The Real Infidel.

9.6K posts

The Real Infidel. banner
The Real Infidel.

The Real Infidel.

@Jumakitto1

You get people and the Government ,Everybody taking different sides. Show that we ain't gonna stand shit, Show that we are United.

Kajiado, Kenya Katılım Ekim 2015
1.4K Takip Edilen416 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
The Real Infidel.
The Real Infidel.@Jumakitto1·
MBEYA! TUNAPATIKANA KABWE BLOCK-T OPPOSITE NA MAHABUSU YA WATOTO PEMBENI YA LOSICA. CONTACTS: 0656-941-361.
The Real Infidel. tweet mediaThe Real Infidel. tweet mediaThe Real Infidel. tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
1
6
12
997
The Real Infidel.
The Real Infidel.@Jumakitto1·
The Good Thing ni KAMARI ni Biashara ya Maagano.( Dhurkalnain)
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
1
26
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Mshindi wa Tuzo ya Grammy “Tayla” anasema kipindi anajitafuta aliwahi kumtumia Meseji (DM) instagram Msanii Mwenzake Nasty C” akimuomba kolabo Nasty alimjibu ampatie kiasi cha Dola $300K ambayo ni sawa na Shilingi Milioni 750 za kitanzania Tayla akamjibu yeye bado hajafikia ukubwa huo kaka wakina Rihanna au Nick Minaj kumpa hiyo hela Tayla anasema baada ya kumjibu vile Nasty alim Block Tayla Instagram Mpaka leo.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
21
3
154
27.2K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Tayari uyo sakafu imemtosha😅. Na ndo kwanza ni mwaka tu anataka mazungumzo huyu akipigwa mwaka tena mmoja atautambua hadi Uchaguzi😅
Indonesia
30
18
59
6.2K
Naoki
Naoki@LfcNaokii·
🚨Micah Richards on Liverpool selling Luis Díaz to keep Cody Gakpo: 🗣️ Micah: “Big man, listen to me! We have to be real about this., I can’t wrap my head around that decision. Selling Luis Díaz to keep Gakpo? That’s not just a footballing mistake—that’s a bad life decision, if we can put it that way. It’s ridiculous.” “You’re watching Díaz now at Bayern Munich, tearing it up on the biggest stage, electrifying performance, scoring against Real Madrid… and you’re thinking—how did Liverpool let that go?” “He’s a game-changer, a player who brings chaos, energy, and moments of magic. Liverpool didn’t just lose a player… they lost a gem. Absolute gem” #lfc
Naoki tweet mediaNaoki tweet media
English
153
725
9.1K
443.1K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Chadema pokeeni huu mchango wangu ambao umetokana na pesa ambazo Watanzania wananipa kupitia subscription za Mange Kimambi App na subscription za account ya Instagram ambayo imefungwa ( ni maajabu account imefungwa ila bado wananikusanyia mapato kila mwezi na kunitumia). Hizi pesa mmpewa na Watanzania sio na Mange Kimambi maana bila Watanzania hii pesa nisingekuwa nayo. Ahsanteni sana Watanzania kwa kuendelea kulipia subscription za Mange Kimambi app, although sijaweka habari zaidi ya miezi 9 sasa. Na pia Ahsanteni ambao hamja cancel subscription za page yangu ya instagram iliyofungwa (@mangekimambi80) nawaomba msicancel. Watanzania, Chadema hawatoweza kutusaidia kudai haki kama hawana pesa yoyote. Ni lazma sisi wananchi tuwachangie. Kama jinsi mlivyojiunga kwenye subscribption za Mange Kimambi app naomba mjiunge na subscription za Chadema. Imagine Kama Watanzania laki 2 tu mkijiunga subscription ya elfu 3 tu kwa mwezi, hiyo ni milioni 600 kila mwezi kwa Chadema. Pia bila pesa hakuna movement ya maana Chadema wataweza kufanya. Wauwaji wanakodi zetu wanazitumia kushikilia nchi bila ridhaa yetu. Ni lazma tuwawezeshe Chadema.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Godbless E.J. Lema@godbless_lema

Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.

Filipino
128
499
2.4K
160.3K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary @LarryMadowo, my Kenyan brother. We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Meta’s removal of my accounts. It was a deeply engaging and productive evening. It was a true honor to meet in person a journalist who works without fear, using his voice to speak for those who cannot.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet mediaMange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
English
135
672
4.8K
154.8K
The Real Infidel. retweetledi
Xic☠️57
Xic☠️57@Xicboy57·
OMG, father and daughter took my whole wkend watching this video
English
525
4.6K
29.4K
1.3M
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano. Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu. BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki . Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels. 1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar? 2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini. Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu? 3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei? 4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu. 5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje? Sisi tunasema: 1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini. 2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi. 3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini. Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda.. Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.
Indonesia
73
586
2.1K
68.4K
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Maisha Yako Hayatabaki Kuwa Yaleyale Baada Ya Kukamilisha Changamoto Hizi 7 Za Kujifanyia pPeke Yako: 1. Acha kutumia sukari kwa muda wa siku 30. Acha chocolate, acha soda. acha sukari iliyofichwa.. au energy drink. Baada ya siku ya 20, ngozi yako, nguvu yako na uwazo wa fikra vitaanza kubadilika. Utatambua kuwa sukari ndiyo iliyokuwa inadhibiti hali yako ya hisia muda wote. 2. Tumia kanuni ya lita 3 za maji kwa kila siku. Kunywa lita 3 za maji kila siku. Watu wengi wana upungufu wa maji mwilini lakini wanadhani ni wasiwasi. Ubongo wako kwa kiasi kikubwa ni maji, yatunze ipasavyo. 3. Achana skrini baada ya saa 4 usiku kwa siku 14 tu. Weka simu chini. Hakuna video fupi. Hakuna ujumbe. Akili yako hatimaye itapata mapumziko ambayo imekuwa ikiomba kwa muda mrefu. 4. Kutafakari kila siku kwa siku 21. Dakika 10 tu. Kaa. Pumua. Tulia. Msongamano wa mawazo unaohisi ndiyo sababu hasa unahitaji kufanya hili. Meditate. 5. Jizoeshe kuoga maji ya baridi kwa siku 30. Malizia kila kuoga kwa sekunde 60 za maji baridi. Hii inafundisha akili yako kubaki katika udhibiti hata kwenye hali ngumu. 6. Kutoweka kwa saa 3. Mara moja kwa wiki, jitenganishe kwa saa 3. Hakuna simu. Hakuna watu. Ni wewe tu. Hapa ndipo uwazi wa mawazo huanza. Kaa peke yako ujitafakazi. 7. Kuandika kumbukumbu kwa siku 30 (Journaling) Kila usiku, andika ulichofanya, kilichokuchosha, na utakachofanya tofauti. Utagundua mifumo ambayo watu wengi huchukua miaka mingi kuielewa. Ongeza Nyingine👇
Indonesia
7
29
140
9.5K
The Real Infidel. retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Mwaka mmoja jela, aliyekutupa jela sasa ni mhalifu wa kimataifa; amejiweka mbali na wananchi. Mwaka mmoja jela, ilitarajiwa tufarakane na tupoteane; lakini tumeimarika maradufu. Mwaka mmoja jela, umepukutisha wapinzani unde; tumevuna imani ya umma. MUNGU NI MWEMA🙏🏽
Tito Magoti tweet media
Indonesia
19
318
1.1K
6.8K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Ni Marekani ya wapi lita ya mafuta inauzwa dola elfu nane? Hivi huyu ni mjinga kiwango gani?
Tito Magoti tweet media
Indonesia
51
85
704
9.5K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Tulieni Tanzania MAFUTA bei ipo chini huko Europ mafuta ni Euro 6000 marekani Dollar elfu 8, humu hamna MTU.
Indonesia
151
150
938
32.1K
The Real Infidel. retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA 1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka. 2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK) Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu. 3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo. 4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo. 5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING) Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…). Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja. 6. KAMA HUPATI USINGIZI Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa). Ubongo huingia katika hali ya usingizi. 7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu. Husaidia kufungua njia ya hewa. 8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu. Ongeza Nyingine Tujifunze 👇
Indonesia
11
118
301
21.7K
The Real Infidel. retweetledi
Klay
Klay@UtdKlay·
🚨Kanye West on styling Vincent Kompany: 🗣️Ye: “Kompany’s team reached out to me before the Real Madrid game… they said, ‘Ye, we need something iconic. Not just manager drip… we need legacy drip. I knew I wasn't going to put him in some basic suit from a catalogue.” "They told me, 'Ye, in 25 years, many have tried, but nobody has succeeded to win at the Bernabeu.' They called it a curse. I told them it was just bad armor; you can’t break a generational hex in basic gear.” “I had to elevate him to a new frequency. I styled him in that oversized structural armor. That olive piece isn’t just a jacket, it commands authority. The Y-3 logo on the cap? That’s Yamamoto’s energy. And those black trousers—voluminous, architectural & heavy with intention.” “When he walked out of that tunnel with that fit, the very air in the stadium shifted. The players felt that energy. That's the magic of the fit. It literally unlocked the matrix of the stadium.” "People think football is 4-3-3… but style? Style is Ye-3-3.” “And the proof? You can see it in the scoreline… 2-1. That’s not just a win. That’s Ye’s fashion influencing football." 💣
Klay tweet mediaKlay tweet media
English
70
319
3.6K
482.4K
kijana jasiri
kijana jasiri@kijanajasiri123·
@Sir__adonis Sasa wewe degree haikupi hela alafu unasomesha mdogo wako kwanini usimfundishe forex?
Filipino
15
4
47
3K
Shivo📈
Shivo📈@Sir__adonis·
Degree ina miaka Sita ndani haijawai nipa ata mia mbovu leo msenge unskuja ponda forex inayolipia ada mdgo wangu chuo na mimi ili push nikiwa chuo 3year ,we quma nini ,nililazwa Jakaya 2023 clinik 1year na download pesa kwa deriv sina bima mamae😂 unakuja leta usenge 🚮
Indonesia
25
23
300
16.7K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Tangu uteuzi wa Angela Kiziga shemasi Kigogo amekuwa mkali sana😂
Indonesia
27
21
493
26.2K