni Darasa. Ninaandika ili TuJifunze Pamoja. #ElimikaBureNaKitwango🧠
Tanzania 🇹🇿 Katılım Kasım 2013
3K Takip Edilen3.1K Takipçiler
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweetledi

Sipingani na uamuzi wa BAKWATA Mkoa wa Dar es Salaam, lakini kwa mtazamo wangu naona kilichoathirika zaidi si mtu mmoja pekee, bali taswira ya Uislamu katika namna tunavyoshughulikia mambo ya aina hii. Mara nyingi tunaona viongozi wa dini nyingine wakikumbwa na changamoto mbalimbali, lakini taasisi zao husimama kulinda heshima ya taasisi na viongozi wao. Heshima yangu kwa uamuzi uliotolewa ipo palepale, ila naona muda na namna ya utekelezaji wake ungeweza kuzingatiwa zaidi.
Kwa Sheikh Walid, napenda kunukuu Qur’an Tukufu:
“Kwa kila muda uliowekwa kuna Kitabu. Mwenyezi Mungu hufuta Anachokitaka na kuthibitisha Anachokitaka, na Kwake ndiko kulipo Asili ya Kitabu (Ummu al-Kitāb).”
— Surah Ar-Ra’d (13:38–39)
Hakika umetumikia kwa juhudi katika kipindi chako cha uongozi. Mwenyezi Mungu akulipe kwa mema, akujalie kheri katika kila hatua na akuongoze kwenye yaliyo bora zaidi.
Pia nakumbuka Hadithi ya Mtume Muhammad ﷺ iliyopokewa na Auf bin Malik (RA) katika Sahih Muslim:
“Viongozi wenu walio bora ni wale mnaowapenda na wanaowapenda ninyi; mnawaombea na wao wanawaombea ninyi. Na viongozi wenu wabaya ni wale mnaowachukia na wanaowachukia ninyi; mnawalaani na wao wanawalaani ninyi.”
Mwisho, tukiachana na nafasi za uongozi na tukitazama upande wa ubinadamu, kila mmoja hukumbana na mitihani katika maisha. Tunamuomba Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi, akulinde na akufungulie milango ya kheri. Mitihani ni sehemu ya maisha, na lililo muhimu ni kurejea kwa Allah, kuwa na subira na kuendelea kutafuta radhi Zake.
Mwenyezi Mungu atujaalie sisi sote mwisho mwema, Atuongoze kwenye haki na Atujaalie umoja, hekima na udugu katika dini yetu. Aamiin.
MKULIMA @FKihamu

Indonesia

@SikilizaTogolan @tonytogolani Hapa tunajifunza kuwa;-
Chagua Marafiki,Washauri,na Mazingira yanayokujenga. Shikamana na Watu wanaokuhamasisha kuwa bora zaidi, wanaokutia Moyo kufanya yaliyo Mema, na wanaokusaidia kukua.
Maisha yako yataathiriwa kwa kiwango kikubwa na Watu unaowaruhusu kutembea karibu nawe.
Indonesia

@EdwinMjeru Kisa hiki kinatufundisha kwamba Fursa kubwa mara nyingi huanza kwa Mlango ambao hukutarajia.
Usidharau Mwanzo mdogo,Fanya kila Kazi kwa Ubora,Hata kama sio ulioitamani,
Kuwa Tayari kujifunza na kubeba Majukumu mapya
Tabia,Nidhamu,na Uaminifu huonekana kabla ya kupandishwa Cheo.
Filipino

Kuna jamaa alituma CV yake kampuni XYZ kuomba kazi position ya Tour guide.
Akapigiwa simu, akaambiwa “Kwa sasa hatuna nafasi ya tour guide ila tuna uhitaji na mtu wa reception. Kama uko tayari njoo piga kazi”.
Jamaa bila kusita akaenda kupiga kazi kwa moyo wote.
Siku moja kulitokea dharura, moja ya Ma-Guide wao hakuweza kufika kazini. Na kwa kuwa ili kuwa high season, alihitajika mtu wa kwenda na wageni siku hiyo hiyo porini.
HR akamvutia jamaa waya, John jiandae leo unaenda porini na wageni.
Kuanzia hapo John akabadlishiwa kitengo. Akawa kwenye timu ya Ma-Guide.
Unajifunza Nini hapo?
Filipino

@IgoraIrene32964 Mbona unapima sana kuna kitu unakitafuta unaona huna Eeh siku ukikipata utaacha kupima😂
Indonesia
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweetledi
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweetledi

@MarekaMalili Watu wana hela sana hii kanda yetu 🙌
Indonesia
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweetledi

@JapharyWisdom Hawabadilishi mafuta ya kukaangia ni ayo ayo mpka yawe meusi
Indonesia

@Kondoo_wa_Sufi Mwamba wangu Sanaa huyu ngoswe😂
Indonesia
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweetledi
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 retweetledi

















