
Jeffmaker
114 posts

Jeffmaker
@Jeffmaker24
CEO @poweredByGod_Brand || Graphics Designer Content Creator 📱 || Visual Storyteller Brand Identity • Social Media Design • Posters • Logos Helping brands l
Katılım Mart 2026
301 Takip Edilen70 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

account yangu ya mwisho imefungiwa Tena @MopaoGraphicx ila uyu elon musk 💔
Filipino

Nimeshangaa rafiki yangu kanialika chakula cha usiku lakini vituko anavyovifanya mtoto wake nimebaki nimeshangaa sana ila sasa wazazi wake wako comfortable kabisa.
Just imagine mtoto anakuja anakwapua kijiko cha mgeni Kisha wazazi wanamuagiza Binti wa kazi akalete tena kijiko kingine
Mara mtoto anamshika mama yake mkono asile , mara amwage chakula ,mara achukue sahani ya chakula ajitwishe kichwani aanze kuzunguka sebleni na wazazi wake wala hawamfanyi chochote wanamuangilia tu hawamkanyi wanaendelea kumbembeleza aje kula
Mtoto anaamka usiku kama saa kumi hivi anaamrisha apewe simu acheze game na kuangalia cartoon na wazazi wake wanatii.
Alafu cha kusikitisha zaidi hyo mtoto ni wa kiume first born miaka kama mitatu hivi.
Indonesia


Asipo kuelewa haps basi Haji kuelewa tena
-|Zeninxx |- 🇰🇪@Denno_liam
@thisispinguini I left the channels, na zenye zimebaki I don't strictly apply their analysis kama sioni the same way kwa chart. Na ku unfollow traders wa tiktok. Hao watakutupa. Focusing on the craft you know na keeping it simple is the real deal👌✅
Indonesia
Jeffmaker retweetledi

si ole ameimba na Paul clement?? inaitwa Tajiti angu
Sean 🦩@iboysean
Watu wengi hawajui ila Mimi nawapa hii Fid Q ana one of the best Gospel song Tanzania and y’all sleeping on that song since 2018 😄
Eesti

Jeffmaker retweetledi
Jeffmaker retweetledi


@emabilly2001 Mungu anisamehe ila gray toka zamani namuona kama kaleft hivi

@Almalik_Mokiiwa @Tolumi___ tumwambie shemeji unachokifanya humu😂🫵
Indonesia

@Tolumi___ Wenzetu hela za kuchoma nyingi hivi mnatoaga wapi?😁















