leo

713 posts

leo banner
leo

leo

@leo_unsc

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2012
967 Takip Edilen2.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
leo
leo@leo_unsc·
God is great. God is the greatest.
English
3
8
30
3.4K
leo
leo@leo_unsc·
Mwanaume kulipia Blue Tick ya X hakuna tofauti na mwanamke kuapaka markup. Wote lengo moja.
Indonesia
3
8
22
239
leo
leo@leo_unsc·
Huyu JustBasweti ni msanii halisi au ni AI?
Filipino
0
2
5
178
leo
leo@leo_unsc·
Unamuomba Mungu akupe ulinzi na akufanikishie mambo yako ila moyoni umejaa wivu, chuki, husda, unafiki nk.. Sala yako haifiki hata kwenye paa.
Indonesia
0
2
1
31
†hømz
†hømz@ThomzJoseph·
Kesho anniversary yangu ya miaka 1O kwenye ndoa vijana oeni ndoa ni tamu.
Indonesia
13
21
83
1.5K
Dr Mwakalebela
Dr Mwakalebela@Isayadicksonjr·
Dar ukiwa unaishi mbali na eneo lako la kazi ni mateso…
Filipino
3
2
13
1.2K
leo
leo@leo_unsc·
@PompiClicks Hii si bei ya kilemba cha fremu.
Indonesia
0
0
0
26
JESUS COUSIN📌
JESUS COUSIN📌@PompiClicks·
Pale Kariakoo limetafutwa jengo linalouzwa kwa gharama ya Tsh Bil. 6 limekosekana😬🙌🏾
Indonesia
28
44
634
38.1K
leo
leo@leo_unsc·
Ukikutana na forex trader aliesoma kitabu cha 48 laws of power akakielewa akaamua kuwa tapeli uchomoki lazima akutapeli.
Indonesia
8
11
188
6.7K
leo
leo@leo_unsc·
@DadaEstie Una maanisha elf 10 tatu? 😅
Eesti
1
0
1
15
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Kumbe Kwa Afu Thelathini Tu Unaweza Ukapanga Kino Bana
Filipino
9
7
42
2.5K
leo
leo@leo_unsc·
Nimekuja kugundua Ni rahisi kuuza kitu cha laki moja kuliko kuuza kitu cha elf kumi.
Suomi
2
13
68
1.7K
Mendes
Mendes@Menandres47·
@leo_unsc Sahihi watu wenye iq kubwa ndio wanaelewa vzr hapo
Indonesia
1
0
0
13
leo
leo@leo_unsc·
@hereiseddy_ Shida bongo dalali anataka ganji kubwa kuliko mwenye mali.
Filipino
0
0
0
165