Sabitlenmiş Tweet
Johnny tyga
14.6K posts


@EngMapundajr @Labella_Mafia95 Unatuma cm used za Dubai mzee tafuta pesa 😀

@Labella_Mafia95 Hizi zinazimikaga zenyewe hamna simu hapi
Indonesia

@kabigwa_78 @Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 Ni uwanja wa tim ya Tottenham ndo unaitwa Tottenham Hotspur stadium
Indonesia

Jana,
Chris Brown alikuwa na Show yake (Chrisbrown Bowl)
Huko London kwenye uwanja wa Tottenham Hotspar.
Ambapo alimwalika Davido kama guest perfomer kwenye show hiyo,
Diamond pia alikuwepo na kutazama perfomance yote then alipata chance ya kukutana na Davido,
Behind the stage.
Angalia ilivyokuwa...
Video kwa Comments 👇

Filipino

@siadevinci Banker buster bomb unalijua ww linaingia fut 200 deep mzee
English

@Rydx_017 @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @athanas_pius Hii video nilivyoiona mara ya kwanza nilijua tu kuna watu wakubwa watakao msaidia ina gusa nyoyo sana
Indonesia

@MarwaMonata96 @Rydx_017 @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @athanas_pius Unamambo ya kiboya sana ww😅😅
Filipino

@Rydx_017 @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @athanas_pius Nawashauri na wadada muwe na moyo kama wa huyu dogo sio mtu unaambiwa unazungushaa zungusha mambo😂
Filipino

GWAJIMA must be an IDIOT !! (Sorry ndugu zangu mnaosali kwake)… ila ukweli lazima usemwe, na pengine ndo mmoja wa “Manabii wa uongo”ambao Biblia ilitabiri ujio wao.
Serena Hotel hii hii iliyojengwa karibu na Nyumba ya Sanaa, ikiitwa SHERATON, MTU BAKI apite na silaha Main Entrance (kwenye metal detector) alafu apewe taarifa za chumba cha mgeni, na akamgongee Mlango?
We baba hebu muogope Mungu…
Tunajua ulipewa Ubunge na Msukuma mwenzako (maana sio kwa sera zile za kudanganya watu wa Kawe utawapeleka Birmingham, Alabama) so unaleta uchawa sasa nona to seek favors.
Kaa kimya kama wengine (tutajua upande wako) ila usije na vi press vya kijinga vya damage control, thinking we are all idiots like you.

Indonesia


🎬🎬Song of the Sea (2014)
is a breathtaking animated film by Tomm Moore, known for its hand-drawn artistry and deep connection to Irish folklore. The story follows Ben, a young boy, and his mute sister, Saoirse, who is revealed to be a selkie—a mythical creature that can transform between human and seal. As they embark on a magical journey to save the spirit world, the film explores themes of grief, love, and family. With its stunning visuals, hauntingly beautiful music, and heartfelt storytelling, Song of the Sea is a poignant and visually mesmerizing experience.😍😍
English
























