MAYAI POINT

20 posts

MAYAI POINT banner
MAYAI POINT

MAYAI POINT

@JonizeC52246

WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA MAYAI YA KIENYEJI NA YA KISASAKWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA

Mbezi luis Dar es salaam Katılım Kasım 2024
54 Takip Edilen0 Takipçiler
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@ByCardoJason Kaka vip Ile project ya odds 2 kila siku tuanze sasa ndo February iyo Isha anza tayari
Filipino
0
0
0
59
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Siku yaja mitaa itakula na kusaza. Kama ilivyokuwa kwa Marko 6:41-44🧘🏿‍♂️ Sportybet🇹🇿; 6TELYQ -Odds 151💥 51VCY4 -Odds 320🍀
BAD NUMBER🥷🏿 tweet mediaBAD NUMBER🥷🏿 tweet media
Indonesia
6
32
112
9.8K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Booooom, Tugawane mtaji kidgo drop number apo Whatsap nkuunge group 0789146565
Real Nigger tweet media
Filipino
30
5
58
4.3K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@TheRealJongwe Mweshimiwa pole pole kasha malizo kwa ivo hata msemaje hamuwezi badili kituu imeisha
Indonesia
0
0
0
182
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Taarifa za nyinyi Tume kutumika na chama tawala kuiba na kuvuruga uchaguzi sio UVUMI, ni FACTS ambazo zilishapata kuthibitishwa mara kadhaa na Makada wa CCM akiwemo Nape na sasa Balozi Polepole kamaliza kabisa with DETAILS… NB: Acheni huu udwanzi mnaua hili Taifa! #NRNE
Joseph Mbilinyi tweet media
87
257
1.4K
55.7K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Mwanamitindo na Mtangazaji, Ney Paul ameshauri Vijana kufikiria kabla ya 'kuposti' kauli za Chuki Mtandaoni kwa kujiuliza kama wanajenga au wanabomoa wangejisikiaje iwapo Mtu mwingine angetumia kauli hiyo kwao. Amesema “Epuka jazba, Usijibu kwa hasira Chukua muda kupumua na kufikiri kabla ya kujibu maoni au jumbe zinazokukasirisha”. Aidha, amesema Mitandao imebeba fursa nyingi na fedha nyingi, hivyo ni vizuri kama Vijana wataamua kuitumia vizuri. #JamiiForums #JamiiAfrica #HumanRights #KauliZaChuki #StopHateSpeech #DigitalPeace #NoToHateSpeech #ResponsiblePosting #JamiiYenyeUelewa
Jamii Forums tweet media
Indonesia
15
1
29
8.7K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@HecheJohn Of coz hawa TCRA wa shenzi wanazima Network kisa ccm inasemwa kwani ccm ni nini yani upuuzi huu
Indonesia
0
0
0
84
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hii Nchi inahitaji Uhuru na ukombozi wa haraka sana. Inawezekanaje mtandao unavurugwa. Maisha, biashara za watu zinaharibiwa kwasababu ya ujinga na hakuna mtu wa kujibu au kuwajibishwa? TRA mtakusanya kodi kwenye biashara za mitandao ambayo haiko reliable mtu mmoja au wawili kwa mapenzi yao wanaweza kuvuruga mtandao wa watu millioni 65!!!! Shame.
Indonesia
47
275
1.5K
44.3K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@HecheJohn Nchi hii ccm wanastahili kushtakiwa wezi wakubwa
Indonesia
1
0
0
240
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Alichokisema Polepole aliewahi kuwa mjumbe wa cc ya ccm. Kiongozi wa juu kabisa katika ccm na serikali hakiwezi kupuuzwa. Tume ya Taifa ya uchaguzi ni tawi la ccm haiwezi kusimamia uchaguzi huru katika Nchi hii. Msimamo wa chama chetu ni sahihi na Watanzania tusikubali tena uhuni kwenye uchaguzi. #NoReformsNoElection
Indonesia
123
568
2.3K
50.4K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@HildaNewton21 Ccm wezi watu wakiambiwa wanakaza fuvu ujue ccm mataira kabisa
Indonesia
0
0
1
238
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Mfumo wa data za uchaguzi umeunganishwa na Mfumo wa NIDA na mfumo huo umeunganishwa na mfumo wa CCM”-; Balozi Polepole
Hilda Newton tweet media
80
316
3.1K
107.9K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@IAMartin_ Kwanza inchi hii rostam aziz ni nani fisadi la ccm wanaishi na fisadi kwanza mtu mwenyewe sio mtanzania
Indonesia
0
0
1
251
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
"Kwenye makaa ya mawe kampuni moja kutoka Australia – Intra Energy Tanzania Limited (IETL) wakimiliki 70% ndiyo ilikuwa mbia wa Serikali kupitia National Development Corporation (NDC) wakimiliki 30%. IETL wamekuwepo tangu 2011 na hivi karibuni wakataka kujitoa. Aliyekuwa mtoa huduma pale mgodini, Rostam Aziz akasema ananunua hisa zilizobaki kwa Sh5 Bilioni. Serikali ikasema hapana kwa ndiyo walikuwa na right of first refusal (ROFR). Wakati pesa inatafutwa ili Serikali kununua hisa za mwekezaji na kumiliki mgodi wa makaa ya mawe (Ngaka Coal Mine) kwa 100%. Simu moja ilipigwa kutoka juu. Pesa zikarudishwa Serikalini. Hivi tunavyozungumza Rostam Aziz ndiye mmiliki wa mgodi huo wa makaa ya mawe. Mkaangalie pale Fair Competition Commission (FCC) kama mnunuzi wa zile hisa 70% za IETL (kampuni ya Rostam Aziz, Mirambo Mining) imelipa hata kodi. Nchi yetu inabagazwa sana" – Balozi Humphrey Polepole
Indonesia
57
309
1.5K
48.7K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@HildaNewton21 Mkata switch jamani kajipanga afu awa wakata switch wanaingizia taifa hasara awa kwa sababu ya uupuuzi wao
Indonesia
0
0
1
423
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo kosa vyote ila sio bundle na uhakikishe simu yako iko na chaji ya kutosha. Balozi Polepole kasema kitanuka!…
Hilda Newton tweet media
92
191
2.2K
77.2K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@Sativa255 sasa kazi ya vyombo vya dora ni nini wao kutwa kuwinda chadema tuu ndo kazi yao lakin mambo kama hayo hawayaoni unashangaa sana hii inchi hii
Indonesia
0
0
0
8
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hawa ndio wenye NCHI. Gari mbili tofauti plate number MOJA. Tunaishi kama kuku aliekatwa KICHWA. Ni kama nchi imeenda LIKIZO. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
45
74
533
23.9K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@JamiiForums Mshenziii uyu mwasheria wa nyakooo uyu ndo alisamama wakati bandari zetu zinauzwa lione
Indonesia
0
0
0
39
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DODOMA: Akizungumza Agosti 18, 2025 kwenye Baraza la Wafanyakazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari ametoa onyo kwa Watumishi wanaovujisha siri za Serikali, akibainisha kuwa ofisi yake itawafuatilia kwa ukaribu na kuchukua hatua za kinidhamu kwani ni kinyume na miongozo, Kanuni na Sheria za nchi, pia kufanya hivyo ni sawa na kujipiga risasi mwenyewe. Pia, alieleza kusikitishwa na uwepo wa Mawakili wa Serikali wenye tabia za uongo, akisema jambo hilo linaweza kuipunguzia heshima taaluma ya Sheria na kuichafua taswira ya Serikali mbele ya umma. Soma zaidi jamii.app/MwanasheriaSer… #JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji
Indonesia
41
9
92
7.8K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@JamiiForums Hawa nao machawa tuu elimu hawana kazi kupiga kelele tuu apa ety maendeleo upuuzi huu upuuzi huu chawa kama chawa wewe
Indonesia
0
0
0
6
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR: Imam wa Msikiti wa Manyema, Sheikh Hameed Jongo akizungumza wakati wa kutoa hotuba ya Ijumaa Agosti 15, 2025 amesema kuwa Rais Samia anatenda haki na kufanya vizuri katika uongozi wake ndiyo maana wafanyabiashara wamechangia kikubwa walichochangia. Ameongeza kuwa kuna Wanawake wana uwezo wa kuongoza kuliko wanaume, uongozi uliopita tumeona jinsi wanaume walivyoongoza, awamu hii ya sita Rais Samia anaongoza 'Fantastic'. Soma zaidi jamii.app/HarambeeCCMAma… #JamiiForums #JamiiAfrica #JFSiasa #UchaguziMkuu2025
Indonesia
160
15
110
20.6K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@JamiiForums Yani msajili wa vyama kazi yake yeye ni kuwinda chadema tuu yani yeye ndo kazi yake hiyo haf na yy anajiona ana akili upuuzi kabisa huu
Indonesia
0
0
0
244
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DODOMA: Mahakama Kuu inatarajiwa kutoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na Chama Cha Mapinduzi (#CCM) dhidi ya Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, ambaye anapinga uhalali wa mchakato uliompitisha Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwania urais kupitia Chama hicho. Mawakili wa CCM, Fabian Donates na Alex Mgongolwa, leo Agosti 19,2025 wamewasilisha mapingamizi wakidai hatua za kufungua shauri hilo hazikufuatwa, huku wakisisitiza mlalamikaji alipaswa kuandika barua kwa Katibu Mkuu badala ya mwenyekiti wa Chama. Aidha, wakili wa mlalamikaji, Denis Maringo, amesema taratibu zilizingatiwa kwani Februari, 2025, Dkt. Malisa alimwandikia barua Rais Samia akilalamikia uteuzi wake, ambapo baada ya hoja za pande zote kusikilizwa, Kesi hiyo imeahirishwa hadi Agosti 22, 2025. Soma jamii.app/MalisaNaCCM #JamiiAfrica #JamiiForums #Siasa #Demokrasia #UchaguziMkuu2025 #Governance
Jamii Forums tweet media
Indonesia
21
39
364
26.9K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@JamiiForums Ni ngumu ka Dr malisa kusikilizwa hapa lakin mkiona ngoma inavuma sana ndivyo inavyo karibia kupasuka ni swala la muda
Indonesia
0
0
0
242
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@eastafricatv Sudani kuna vita kwa ivo ligi ya sudani ilisimama sasa baadhi ya timu zika amua kutafuta ligi ndo sasa wakapata mauritania
Indonesia
0
0
0
14
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#MICHEZO: Klabu ya Al Merriekh kutoka nchini Sudan, imemfuta kazi kocha wao raia wa Italia, Giovanni Solinas kutokana na mwenendo mbovu wa matokeo. Timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Mauritania wanashika nafasi ya 6 katika msimamo wakiwa na alama 18, wakishinda michezo 5, sare 3 na kupoteza michezo 3 baada ya michezo 11. #Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
4
3
71
6.6K