Juvenary J Mbungi

2.3K posts

Juvenary J Mbungi banner
Juvenary J Mbungi

Juvenary J Mbungi

@JuvenaryJM

Tourism industry

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2013
4.1K Takip Edilen1K Takipçiler
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@abuu_efendi @PolycarpMDM Nyumbani kupi?! Waje kukatwa vichwa na kutekwa?! Pambanieni uhakika wa HAKI ya kuishi nchini mwenu kabla hamjaanza kuita watu warudi ambako wanatakuja kukatwa vichwa/kutekwa na hakuna anayejali.!
Indonesia
0
0
0
5
dingi 0705
dingi 0705@abuu_efendi·
@PolycarpMDM Ndugu zetu kwa hali ya sasa naona ni vyema wote mrejee nyumbani
Indonesia
1
0
1
160
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
ASUBUHI YA LEO, MTANZANIA MWINGINE KAPOTEZA MAISHA SOUTH AFRICA. Anaitwa Ally Zidane (Pichani) Ndugu yetu Ally Zidane ameuawa na raia wa South Africa kwa kupigwa risasi. Inasemekana bwana Ally Zidane amepigwa risasi 8 katika mji wa Port Elizabeth South Africa leo, Tarehe 3/5/2026 siku ya Jumapili Hii sio taarifa nzuri katika jamii yetu ya kitanzania, lakini ndio lishatokea tena hatuna jinsi ya kulipokea kama lilivyo. Ally Zidane Tanzania anatokea Dar es Salam Kinondoni Manyanya. Taarifa hii imetolewa na Mohamed Taibalh Hamza Msangi Tarehe 3/5/2026 Phone number +255763005575
Polycarp The Bibliophile tweet media
HT
19
36
200
20K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@freshtv2023 @PolycarpMDM Waondoke waende wapi?! Warudi huku siyo?! Ambako kila kukicha vijana kwa wazee kwa wazee wanatekwa na kupotezwa?! Na kama haitoshi wameanza kuwakata VICHWA?! si bora kuuliwana watu wa mataifa kuliko kuuliwa na ndugu zako wenyewe?! TANZANIA imekuwa ya OVYO kuliko hata hiyo SA.
Filipino
1
0
1
13
khweraa
khweraa@freshtv2023·
@PolycarpMDM Poleni sana kwa Msiba. Watanzania na wageni wengine ondokeni huko,kabla mambo hayajawa mengi. Hao jamaa wanaonekana hawatatulia
Indonesia
1
0
1
252
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@PolycarpMDM Pole sana kwa ndugu waliopoteza mpendwa wao, NAONA ni BORA kuuliwa na watu baki huko nje ya nchi kuliko KUULIWA na WATANZANIA wenzetu hapa hapa kwetu" Maana hapa kwetu risasi haziumizi tena! Wameona bora waanze kukata watu VICHWA!😭😭
Indonesia
0
0
0
33
Juvenary J Mbungi retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Tone Tone IMERUDI.
English
18
182
916
23.7K
Juvenary J Mbungi retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Ndugu Watanzania wenzangu, Kama mnavyofahamu, mapambano ya kutafuta haki na kuleta mabadiliko ya kweli si rahisi,na yanakuwa magumu zaidi pale rasilimali zinapokuwa haba. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kusimama imara upande wa wananchi wakati wote.Aidha, kufuatia kutoshiriki katika uchaguzi haram, chama hakipokei ruzuku hata shilingi moja. Hali hii inaleta changamoto katika kuendesha shughuli za kila siku za chama na kuendeleza harakati za kidemokrasia. Kwa msingi huo, tunawaomba Watanzania wote muendelee kuwa sehemu ya mapambano haya kwa kuchangia kwa hali na mali. Mchango wako, hata kama ni mdogo, una mchango mkubwa katika kusukuma mbele gurudumu la mabadiliko. Changia sasa kupitia: Namba: 0744 446 969 Jina: CHADEMA HQ Tuchangie kwa pamoja ili kuimarisha harakati za kudai haki, uwajibikaji na mustakabali bora wa taifa letu. Asanteni kwa uzalendo wenu. #ToneToneImerudi #FreeTunduLissu
Brenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
19
143
457
5.8K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@MK47TA @Mwabuk2Boniface Mahakama ingekuwa huru kwenye suala la TUNDU LISU, hata Kesi isingepokelewa " maana ilifunguliwa kwa shinikizo la kisiasa " so kama kesi imepelekwa mahakani kisiasa itaondolewa kwa njia ile ile" Kama kesi ingekuwa na mashiko isingekuwa inapigwa danadana!! Ingeshatolewa hukumu
Indonesia
0
0
2
78
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
@Mwabuk2Boniface Usisahau kumwambia kama Mahakama ni chombo huru na kinaongozwa kwa miongozo ya sheria na haiwezi kumtoa Mtuhumiwa kwa sababu ya shinikizo la kisiasa ama Maridhiano bali kwa Mujibu wa miongozo ya kisheria
Indonesia
7
0
3
1.4K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
NILIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUZUNGUMZA NA Dr Lazarus McCarthy Chakwera . Nilipata nafasi ya Kuonana na Kuzungumza na Mheshimiwa Dr.Lazarus McCarthy Chakwera Muwakilishi wa Katibu Mkuu Commonwealth na kuzungumzia Kiini cha tukio baya kabisa la Mauwaji ya halaiki la Oktoba 29 /2025 na matukio mengine ambata ya kabla na baada ikowemo watu Kutekwa na kupotezwa. Hoja zetu zililenga namna bora ya kupata ufumbuzi kamili kwa msingi wa UKWELI(TRUTH), HAKI (JUSTICE) na Uwajibikaji (ACCOUNTABILITY). BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
60
270
1.2K
30.4K
Granitinho
Granitinho@Granitinho85459·
@JuvenaryJM @Hombyjr1 Wewe upo Zanzbar mwaka wa 19 Mimi huko ndo naishi kabisa na Nimejenga Nyumba 2, Fuoni Jitimai & Tunguu na Sasa natafuta shamba kabisa! Tafuta Hela utauziwa we mTanganyika gan Mjinga mbona wenzio tunamiliki?
Filipino
2
0
0
63
Homby 🇹🇿
Homby 🇹🇿@Hombyjr1·
Watu wa zanzibar wakijitangaza wanasema welcome zanzibar, mtalii kafia Zanzibar media zinasema Tanzania. Muungano wa kuchemsha..😁
Indonesia
33
88
1.1K
35.2K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@Granitinho85459 @Hombyjr1 Mimi nipo Zanzibar mwaka wa 19, I know what am saying kuhusu mambo ya kumiliki ardhi na kujenga Zanzibar..bora uendelee na hizo issue zingine ila kuhusu umiliki wa ardhi Zanzibar ukiwa Mtanganyika , you know nothing.!
Filipino
1
0
0
59
Granitinho
Granitinho@Granitinho85459·
@JuvenaryJM @Hombyjr1 Umeambiwa Znz ni Ardhi ya Muungano! sasa unaongelea ishu za kununua viwanja? Tafuta hela fata wahusika znz utauziwa! Kama waTanganyika hawamiliki Ardhi znz unataka kusema yale Makanisa, Shule na hospital za KKKT & Catholic wamekodi majengo? Samata Ghorofa anaojenga pia kakodi au?
Indonesia
1
0
1
60
Granitinho
Granitinho@Granitinho85459·
@JuvenaryJM @Hombyjr1 Tumia akili kabla hujatweet! Mtalii anapoingia au Kutoka anapitia Uhamiaji ambayo ni Muungano! usiwe unaropoka ! na ndo maana JPM Msukuma ila Kura alipigiwa mpaka na waznz! na JPM alitawala mpaka znz kama Rais wa JMT
Indonesia
1
0
1
107
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@Granitinho85459 @Hombyjr1 Kwamba ardhi ni ya Muungano?! Wewe mgogo/mchaga au msukuma wa kwimba unaweza kwenda ZANZIBAR ukanunua kiwanja na kujenga nyumba kirahisi siyo?!!
Indonesia
1
0
0
96
Granitinho
Granitinho@Granitinho85459·
@Hombyjr1 Utalii sio Muungano! ila Mtalii kafia Zanzbar ambayo ni Ardh ya Muungano mue mnatumia akili
Filipino
2
0
3
1.3K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@EduTalkTz KRISTO ni mmoja tu, wanaweza kumfuata katka mila na desturi/mapokeo tofauti na kusababisha hayo madhehebu uliyoyataja.Ila fundamental principles zinawakutanisha pamoja kwasababu wote ni wafuasi wa KRISTO" Ila kumbuka kuwa mfuasi wa KRISTO pekee hakukufanyi kuwa mtu mwema!
Indonesia
1
0
4
373
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwenye fikra za huyu bwana, pamoja na udokta wake, Waislam Billion 2 duniani, Wahindu Bilion 1.2, Wachina na wengine wote wenye imani tofauti na Ukristo ambao ni zaidi ya billion 6, wote hawatambuliwi na Mungu. Strangely, wanaotambuliwa ni Wakristo tu! Natamani kumuuliza, WAKRISTO WAPI HASWA??🤔 Wakatoliki, Walutheri, Methodist, Wasabato, Waanglikana, Wapentekoste, au wapi haswa???🤔🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
15
2
31
5.6K
Pharm Iddy 💊💉
Pharm Iddy 💊💉@FanuelIddy·
Kuwaondoa hawa inabid uhame hyo nyumba ukiwa uchi hakikisha haubeni chochote ndo unaweza kufanikiwa kuwaondoa😂😂😁
Pharm Iddy 💊💉 tweet media
Indonesia
33
19
129
15K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@cleansheet_1 @PolycarpMDM Niwie radhi kama nimekukwaza ktk response yangu" pengine sijafikisha ujumbe niliokusudia katka mukhutadha ulio tarajia" ila that's what makes people differ from one another! Na huo ndio ubinadaam🙏
Indonesia
0
0
0
13
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
@JuvenaryJM @PolycarpMDM Chakwanza kabisa naomba follow back yako Chapili sijaldhika na namna ulivyojibu hili swal cz nilitarajia kujifunz kitu hapa
Indonesia
1
0
1
10
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
NASA sasa inajiandaa kutekeleza misheni ya Artemis III mwaka 2027, huku ikipanga kutua Mwezini kufikia mwaka 2028, na kisha kuendelea na misheni nyingine mfululizo, zote ikiwa ni sehemu ya juhudi za kujenga uwepo wa kudumu wa binadamu Mwezini kabla ya kuelekea sayari ya Mirihi (Mars).
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
2
2
25
2.2K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@Conspiracist_1 Katika uumbaji,vitabu vya dini havikuandika kwa kina au watafsiri hawakuelewa concepts ya uumbaji" Kweli pasi nashaka ulimwengu na viumbe vyote vimeumbwa, ila "there was a process"ya kupangilia ili vitokee kama vilivyo"ndiyo maana hata mtoto anachukua miez9 tumboni kukamilika!
Indonesia
1
0
1
24
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Huyu jamaa ana support kipi sasa? Big Bang Theory or Special Creation Theory?
Mtoto wa Mungu🤲🏽 tweet media
Filipino
7
6
15
739
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@cleansheet_1 @PolycarpMDM Kama ujui technology imefikia hapo(Ujui kama kuwa unaweza kufanyiwa operation ya kutolewa uvimbe tumboni/kichwani bila kutobolewa tumbo/pasua fuvu kama zamani?!'itakuwa kazi bure kuendelea ku-engage nawewe!. Ila tafuta maarifa utapata na utaelimika. Tunajifunza kila siku.🙏
Indonesia
1
0
0
14
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@Conspiracist_1 Kweli, dini na Sayansi vina misimamo tofauti, ila kuna mahali vinakutana huko mbele ya safari " maana sayansi inatafiti na kudhibitisha ukweli wa mambo jinsi yalivyotokea/fanyika! Huku dini ikisimama kwenye kuamini bila kuishughulisha akili kujua namna mambo yalivyo tokea/fanyika
Filipino
1
0
1
21
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@cleansheet_1 @PolycarpMDM wanakupanga?! Ili wafaidike na nini?! technology imefikia mahali binadamu anafanyiwa operations bila kupasua sehemu yoyote ya mwili wanashindwaje kwenda mwezini?! kuna space stations huko angani na watu wanakaa hata mwaka mzima,inakuwaje ngumu kuongeza maarifa ya kufika mwezini?!
Indonesia
1
0
1
10
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
@PolycarpMDM Nasa ni moja ya taasisi zinazotupanga sana kuliko hata Hollwood....lakin ipo siku watasanukiwa I cant believes kwamba maarifa haya wanayo wao tu
Filipino
1
0
0
121
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@Noedson_tz @kilepi_tweve Kuwaamini na kutowaamini hakuwasaidii wamarekani wala hakuwapungizii chochote, japo in other ways wewe utafaidika na discoveries zao kama unavyofaidika na internet na simu janja inayokupa kiburi cha ku type hapa! Wewe endelea kuamini kuwa ukiguswa bega NYETI zinapotea!
Indonesia
0
0
2
137
NOED.
NOED.@Noedson_tz·
Najua sina influence wala power yoyote kwa planet Earth ila nina uhakika Marekani na taasisi yake ya NASA ni janja janja, waongo waongo. SIWAAMINI.
Filipino
50
35
180
11.5K
Juvenary J Mbungi
Juvenary J Mbungi@JuvenaryJM·
@mwandamizittz Yaani uamini au usiamini unapunguza nini?! Ili siyo jambo la kuamini ni jambo la wazi hivyo hali hitaji uliamini..."wewe endelea kuamini kuwa ukiguswa bega nyeti zinapotea! Ila hili waachie wenye uwezo wa kuona! Kitu kinachoonekana kwa macho hakihitaji kuamini tena"
Indonesia
1
0
1
15
Dickson Henry
Dickson Henry@DicksonHen7900·
@EduTalkTz Labda tutumie mifano rahisi, ukiwa unachunga, unaweza kujua hisia za mnyama kwamba anajiandaa kuvuka kwenye mazao ya jirani hatakama kwa mwonekano atakuwa ameinamia kwenye nyasi Kule kujua kwako kutamzuia asivamie mazao? Ndio ilivyo kwa Mungu anajua ila haingilii chaguo letu
Indonesia
1
0
2
36
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kama Mungu anajua kila kitu kuhusu wewe, ikiwemo machaguo yako ya kesho na maisha yako yote, huo uwezo wa kufanya tofauti tunaouzungumzia ni upi haswa?🤔🤔
Indonesia
13
3
39
1.7K