♤nonymou$

2.4K posts

♤nonymou$

♤nonymou$

@Jeremiahalfy

Having trouble

Russia Katılım Eylül 2021
463 Takip Edilen220 Takipçiler
Mnama
Mnama@EvodM80311·
@mwenyenchii @HecheJohn Hii nchi ina mambo ya kutia hasira sana uchawa unaitafuna hii nchi hakuna uzalendo
Indonesia
1
0
0
140
MWENYENCHI 🇹🇿
MWENYENCHI 🇹🇿@mwenyenchii·
Chande hakutoa huu ushahidi, na kadri mambo yalivyokuwa yakivurugika kwa mashahidi wa tukio kusema ukweli, maelekezo yakatolewa kwambamba wasitishe kuhoji watu, ili ajenda za kulipwa na picha za gaza zipate mashiko kwa mashahidi wa kificho.
Indonesia
29
125
439
21K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wapelekeni mahakamani Polisi ina nguvu gani kisheria kujua hili ni tusia au sio tusi Mtu akiwa mjinga akiambiwa ni mjinga inakuwa tusi? Wakati serikali ilikuwa na sera ta kufuta ujinga
Think Different tweet media
Indonesia
15
31
129
4.8K
♤nonymou$
♤nonymou$@Jeremiahalfy·
@Kimbesa11 @eastafricatv Tanzania na shule zetu zisizokuwa na walimu,michango isiyo na mwanzo wala mwisho,mfumo mbovu wa elimu unakusaidia nini? Tz ina umeme wa kutosha? hayo madaraja unayozungumzia ni yapi? je unajua kama kuna maeneo hakuna madaraja na barabara hazipitiki? acha uzwazwa
Indonesia
0
0
2
150
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@eastafricatv Kufuta deni la Taifa siyo maendeleo ni umasikini tupu. Mpaka sasa : Namibia haina ina vyuo vikuu 2 tu. Namibia haina umeme wakutosha Namibia haina reli ya umeme. Namibia haina shule za kutosha Haina madaraja
kimbesa. tweet mediakimbesa. tweet mediakimbesa. tweet media
Filipino
23
1
9
2.3K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha malipo yote ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola milioni 23.9, hatua inayotajwa kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuongeza uthabiti wa uchumi wa taifa hilo. Mafanikio hayo yamepokelewa kama ishara ya usimamizi mzuri wa fedha za umma chini ya uongozi wa sasa. Kukamilika kwa deni hilo kunatajwa kuipa Namibia uhuru mkubwa zaidi wa kifedha, huku serikali ikitarajiwa kuwa na nafasi pana ya kuelekeza rasilimali katika miradi ya maendeleo ya ndani. Kwa mujibu wa takwimu hadi Machi mwaka huu, malipo hayo yalifikia dola milioni 23.8875. Namibia sasa imejiunga na baadhi ya mataifa ya Afrika yaliyofanikiwa kufuta madeni yao kwa IMF, ikiwemo Msumbiji. Netumbo Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, ndiye rais wa kwanza mwanamke wa Namibia. Aliingia madarakani mwezi Disemba 2024 baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 57 ya kura, huku mpinzani wake wa karibu Panduleni Itula akipata asilimia 26. Tangu akiwa na umri wa miaka 14, amekuwa mwanachama wa chama tawala cha SWAPO, hatua iliyomjengea historia ndefu ya kisiasa nchini humo. CC: BBC News; DW Kiswahili #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
47
49
704
36.5K
Afc-Saks
Afc-Saks@Afc_saks1·
QN7NJK PQDR7W NTTET3 JGY17G KU7MV8 LT95GM YVW0UJ
MrBanks💰@Mrbankstips

4.9k odds stake.com/sports/home?be… 107 odds stake.com/sports/home?be… 10 odds stake.com/sports/home?be… 1.1k odds stake.com/sports/home?be… 4 odds stake.com/sports/home?be… 594 odds stake.com/sports/home?be… 19 odds stake.com/sports/home?be… Register a STAKE account via link stake.com/?c=f213c5ba25&… Use welcome code ‘banks’ for weekly airdrops and bonuses Get the iOS app via link getstake.it/i/mrbanksapp You can always contact t.me/RealJoyEpos for all stake bet deposits Join telegram channel t.me/MrBanksFreeCha… Bet responsibly 🔞🔞🔞

Indonesia
28
100
438
198.8K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Kijana wa miaka 21, Sasan Azadvar Jongani kutoka mji wa Isfahan nchini Iran, ameuawa kwa kunyongwa baada ya kukamatwa akishiriki Maandamano ya kupinga Serikali. Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa Sasan alihusika katika maandamano yaliyolenga kuipindua Serikali. Inadaiwa kuwa alirusha mawe kwenye gari lililokuwa limewabeba maafisa wa Serikali, akavunja vioo vyake na pia kuwarushia mawe maafisa hao. Mahakama hiyo pia inadai kuwa kabla ya kushiriki maandamano hayo, Sasan aliwaambia watu wa karibu naye kuwa angeingia barabarani kwa lengo la kuipindua Serikali, na aliwahamasisha marafiki zake kushiriki. Hata hivyo, mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema haijulikani wazi jinsi alivyokamatwa, kama alipata wakili wa kumtetea na mazingira yaliyomfanya kukiri makosa hayo. Siku ya Jumatano, Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, alisema kuwa tangu kuanza kwa maandamano nchini Iran, watu 21 wamehukumiwa kifo huku zaidi ya watu 4,000 wakikamatwa. Aidha, Mashirika mawili ya haki za binadamu yalisema kuwa mwaka uliopita nchini Iran, watu 1,639 walinyongwa, ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika mwaka mmoja tangu 1989. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
38
18
285
31.7K
Fichua Hub
Fichua Hub@fichuahub·
Video clips zinazosambaa za mauaji ni za Gaza na sio Tanzania - TUME Tamka neno kwa hawa wapuuzi
Indonesia
125
20
108
23.7K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Tatizo Jembe na Shoka🫵
Djkid_b_____ tweet media
20
33
482
37.6K
♤nonymou$
♤nonymou$@Jeremiahalfy·
@Paulmeda1 Huyu unamkuta ndo anaongoza kwa kamari aache upumbafu
Filipino
0
0
0
5
Savatir 🇹🇿
Savatir 🇹🇿@theSavatir·
Vote for Savatir in the Zikomo Africa And Caribbean Awards for Author Of The Year. Voting is free after you open a free account, and you can vote once a day. Here's the link: zikomoawards.com/polls/cmhw17m5…
Savatir 🇹🇿 tweet media
Zambia 🇿🇲 English
503
559
1.7K
428.2K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Watanzania wameamua kupeleka Tuzo ZAMBIA mwaka huu. "SAVATIR" huyu ni ndugu yangu kabisa. Unaweza kumpigia Kura akashinda tuzo hii ya "ZIKOMO AWARDS" REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
108
389
1.4K
39.4K
goligani
goligani@goligani·
@Jeremiahalfy Kubabaaaakeeeee Nakuahidi SHUA ODI nikitoka rodi blood 🔥🔥
Indonesia
1
0
0
75
goligani
goligani@goligani·
TANZANIA ❤️❤️
Español
2
31
107
5.4K
♤nonymou$ retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 64 Tunaendelea na Cross examination Mhe. Lissu : Katiba inasema itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama cha siasa? George Ni kweli. Mhe. Lissu : Sasa kuhusu Kikwete alikuwaje Mwenyekiti wa CCM? George: Hilo sijui. Mhe. Lissu : Je Kinana nae? George:Nae sijui Mhe. Lissu : Yusuph Makamba nae katibu Mkuu wa Ccm alikuwa mwanajeshi na alikuwaje kiongozi wa Ccm? George: Yeye alikuwa Mwanajeshi mstaafu. Mhe. Lissu : Ni kweli National Prosecution Act kunapokuwa na kosa lolote ambalo adhabu ni kifo DPP anapaswa kujurishwa? George: Ndio ni kweli inapaswa kuwa hivyo. Mhe. Lissu : Kati ya tar. 04 na tar. 08 wakati nakamatwa Mbinga kama ulitoa taarifa kwa DPP? Georgia : Mpaka tarehe 08 nilikuwa sijapeleka. Mhe. Lissu : Na kwenye maelezo yako pia hujasema jambo hilo? George : Ndio sijasema. Mhe. Lissu : Waeleze majaji Sheria ya NPS niliyoitaja DPP au mawakili wake ndio wenye mamlaka ya kuratibu makosa ya jinai? George: Ni sahihi. Mhe. Lissu : Je DPP aliratibu upelelezi ukiwa Chief investigator? George : kwa siku ambazo mimi nilikuwa kiongozi wa upelelezi sikuwahi kumuona wakili kutoka kwa DPP, hawakusimamia au kuratibu huu upelelezi. Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude anasema Mheshimiwa Jaji muda umeenda na wenzetu wa Magereza wanasema barabara ni mbovu kwahiyo tunaomba kuahirisha hadi kesho. Mhe. Lissu anaulizwa wewe unasemaje? Mhe. Lissu Wah. Majaji basi tuwakubalie na mimi niende nikale, huyu niko nae sana. Bado nahitaji kuendelea nae. Jaji anasema lakini kwa maafisa wa Mahakama jana tuliahirisha kesi hapa mkashikana mashati. Leo tulikuwa tunawaangalia mnafanya jambo gani hapa, hatutaki kukitumia kifungu cha 114 hapa. Tusingependa yatokee hayo. Hakuna Afisa wa Mahakama mwenye immunity. Anajaribu kuwasema mawakili wa serikali. Kesi imeahirishwa, Tukutane kesho saa tatu asubuhi Naomba repost yako.
Filipino
6
78
275
21.3K
♤nonymou$ retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#MAREKANI: KAMATI YA SENETI YA MAREKANI YAIONYA TANZANIA KUHUSU UKANDAMIZAJI KABLA YA UCHAGUZI Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani imeeleza wasiwasi wake kuhusu ukandamizaji unaoendelea nchini Tanzania, ikisema hali hiyo inahatarisha imani ya wananchi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29. Katika taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa X, kamati hiyo ilitaja kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa upinzani Tundu Lissu pamoja na msukumo mpana dhidi ya wakosoaji wa serikali na vyombo vya habari, ikionya kuwa hatua hizo zinadhoofisha uaminifu katika haki ya mchakato wa uchaguzi. “Ukandamizaji na vitisho kabla ya uchaguzi Mkuu nchini Tanzania inapunguza imani katika haki ya mchakato huo, sawa na kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu. Tanzania ni mshirika muhimu wa Marekani katika Afrika Mashariki, na maadili yetu ya kidemokrasia ndiyo msingi wa uhusiano huo.”
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
18
122
416
16.5K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Umeona the way hiyo video ya mahamakani imekugusa eee? imekuumiza ee? Ume-imagine labda ndio baba yako huyo au kaka yako, si ndio? Sasa sisi tulishaumizwa na hayo matukio muda mrefu sana, na bora huyo yuko hospital now anatibu majeraha (Mungu amponye🤲) Sisi tuna ndugu na jamaa zetu ambao they couldn’t make it, they didn’t survive baada ya mashambulio kama hayo wakapokonywa uhai wao kinguvu!! Wapo ndugu zetu ambao hatukuweza kuona hata miili yao tuizike kwa heshima! Tuna-assume wamekufa maana ni miaka sasa imepita tangu watoweke hawajarejea nyumbani!! Imagine hapo wamefanya mbele ya mahakama, mbele ya camera za waandishi, mbele ya watu, tena mchana kweupe!! Jiulize mangapi wanafanya gizani ambapo hakuna camera wala watu wengi🤷🏿 Nini watakufanya watakapokudaka ukiwa One man Aaaa🤔 Tulipofungua midomo yetu kukemea haya, tulionekana waasi,sio wazalendo,waharibifu wa amani na tunatumwa na mabeberu!! Mbaya zaidi baada ya haya kutokea, wenye mamlaka badala ya kutupa speech zingezotupa relief, wao walienda ku-endorse wapigaji hawa! Wakawaongeza mishahara (Ambayo ni kodi zetu sisi waliotuulia ndugu zetu) Wengine wakawapandisha vyeo!! Hii iliwafanya hata ambao hawakushiriki waone anhaaa kumbe nikipiga nikaua mpinzani nitapandishwa cheo…… Then why not!!🤷🏿 Tuliumizwa sana ndomana tukachukua maamuzi ya KUTOWAUNGA MKONO hao wanaowapa jeuri ya kupiga na kuwapa vilema ndugu zetu!! Tukaamua kudai reforms na sio kwenda kushiriki chaguzi zao ambazo tumekuwa tukipigwa na kuuliwa kama hivo, kwenye chaguzi zao (RIP MAWAZO💔) Sasa nikikuona unaguswa na kuumizwa na haya matendo, then kesho nakuona uko na hao wenye mamlaka wanaowapandisha vyeo wauaji, unawashangilia na kuwapigia kampeni waendelee kuongoza, huku ukituambia Oktoba tukatiki na kuwapa kura!! WEWE NA HAWA WAUAJI MNA TOFAUTI GANI? Leo mnaumia, kesho tutawaona majukwaani mnawashangilia!! Kufanya hivyo ni kuzidi kuwahalalisha kuwa wako sahihi!! Waadhibuni kwa kuwakataa!! KATAA WAHUNI WATAMALIZA FAMILIA ZETU!!
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Filipino
73
450
1.8K
63.3K
SirEagle🦅
SirEagle🦅@sireagle_5Bpluz·
@Roma_Mkatoliki Broh Nina sawali kidogo Kwanini Changamoto kama vile kama hizi Zikitokea kwa wafuasi wa CHADEMA, wanachadema wanaziita ni CHANGAMOTO ZA WANANCHI/UMMA ILA Zikitokea kwa wafuasi wa vyama vingne like ACT, CCM, CHAUMMA Chadema hawaoni kama za WANANCHI/ UMMA?
Indonesia
17
0
17
3.3K