Sabitlenmiş Tweet
Uncle JayJay
2.6K posts

Uncle JayJay
@JumaJingi
Director -Ets Tech @etstechtz || Accounting Packages Expert(Tally Prime,Quickbooks) | IT Expert | Cctv & Electricfence & Gate Motors & Phone Intercomm | Baller
Dodoma, Tanzania Katılım Temmuz 2017
132 Takip Edilen225 Takipçiler

@PilatoMweusi @EsirEid Ni Mtihani sana ila kama alivyosema @DoneSome18 Kila mtu ana ulevi wake...tujitahidi tufanye kwa ustaarabu na kwa kiasi...wanywa pombe Wanywe kwa kiasi..hvyo hvyo kwa wanaopenda wanawake...watu wa mziki,Kila sehemu...Too much is Harmful Always
Indonesia

@PilatoMweusi @EsirEid Ni vita Kali sio vita ya kina sativa na jamaa zake tu....Ina mizizi ya kutosha
Indonesia

#TajiriLakihaya
Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa!
Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho…
Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo,
ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana.
Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi.
Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha.
Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike?
Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara.
Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔
Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk.
Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu.
Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole.
Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari.
Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza.
KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja.
Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha.
Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati.
Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi.
Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari!
waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea.
Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari.
Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting.
Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯
Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯
Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia
Uncle JayJay retweetledi

Suala la kwamba waandamanaji katika maandamano ya Oktoba 29, 2025 walikuwa wamebeba silaha mbalimbali zikiwepo bunduki hadi sasa bado linanikata sana. Raia wakamuua nani kwa risasi? Raia wenzao? Askari?
Kama ni askari, misiba yao ilifanyika wapi? Askari hawakuagwa kwa itifaki? Haiingii akilini kwamba askari wapoteze maisha kisha wazikwe kama watu wasio na ndugu wala heshima ya taaisisi. Hii haiwezekani.
Anyways, katika ripoti yenu mnasema watu 581 ndiyo waliuwawa. Tukubaliane na takwimu zenu. Hao watu 581 majina yao yapo wapi? Picha zao zipo wapi? Kama hazipo ni, giza la makusudi (strategic ambiguity)
Kama vifo 197 vimetokana na kupigwa risasi, vifo 384 vilivyobaki katika jumla ya idadi ya 581 vimetokana na nini? Waliuwawa katika maandamano au katika makazi yao? Waliuwawa na nani na kwa sababu gani?
Unapotaja namba tu kwamba “watu 581” bila kutoa jina la Juma, Maria, au Khamis, unakuwa umewanyang'anya utu wao kwa mara ya pili. Walinyang'anywa haki ya kuishi. Wananyang'anywa haki ya kukumbukwa.
Kukiwa na majina, kutakuwa na vyeti vya vifo. Kukiwa na vyeti vya vifo, kutakuwa na sababu za kifo zilizothibitishwa rasmi na madaktari. Kukiwa na picha, kutakuwa na mashahidi wa vifo hivyo. Ndiyo.
Kukosekana kwa majina ya watu waliouwawa katika ripoti hakumaanishi majina hayo hayapo. Yapo mioyoni mwa wajane, kwenye kuta za nyumba walizoishi, na yapo kwenye kumbukumbu za majirani zao.
Je, waliotoa amri na waliotekeleza mauaji, hakuna kuwajibika? Mambo ya uwazi (transparency) na uwajibikaji (accountability) siyo mambo yenu? Mnyororo wa amri (chain of command) upo wazi.
Kukosekana kwa uwajibikaji wa moja kwa moja ni kualika ukatili mwingine mkubwa siku za usoni. Au ndiyo tufunike kombe, mwanaharamu apite? Uwazi (transparency) siyo hisani; ni haki ya msingi ya raia
Bila orodha hiyo, ripoti yoyote itabaki kuwa karatasi tu iliyolowa damu isiyo na mwenyewe.


Indonesia

Hivi kuna watu huwa wana harufu kali ya jasho hata akitumia perfume/spray? Yani anakuwa amevaa vizuri au ni mrembo na ananukia fresh ila harufu ya kwapa haiishi?
Siku ya Simba na Yanga nmekutana na demu wa namna hiyo sijui....?
Demu kaja geto amevua nguo ile sasa tunaanza Romance si nikajifanya kunyonya ziwa, mzeee nlikutana na harufu kali kwenye kwapa (pale pale nikaanza ku-overthink)
Nahisi ile harufu ilini-traumatize kmmk uume ulikuwa umesimama vizuri ila nlivyovaa tu kondomu nikataka kuingiza hivi.. uume ukalala yani ukanywea kabisa.
Na tangu ila juzi ilivyolala sikusimamisha tena mpaka leo hii ndo nmeona imesimama asubuhi ya leo.
Sasa najiuliza shida ilikuwa ni ile harufu au ni nini? Maana nlijikuta tu hamu imekata nikamwambia "sina hisia uume umelala" mzeee, kanichukia mpaka saivi lakini kwa ile harufu sidhani kama nitarudia.
Filipino

@massuidentity Ishanitokea Salendar,nilifika kama saa 2 Usiku kwenye Kituo cha daladala,akaja Jamaa sikumuelewa katokea wapi,wakati Bado namcheki zikatokea njemba mbili kutoka kule baharini zinanifuata nilivuka barabara mbio bila kujua huku Magari yanatembea,nageuka hv wakawa wanamlaumu mwenzao
Indonesia

@Sativa255 Sema hii move yenu imegawa sana vijana na ingekuwa vizuri mngeiacha ipite....ya madenge ilianza hv hv
Indonesia

MAMA YENU MZIMA KWELI HUYO?!
Unakuja kutuambia unaunda Tume kuchunguza, alafu mnakuja kwetu tena kukabidhiana matokeo, huku mkijipigia makofi, alafu Unatukoromea “HII NI RIPOTI YANGU”… ?!
Sasa kama ni ripoti yako, sisi mnatuhusisha nayo ya nini? Kwanini mfanye broadcast kwenye public media? Si mngepeana kimya kimya? Kwanini Tume inakuja kujieleza kwenye press conference? Kwanini mnalazimisha tukubaliane nayo?
I tell you what, YOU ARE RIGHT… RIPOTI NI YAKO!! Sio Ripoti ya WANANCHI, Sio Ripoti ya UKWELI, Sio Ripoti ya UWAZI, Sio Ripoti ya UHALISIA, Sio Ripoti HURU na Sio Ripoti ya HAKI.
Kulikuwa hamna haja ya kutukumbusha kuwa Ripoti ni yako, maana tulifahamu toka mwanzo na hakuna mtu alikuwa na shida na Ripoti Uchwara!! Ila Ukitumia Fedha za wananchi (walipa kodi) lazima rekodi ziwe public ili tuhoji matumizi ya rasilimali zetu.
NDIO, Ripoti ni yako sababu; Umeiunda Tume wewe, kuweka wajumbe wewe (hadi ambao wana “conflict of interest”), kuipa hadidu za rejea zako (sio za Wananchi wala za kujua Ukweli na Uhalisia), kwa malengo ya kujisafisha na kujiengua kwenye Tuhuma (ingawa iko wazi ni muhusika mkuu), na pia kwa lengo la kutaka kuwaangushia jumba bovu wasio na hatia.
THERE IS NO REPORT THAT CAN CLEANSE & SANITIZE THE ATROCITIES YOU HAVE COMMITTED, CAUSE THERE IS NO SANE, RATIONAL & LOGICAL HUMAN BEING THAT CAN BUY THE BULLSHIT YOU ARE TRYING TO SELL.
Kaa na Ripoti Yako, Sisi tunataka A FREE, TRANSPARENT, UNBIASED INTERNATIONAL COMMISSION OF INQUIRY… Until then, MTAJUTA KUTUSOMESHA.
The Leader

Indonesia

@Wakazi Mwalimu yupo sawa,kusoma kiingereza kama somo ni tofauti na kujifunza kiingereza kama lugha,sisi tulikuwa tunasoma kiingereza kama somo tukitoka shule hamna pa kuendelea kutumia lugha hiyo,ila mtu ukijifunza lugha while upo surrounded na watu au mazingira ya lugha hiyo ni rahisi
Filipino

I disagree kaka!
Tumefundishwa lugha hatua kwa hatua.
Chekechea tulijifunza ABCD, A for Apple! Na kuimba English songs.
Primary la 1-3, tulijifunza ABCD kwa kiswahili, na kuanza ku conjugate words, na kusoma story kiswahili
Primary la 4-7 tukaanza kujifunza masomo (Math, Science, Civics) kwa kiswahili, na English ikiwa ni Somo.
Secondary Form 1-2, ni introduction ya Masomo kwa English, na still English ikiendelea kuwa Somo as well as Kiswahili.
Secondary Form 3-4, unaanza kuchagua masomo yanayo ku-interest, ila bado English na Kiswahili ni mandatory as Somo.
High School 5-6, unasoma yale tu uliyochagua, na yanafundishwa in depth kwa English. Na combination za Arts, English ni Principle Subject!!
LABDA USEME METHODS ZA KUFUNDISHWA ZINA FLAWS ILA SIO KAMA HATUKUFUNDISHWA. (We focused kukariri badala ya kuelewa, na kuto emphasize practicality)
Vitu vingine ni Uzembe tu. Mimi nimesoma Loyola ambapo baadhi ya Walimu walikuwa Americans & Canadians. Wanakuja from US in 3 months wanaongea kiswahili fluently na ni watu wazima. Sisi tumekuwa introduced to English toka Vidudu na tunasuasua? Huwezi kutetea…
Richard Mabala@MabalaMakengeza
@GilbertPaul095 Wangefundishwq kiingereza kama somo hatuankwa hatua badala ya kupachikiwa kama lugha ya kufundishia wangekuwa na kiingereza kizuri zaidi Tstizo ni sera yetu ya lugha
Filipino

Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema suala la upoteaji wa Watu linaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za Kijamii zinazolikumba Taifa pamoja na Dunia kwa ujumla akisisitiza kuwa uzito wa tatizo hilo ndiyo sababu limepewa kipaumbele maalum katika uchunguzi wa Tume hiyo.
Jaji Chande ameeleza kuwa takwimu za Kimataifa zinaonesha ukubwa wa tatizo hilo ambapo mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani umebainisha kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024 zaidi ya Watu 284,000 wameripotiwa kupotea Duniani kote hali inayodhihirisha kuwa suala hilo si la Nchi moja pekee bali ni la Kimataifa
Aidha, ameongeza kuwa hata katika Nchi zilizoendelea Barani Ulaya pamoja na Marekani bado matukio ya Watu kupotea yanaendelea kuripotiwa akitaja mifano ya Nchi kama Ubelgiji na Uholanzi, huku akibainisha kuwa sababu za upoteaji hutofautiana kulingana na mazingira ya kila Nchi jambo linalohitaji uchambuzi wa kina kabla ya kufikia hitimisho.
Akizungumza Aprili 28, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), Jaji Chande amesema "suala la upoteaji linatukera sana, ndiyo maana tumeweka kama moja ya vyanzo vya masuala ya Kijamii, pia ni changamoto Duniani kote, Mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani unasema kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024, zaidi ya watu 284,000 waliripotiwa kupotea Duniani, hata Ulaya, Watu wanapotea, Ubelgiji, Marekani, Uholanzi na Nchi nyingin, sababu zinatofautiana, hivyo kila Nchi ina vyanzo vyake, kuna viashiria takribani 74 vya aina ya Watu wanaopotea Duniani, hivyo ukitaka kuelewa kwa undani lazima ubainishe chanzo cha kila tukio.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@spana_Konki Jaji chande anasema huenda ni wivu wa mapenzi umemuondoa
Italiano





















